Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Hivi kweli kama wanahusika na jinai hizo serikali ilishindwa kuwafungulia mashtaka wahukumiwe? Mbona walishikiliwa gerezani kwa tuhuma za ugaidi?

Bila shaka serikali ilitunga tuhuma za uongo na hata tuhuma za kuwamwagia watu tindikali ilifanywa na ma-agent wa serikali wasiojulikana! Mambo mengi mabaya yamefanywa na serikali nyuma ya mgongo wa wasiojulikana!
Usitumie nguvu nyingi kumuelewesha yule aliechagua kuwa mtumwa na punguani
 
Hivi kweli kama wanahusika na jinai hizo serikali ilishindwa kuwafungulia mashtaka wahukumiwe? Mbona walishikiliwa gerezani kwa tuhuma za ugaidi?

Bila shaka serikali ilitunga tuhuma za uongo na hata tuhuma za kuwamwagia watu tindikali ilifanywa na ma-agent wa serikali wasiojulikana! Mambo mengi mabaya yamefanywa na serikali nyuma ya mgongo wa wasiojulikana!
Acha kutetea magaidi
 
Naomba ututilie nukuu moja tu kutoka kwao inayohuniri uvunjifu wa amani.

Kuhudu tindikali hiyo ni assumption zako tu, hawajawahi kushukiwa, kushitakiwa ama kuhukumiwa kwa kosa la tindikali navyombo vinavohusika. Wewi ni kama nani hata uwahukumu kwa kosa la tindikali? Wacha chuki zisizo na tija kwa kuendekeza tumbo lako!
[emoji116]
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
Pumbavu wewe kwani magufuli ndo aliyewafunga hao mashekh ubwabwa wako!!?? Punguza chuki zakijinga utapelekewa moto mjini hapa.
 
Hii kesi hii,ni kama mtego kwa mama samia,
Sasa tuambiwe walikuwa na kosa?au uzanzibar na uislam wa Raisi aliyepo umechangia hawa kuachiwa?
Tusipokuwa makini tunaweka "mfano mbaya,huko mbele tutapata tabu sana.
Kama hakuna ushahidi wa kuwafunga wewe ulitegemea nini kifanyike?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu wewe kwani magufuli ndo aliyewafunga hao mashekh ubwabwa wako!!?? Punguza chuki zakijinga utapelekewa moto mjini hapa.
Punguza mihemko mkuu,
Kwa umeelewa Nini nilivoandika "amshughulikie".

Nimekusamehe bure,
Una uelewa mdogo Sana wa mambo
 
Kumbe walifika mbali sana kiasi cha kutishia jeshi/dola ?

Sasa kama jeshi lilikuwa linatishiwa kiasi hicho je usalama wa raia na nchi ulikuwa shakani kiasi kama siyo kikubwa sana jamani?! [emoji24][emoji24]
 
Mke wa 1,2,3...
Sheikh atawakuta kweli???
Bora alivoamua aende kwao kwanza...
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
Boya, jiwe hakuwafunga hao masheikh, ujinga ujinga tu
 
Hiv haya mauaji umethibitisha kuwa wao ndio wahusika?????
Ni haki yenu kuukataa Muungano! Lakini tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizofaa! Kuua raia wasio na hatia, kuwamwagia Wakristu tindikali au kuchoma nyumba zao za ibada, kwa mgongo wa kuukataa Muungano, ni jambo lisilo kubalika kwa wapenda amani.
 
Back
Top Bottom