Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ulitakiwa uvizodoe vile vyombo vya habari vilivyopaza sauti zao kuhusu mahubiri ya chuki na utengano, yaliyo hubiriwa na hao Masheikh kipindi kile kiasi cha wao kukamata kwa tuhuma za ugaidi kipindi Marais wa pande zote mbili za Muungano wakiwa ni Waislam!unaushahidi wewe na jamaa zako ? hilo kuhamasisha mnalifahamu nyinyi tu mnaoleta dada zenu mbele ya mikutano wakikata viuno ndio mnaojenga muungano.
(JK Bara na Shein Zanzibar)