Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Raisi Samia analeta Maridhiano kwenye hili, Taifa lililoteswa na na kugawanywa na Mtu aliyetumia nguvu za Uraisi vibaya.
 
Pongezi kwa Rais wetu Mama Samia kuwa kiongozi MPENDA HAKI anaye chukia dhuluma na uonevu. Hakika ni Rais mwenye hofu ya Mungu.
Viongozi wengine ktk nafasi mbalimbali za kiutendaji kama vile; Majaji, Mahakimu, Wasajili, Mawakili na DPP jifunzeni kutoka kwa mhe. Rais Samia ambaye ana hofu ya kweli juu ya Mungu, tendeni haki kwa kuzingatia sheria.
kamwe tusiwaonee watu kisa wewe ni kiongozi.
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
acha ramli wewe mtoto wa nje ya ndoa si bure utakuwa mchawi
 
Wavunje hata kesho! Sina cha kupoteza. Ila sitawaunga mkono kamwe hao Masheikh kuhubiri chuki na mwisho wa siku baadhi ya Watanzania wenzetu kumwagiwa tindikali, kwa kisingizio cha kutaka kujitenga na Tanganyika!
Naomba ututilie nukuu moja tu kutoka kwao inayohuniri uvunjifu wa amani.

Kuhudu tindikali hiyo ni assumption zako tu, hawajawahi kushukiwa, kushitakiwa ama kuhukumiwa kwa kosa la tindikali navyombo vinavohusika. Wewi ni kama nani hata uwahukumu kwa kosa la tindikali? Wacha chuki zisizo na tija kwa kuendekeza tumbo lako!
 
Pongezi kwa Rais wetu Mama Samia kuwa kiongozi MPENDA HAKI anaye chukia dhuluma na uonevu. Hakika ni Rais mwenye hofu ya Mungu.
Viongozi wengine ktk nafasi mbalimbali za kiutendaji kama vile; Majaji, Mahakimu, Wasajili, Mawakili na DPP jifunzeni kutoka kwa mhe. Rais Samia ambaye ana hofu ya kweli juu ya Mungu, tendeni haki kwa kuzingatia sheria.
kamwe tusiwaonee watu kisa wewe ni kiongozi.
 
Naunga mkono Hoja, hebu fikiria familia zao Watoto hawamuoni Baba au Mama kakaa Gerezani kwa kukosa Dhamana,Sheria kandamizi lazima tuzifute wajameni.
Haya mambo uleta laana ktk nchi
 
Ni haki yenu kuukataa Muungano! Lakini tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizofaa! Kuua raia wasio na hatia, kuwamwagia Wakristu tindikali au kuchoma nyumba zao za ibada, kwa mgongo wa kuukataa Muungano, ni jambo lisilo kubalika kwa wapenda amani.
Mbona hujapeleka ushahidi wa hao waliofanya hayo?

Hivi kutuletea majeshi kuja kutuuwa ,kuiba Na kuwanajisi watu wetu , kwenu nyinyi si tatizo?
 
Mbona hujapeleka ushahidi wa hao waliofanya hayo?

Hivi kutuletea majeshi kuja kutuuwa ,kuiba Na kuwanajisi watu wetu , kwenu nyinyi si tatizo?
Uzuri nimewasikiliza hao Masheikh wenu wawili (Farid na Mselem). Wote wameahidi kutii mamlaka na kujiepusha na chokochoko za aina yoyote ile!

Hilo ndilo jambo tunalo litaka Watanganyika! Hatutaki vurugu na shari zisizoisha kwa kisingizia cha kutaka kujitia kwenye Muungano.
 
Tuache kuchochea chuki na fujo. Tukikosa tutakosa wote. Tujenge nchi yetu. Haya mambo ya kudhani kuna yoyote bora miongoni mwetu ni kujidanganya.
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
Mimba ya jiwe inakusumbua!

Hao magaidi walifungwa na muislamu mwenzao JK!

najua sasa hivi umeshau ila ukijifungua utapata akili
 
Back
Top Bottom