Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Wanawake wanaweza kuwa viongozi wazuri, sema ni wachache sana. Wazungu ukiishi kwenye jamii zao, ndio utajua hujui ukijifanya wewe kidume mbele ya wanawake. Wanawake ni smart sana.
 
7 September 2020

Profesa Issa Haji Ziddy - Ufafanuzi, wanawake na Uongozi katika Uislam



Prof. Issa Haji Ziddy ambae ni Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) amesema hakuna mantiki ya kidini ambayo inaweza kumzuia Mwanamke kutokua kiongozi kwa kuwa wanawake wana haki sawa na wanapaswa kuwa viongozi kama walivyo wanaume.

Dr. Issa Ziddy is professor of religious education at the State University of Zanzibar (SUZA).

He obtained his PhD in curriculum development & methodology of teaching from the International University of Africa in Khartoum, Sudan.

His research and publications in Arabic, Swahili, and English concern the history of Islamic education in Zanzibar, Muslim-Christian relations, Gulf-Zanzibar connections, and Islamic teachings on current issues.

He was a visiting scholar in Islamic studies at the University of Leipzig, Institute of Oriental Studies in Germany, Bayreuth University in Germany, and in Northwest College in Wyoming through the Fulbright Visiting Scholar Program.

He has partnered with the government and organizations in Zanzibar seeking to bring Islamic leaders into their work in educating communities on pressing current issues, including gender-based violence, family planning, and positive discipline for children in homes and schools and environmental issues.


Source : TAMWA ZANZIBAR
 
Wanawake wanafaa sana katika uongozi lakn si katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi kama urais, ni nchi chache sana duniani zimethubutu kuongozwa na wanawake na matokeo wameyaona
 
We elewa Tu mwanamke ni kiumbe dhaifu chenye upungufu wa akili....hakiwezi kukuongoza ukaendelea hata siku 1
Kwa hiyo mama yako Ana upungufu wa akili?!!! Kwani na yeye si mwanamke?! Kabla ya kuandika utumbo akili iwe ina connect ma mwili!!! Acha kutaka kudharau wanawake ilihali mama yako nae ni mwanamke hayo matusi umemjulisha na familia yako yote ambayo ina wanawake ndani yake. Ur such a loser
 
Huyo shekhe ni Nani katika Nchi ambayo ina mchanganyiko wa dini mbalimbali? Alidhani Tanzania ni Nchi ya Kislamu?!!! Kama mnasheria zenu za kislamu nchi za kwenda mnazijua nendeni Uarabuni. Tanzania Tunaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania fullstop. Hizo kelele zenu za chura pelekeni mahali sahihi..Mnajifanya mnajua dini mbona watoto wenu wanasoma shule mchanganyiko sio kama Pakistan?? Hii nchi haiongozwi na SHARIA.. waafrika ushamba umetuzidi kwa kupenda tu kubeba mambo ya watu na kujifanya tunajua sana. Dini hizi zimeletwa na wazungu na waarabu lakini kabla ya hapo tulikuwa na mambo yetu mila zetu,tamaduni zetu, dawa zetu, style zetu za maisha ziko wapi??? Tazama wahindi na wachina walivyobakia na mambo yao hata baada ya ukoloni. Hivyo mkitaka hayo fuateni nchi zinazoishi kwa kutumia Sharia hayo mambo msituletee Tanzania.
 
Wanawake wanafaa sana katika uongozi lakn si katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi kama urais, ni nchi chache sana duniani zimethubutu kuongozwa na wanawake na matokeo wameyaona
Tuwekee hayo waliyoyaona. Usiandikie mate kama wino unao, zitabaki kuwa porojo tu.

Ukiona mtu anamponda mwanamke kwenye uongozi elewa kuwa huyo mama'ke alikuwa si mlezi mzuri na alishindwa kuiongoza nyumba yake kama mama.
 
Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.

Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.

Mafundisho ya kweli ya Uislamu kuhusu mwanamke wa Kiislamu na uongozi ni haya


P


Shehe Mkuu wa Bakwata ni mlamba miguu ya Ikulu,ana njaa sana!
Heri sisi wa ‘Shuura ya Maimamu na Answar Sunnah’ tupo fair.
Sioni shida mwanamke kuwa Rais
 
Back
Top Bottom