Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,861
- 1,461
Acha kumsingizia Mtume Mambo ya kishenzi............Mwanamke ni robo 3 ya uthamani ukiringanisha na Robo Moja ya uthamani aliyopewa mwanaumeHadith Za mtume s.a.w
Na huu Ndio uislam
Ukitaka kufanya ihsan kwa wazazi wako mama ametajwa mara 3 na baba ametajwa mara moja
Rais sio Kiongozi wa msikiti wala sio wa kigango Raisi ni Taasisi Ndani yake wako Wanaume pia
Na wala hatuchagui Kiongozi kwa kutumia rejea/reference za Bible Wala Qur'an sasa msitumie maandiko kujustify ujinga wenu majahili nyie
Hamtaki kuongozwa Na SSH nendeni mkaishi Ukraine wanataka watu kule
Mnaenda makazini mnamuachia mwanamke aleee watoto wenu nyumbani unakuta Mama ana Dini watoto Wana Dini baba hata Mungu halimjui kwa sababu watoto wamepata Mama Bora nyumbani