Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Pamoja na yote, why magu awatoe kina babu seya ambao wanadaiwa wamewalawiti watoto na kuwaacha masheikh!! Na ndio kesi bab kubwa iyo ukilinganisha na masheikh ambao kesi yao haina ukweli wowote, miaka 9 haisikilizwi na Rais kalikalia kimyaa, kama sio uonevu ni nini!!! Kikwete mpaka amestaafu, magu nae ndani ya 5yrs kimyaaaa.


Mungu ampe afya njema mama yetu SSH
Mungu ampe afya njema Hussein Mwinyi
Na wengine wote wariofanya haki hiyo Mungu awape afya njema.
Walihamasisha mauaji yaliyotokea huko zenj dhidi ya wakristo. DPP alikosea tu kuwafungulia mashitaka so ushahidi alikosa. Angewafungulia tu kesi ya kuhamasisha mauaji. Wazanzibari hamko wakweli. Kama hamuutaki muungano semeni wazi siyo kuua wenzenu sababu tu sio waisilamu. Mbona huku bara tunawapendeni hatuwabagui? Sasa tunategemea kuwe na amani.
 
unaushahidi wewe na jamaa zako ? hilo kuhamasisha mnalifahamu nyinyi tu mnaoleta dada zenu mbele ya mikutano wakikata viuno ndio mnaojenga muungano.
Mbona mlikuwepo na mlidemka? Yaani na nyie mlifurahia!
 
Back
Top Bottom