Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Yuko sahihi.
Hata biblia haikubaliani na mwanamke kuwa kichwa yaani kiongozi mkuu bali tunalazimisha tu kibinadamu.
Uongozi wa mwanamke mgumu mno.
Nguvu ya mwanamke ni mwanaume.
Usichanganye mambo.
Uongozi unao zingumza Biblia ni wa mambo ya kiroho na sio ya kimwili haya kama serikali vikoba n.k. Na sababu za hayo sio uwezo au maumbile ya hedhi n.k. Bali ni kuonyesa kuto pinduliwa kwa mfumo wa dunia kuliko fanywa edeni kwa influence ya Shetani.
Kifupi uongozi unao zungumzwa ni katikati ya kusanyiko la watu wa Mungu yaani kanisa.
 
Sikiliza mwenyewe.
Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tu
 
Darsa kwa wote :

Mwenendo wa Mtume Muhammad SAW na nasaha zake katika kuwashirikisha wanawake :

Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.

Darsa

Mwenendo wa Mtume SAW katika kuwashirikisha wanawake :

Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.

Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
 
Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.

Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.

P
Ushekh hua ni elimu sio cheo kaka atavuliwa vp na hayo sio maneno yake Bali ni maneno ya Mtume Muhammad anasema mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke
 
Darsa kwa wote :

Mwenendo wa Mtume Muhammad SAW na nasaha zake katika kuwashirikisha wanawake :

Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.

Mada inasema kuwa kwenye uongozi wa juu kama Rais siyo uongozi kwa ujumla .
 
Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi kuendesha tu gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
 
Back
Top Bottom