Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Wanawake wanaweza kuwa viongozi wazuri, sema ni wachache sana. Wazungu ukiishi kwenye jamii zao, ndio utajua hujui ukijifanya wewe kidume mbele ya wanawake. Wanawake ni smart sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize wewe halafu iweke hiyo rejea.Mwenzio ameweka rejea kutoka kwenye Qur'an.
Kwa hiyo mama yako Ana upungufu wa akili?!!! Kwani na yeye si mwanamke?! Kabla ya kuandika utumbo akili iwe ina connect ma mwili!!! Acha kutaka kudharau wanawake ilihali mama yako nae ni mwanamke hayo matusi umemjulisha na familia yako yote ambayo ina wanawake ndani yake. Ur such a loserWe elewa Tu mwanamke ni kiumbe dhaifu chenye upungufu wa akili....hakiwezi kukuongoza ukaendelea hata siku 1
Yuko sahihiAnaunga mkono wanawake kuongoza, lakini siyo kwa nafasi ya Uongozi wa Juu kabisa wa nchi.
Weka hiyo aya tukutafsirie.Siyo maneno yake, ni ya Qur'an.
Tuwekee hayo waliyoyaona. Usiandikie mate kama wino unao, zitabaki kuwa porojo tu.Wanawake wanafaa sana katika uongozi lakn si katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi kama urais, ni nchi chache sana duniani zimethubutu kuongozwa na wanawake na matokeo wameyaona
Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
Mafundisho ya kweli ya Uislamu kuhusu mwanamke wa Kiislamu na uongozi ni haya
P
Sheikh wa watu namuonea huruma atakavyo andamwa
Sheikh Yuko sahihi, na hata Samia analijua hilo, maana Uislam ndio umesema hivyo.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Usheikh hauvuliwi, maana hakuna aliekuvisha. Usheikh ni kiwango Cha elimu ulichonacho hata kama utafukuzwa kwenye taasisi utaondoka na usheikh wako.Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh
naunga mkono hoja, ni kweli kuna baadhi ya Masheikh ni Masheikh ubwabwa.
Sheikh wa ukweli ni huyu
P