Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Acha hizo ww,co unaongea kwa hisia ktk nchi zilizofanya na znazofanya mauaji makubwa dunian ni zp kat ya za kiislamu na upande mwingne?????
Huwa hatupendi shari! Tatizo lenu huwa mnapenda sana vurugu! Kuua watu kwa mgongo wa dini, nk!! Kifupi tu Waarab wamewaharibu sana mind set zenu.
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
JIWE hakuwepo Madarakani wakati hawa mashehe wa ugaidi wanashikiliwa. Acha uzushi. JIWE hahusiki na hawa watu usimkandie kwasababu alikuepo ni mkristo ukawasahau Kikwete na shein wote waislamu ndio walikuepo Madarakani akati wanashikiliwa hao magaidi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi.

Sheikh Mselem: Tumechukuliwa Gerezani jana Usiku, Maghrib na Insha tumeswali palepale gerezani, tumechanganywa na baada ya kuswali Maghribi tumetoka zetu tukaja Airport.

Airport tumeingia kwenye ndege ilikuwa iko faragha, tumefika zetu hapa tumefikia VIP ya zamani, ndege imekaa peke yake, hakuna mtu zaidi ya wenyewe na tulivyotoka pale kila mtu akaingia kwenye gari lake, akaulizwa nikupeleke wapi?

Mzee Mselem nikupeleke kwa mke wa kwanza, wa pili, wa tatu? Nikawaambia kwanza naenda kwetu, muda mrefu sijafika, nikayasome matatizo, ya kutatua nitatue na mengine alafu ndio nitaanza tena kwenda.

Hatukupewa waraka wowote.

Mungu kawakumbuka ni jambo la kushukuru.
Lakini tuna safari ndefu na sote sisi na ninyi masheikhi tunawajibika kuisafiri.
Maagizo yale yaliyowakamata bila kuhoji ndio maagizo hayo hayo yamewaachia bila kuhoji.
Tufanyeje sasa ili nchi isiwe ya maagizo kwa utashi wa mtu mmoja bali sheria mama na kanuni zake?
 
Mama samia pamoja na Rais Mwinyi wamefanya jambo kubwa kwenye imani ya dini kwa kuwaachia Masheikh na vizuri zaidi wote ni asili moja.

Nawapongeza kwa kuondosha kilio hicho cha waislamu.
 
Wakirudia this time hamna jela, ni kupotezwa mazima

Wapotezwe na nani? Unafikiri hii awamu ni kama ile yenu iliyopita! Wakina saa 8, azori n.k umesahau!!!

Mlipiga vigelegele sana waendelee kukaa ndani, sasa washatoka mnatamani mpasuke 🤣🤣

Mungu ni mkubwa

Raisi Samia ahsante, Mungu akubariki sana
Raisi Mwinyi ahsante, Mungu akubariki sana
DPP ahsante, Mungu akubariki sana

20 tenaaaa, mtanyooka tu.
 
Waambie warudie upuuzi wao waone
 
Waislam(sio wote) ni chanzo cha vurugu duniani kwa mgongo wa kutaka haki(sijui ni haki gani wanataka?) na mkiendelea hivyo tutawatandika hadi mnye,heshimuni dola na mamlaka,au amani sio sehemu ya dini yenu?
 
..msimamo wa mwendazake dhidi ya mashekhe.

..mtuhumiwa anapohukumiwa kufungwa miaka 10 hukaa jela miaka 5.

..mashehe wamekuwa kizuizini miaka 9 ni sawa na mfungwa aliyepatikana na hatia na kufungwa miaka 18.

JIWE hakuwepo Madarakani wakati hawa mashehe wa ugaidi wanashikiliwa. Acha uzushi. JIWE hahusiki na hawa watu usimkandie kwasababu alikuepo ni mkristo ukawasahau Kikwete na shein wote waislamu ndio walikuepo Madarakani akati wanashikiliwa hao magaidi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

..Mbona Babu Seya na Papii kocha WALAWITI watoto walifungwa wakati wa Mkapa lakini wakaja kuachiwa ktk utawala wa Magufuli?

..Na kwanini WALAWITI watoto walipokelewa na kupiga picha na Raisi Ikulu?

..Kiongozi wa aina gani anakuwa mwepesi kuwaachia walawiti lakini mzito kuwaachia Mashekhe ambao tuhuma dhidi yao zimeshindikana kuthibitishwa?
 
Mkuu jiongeze hapo, zilikuwa tabia zake pia (Refer kijana wake pendwa Sabaya)
 
Mhubiri dini ya Mtume wenu sasa! na siyo kuhamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kisingizio cha kutaka kuvunjwa kwa Muungano!

Naona unajitahidi kuyatoa kutoka siasa kuyafanya ya kidini.

Hata Madiba alipokuwa akidai haki alifungwa maisha kwa "Ugaidi".

Gaidi kwako ni mpigania haki kwa mwengine. Mdini kwako ni Muislam kwa mwengine.

Hussein Mwinyi ni wa dini ipi? Samia Suluhu ni wadini ipi? Hao walioachiwa ni wa dini ipi? Wazanzibari aslimia zaidi ya 98 ni wa dii ipi? Au u katika wale wanaoabudu binaadam mwenzao?

Wewe wa dini ipi?
 
Kipindi hao jamaa wanaingia jela.

Stand ilikuwa ubungo now iko mbezi.

Pale ubungo palikuwa na foleni za kufa mtu now kuna flyover

Tanzania haikuwa na ndege hata 1 leo kuna bombardier za kutosha.
 
Back
Top Bottom