Wafrika tunapenda sana Shobo na waarabu asieeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wakati wao wanafanya biashara ya utumwa ya kuwauza waafrika na kuwanunua kama wanyama walikuwa wanatumia Quran ya aina gani?!!!!! Hizi shobo wa Afrika kwa wazungu na waarabu sijui tutaacha lini?! Tazama wa China na wahindi walivyo na Tamaduni zao za kuabudu, vyakula vyao, dawa zao etc. Mtu analalamika Rais Mwanamke ilihali hata usikute ofisi anayofanya Bosi wake ni Mwanamke mbona asiache kazi?!!! Nasema Uislamu katika Africa umekaa tu kinafki maana mila na Tamaduni za dini ya kislamu kwa uchumi wa Afrika hatuwezi na ndio effect ya kubeba mambo ya watu kichwa kichwa!!! Wangapi hawapandi magari ya Umma ambayo yanakuwa na jinsia tofauti ?! Si dini yenu inakataza?!!! Wangapi mnafanya kazi katika ofisi za jinsia moja tu?! Wangapi mmesoma shule na vyuo vya jinsia mmoja tu?!!! Mbona hayo hamyasemi?!!!! Uislamu katika Afrika hautakaa ufanikiwe..... so acheni shobo na waarabu kwanza hawawapendi kivile Tazama wasichana wetu wakienda kufanya kazi huko wanayopitia katika mikono ya waarabu...
Tanzania yetu inaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anayetaka masuala ya Sharia ahamie nchi za waaraabu kule hata wanawake hawaruhusiwi kudrive magari