Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.Sikiliza mwenyewe.
Achana na uchawa ushazeeka.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Wewe ata taifa linaloongoza dunia waliona bora bonzo trump kuliko mwanamke aendeshe nchi.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Ni wa Kenya huyu..wala usipate tabu!!Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Usichanganye mambo.Yuko sahihi.
Hata biblia haikubaliani na mwanamke kuwa kichwa yaani kiongozi mkuu bali tunalazimisha tu kibinadamu.
Uongozi wa mwanamke mgumu mno.
Nguvu ya mwanamke ni mwanaume.
Huyu shehe naye ni sukuma gengSikiliza mwenyewe.
Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tuSikiliza mwenyewe.
Marekani walivyoona mwanamke anataka kuwa Rais wakapiga kura za hasira!!Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.Darsa
Mwenendo wa Mtume SAW katika kuwashirikisha wanawake :
Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.
Ushekh hua ni elimu sio cheo kaka atavuliwa vp na hayo sio maneno yake Bali ni maneno ya Mtume Muhammad anasema mwanaume ni kiongozi kwa mwanamkeHuyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Mada inasema kuwa kwenye uongozi wa juu kama Rais siyo uongozi kwa ujumla .Darsa kwa wote :
Mwenendo wa Mtume Muhammad SAW na nasaha zake katika kuwashirikisha wanawake :
Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.
Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi kuendesha tu gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
sio kwamba unaunga mkono hoja ishu ni kwamba huna maamuzi yako, ww ni kama tv tu lazima ukubaliane na limoti jifanye unajikuna uonenaunga mkono hoja.
P