TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

Kuna mambo huwa yanashangaza sana tena sana kuhusu huyu mtoa mada huwa muda mwingine namfanananisha na sheikh Rogo,mfano mji wa daresalam wakati ule kabla haujawa na muingiliano mkubwa nikweli jamii kubwa walikuwa ni waislamu ambacho ni kitu cha kawaida kwa mikoa ya pwani,mimi binafsi natokea mkoa wa mtwara ndiko kwetu na mwaka 2012 watu wa mtwara walileta mgomo wa kuwa gesi haitoki hali ambayo ilileta machafuko makubwa mno hususani mkoa wa mtwara wote,hamasa zilitoka kwenye mimbari za misikiti tofauti hapa mjini na kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa gesi isitoke na kama unavyojua mtwara asilimia 93% ni waislamu na pia nakumbuka mimi na ndugu zangu tulijihimu kabisa uwanja wa mashujaa kwenye kisomo cha albadir na hiyo siku uwanja ulifurika mno utadhani siku ya iddi vile,sasa je ni sahihi kuhusisha lile vuguvugu la kudai gesi na uislamu kisa eti wengi wao walikuwa waislamu?
Shekhe Mohamed Said kawaida huwaga analeta historia kama ilivyo pasi na kupindisha, kwani ni uongo wazee wa dar es salaam hasa wakiislam hawakupigania uhuru wa nchi hii!! Sawa na watu wa mtwara hasa waislam kama unavyosema mpaka kwenye mimbari za kiislam kampeni za kuhahakisha gesi inabaki zilikuwa zikifanywa, kwa hiyo wewe unataka historia ikiandikwa haya yasisemwe kisa tu ni kuogopa eti tutawafagilia waislam?
 
Jina lako kwa tafsiri ya huku kwetu ni aliyelaaniwa,,nimeuliza je ni halali sakata lililokatokea mtwara kuhusisha na uislamu au lilikuwa kwa ajili ya uzalendo wa kusini?
 
Mini...
Hakuna suala la dini kaama mafunzo ya imani ya Uislam katika haya maandishi yangu.

Ninachofanya ni kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Wala katika hili sijapoteza kitu zaidi ya kunufaika na kazi ya ubongo wangu.

Nashukuru.
Usijitoe katika hili nadhani unaelewa maana ya unafiki,huwa unahusisha moja kwa moja uislamu na hizo harakati na lengo lako uueleze umma kuwa kutotajwa kwao ni kwasababu ya uislamu wao
 
Shekhe Mohamed Said kawaida huwaga analeta historia kama ilivyo pasi na kupindisha, kwani ni uongo wazee wa dar es salaam hasa wakiislam hawakupigania uhuru wa nchi hii!! Sawa na watu wa mtwara hasa waislam kama unavyosema mpaka kwenye mimbari za kiislam kampeni za kuhahakisha gesi inabaki zilikuwa zikifanywa, kwa hiyo wewe unataka historia ikiandikwa haya yasisemwe kisa tu ni kuogopa eti tutawafagilia waislam?
Tangu lini wazee wa pwani wakawa na uwezo wa kuleta uhuru wa hii nchi.??ni punguani tu atakaye kaa kusikiliza historia feki za huyo mzee mdini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Punguza munkari mkuu, umeandika kwa hasira kabisa,, lkn historia ndo iko hivyo, mzee jumbe tambaza wa dar es salaam ndo aliepigania uhuru wa nchi na si mzee mwakipesile wa kwenu mwakaleli
 
Hiv kina mkwawa walikuwa wanapigania nini mkuu?
 
Jina lako kwa tafsiri ya huku kwetu ni aliyelaaniwa,,nimeuliza je ni halali sakata lililokatokea mtwara kuhusisha na uislamu au lilikuwa kwa ajili ya uzalendo wa kusini?
Jina lako kwa huku kwetu ni mwanaume anaeliwa,,, jibu ni hivi, shekhe Mohammed said kwanza hahusishi dini kama unavyodai wewe, isipokuwa anaandika historia kama ilivyo, mathalan huko mtwara vikao vilikuwa vinafanyika msikitini, alafu kwenye historia tufiche kisa tunauhusisha uislam? Historia inaandikwa kama ilivyo
 
Historia za huyo mzee ni historia za upande mmoja haziwezi kuaminika..ndio mana amebaki kulialia humi jf...

#MaendeleoHayanaChama
 
Jina lako kwa huku kwetu ni mwanaume anaeliwa,,, jibu ni hivi, shekhe Mohammed said kwanza hahusishi dini kama unavyodai wewe, isipokuwa anaandika historia kama ilivyo, mathalan huko mtwara vikao vilikuwa vinafanyika msikitini, alafu kwenye historia tufiche kisa tunauhusisha uislam? Historia inaandikwa kama ilivyo
Sasa je wewe uliyelaaniwa itakuwa sahihi kusema kuwa waliyokiyafanya watu hawa walitanguliza uislamu au uzalendo wao?
 
tunaanza kumshambulia Sheikh Saidi wakati yeye ameleta tanzia na kuelezea uhusika wa marehemu kwenye kudai uhuru.

Tayari watu mmeanzisha issue zenu za udini, mbona hili suala la wapigania uhuru wengi kuwa waislam linawaogopesha sana watu?.

Kumpinga Sheikh Saidi ni rahisi sana, mwingine afanye utafiti mikoa yote kama yeye alivyofanya utafiti wa kitalaam ili majina yatakayopatikana na dini za wahusika tujaribu sasa kufananisha na tafiti ya Sheikh Saidi.
 
Takataka zote unazoandikaga zimepigania uhuru zinaishia kwa Mwal. Julius Kambarage Nyerere. Hao wengine wasomeni huko masjid.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Sheikh Mohamed Said

Wewe endelea kuandika historia kama unavyoipokea. Wanaodhani wewe wakosea wanayo nafasi ya kuandika ukweli wao.

Itoshe kusema wapo wengi sana wanaokufuatilia na kuiamini historia unayoiandika. Tarehe 14 Oktoba ilikuwa ni siku ya Kumbukumbu ha Kifo cha Mwalimu Nyerere na mwaka huu kupitia Clubhouse kulikuwa na mjadala wa maadhimisho ya siku hii. Mmoja wa Wazungumzaji alikuwa ni Mh. Tundu Antipas Lissu. Bwana Lissu katika mjadala ule alisifia sana kazi yako hii ya Life and Times of Abdulwahid Sykes. Aliwa rai sana wasikilizaji wasome kitabu hicho kwani kimeandikwa na Mwanahistoria makini na anayejua kutafuta chanzo cha habari vizuri.

Hivyo pamoja na maneno mengi ya mitandaoni humu ikutie moyo hata Wanasiasa wengi wa Kitanzania ambao baadhi yao humu wanawasikiliza wao hukusoma na kukufuatilia vyema
 
Chamakh,
Ahsante sana.
 
tunaanza kumshambulia Sheikh Saidi wakati yeye ameleta tanzia na kuelezea uhusika wa marehemu kwenye kudai uhuru.

Tayari watu mmeanzisha issue zenu za udini, mbona hili suala la wapigania uhuru wengi kuwa waislam linawaogopesha sana watu?.

Kumpinga Sheikh Saidi ni rahisi sana, mwingine afanye utafiti mikoa yote kama yeye alivyofanya utafiti wa kitalaam ili majina yatakayopatikana na dini za wahusika tujaribu sasa kufananisha na tafiti ya Sheikh Saidi.
Anadai eti watu wengi hawamjui huyo marehemu sasa alitaka watu wamjue ili iweje?hakuna anayeogopa kitu kilichopita ambacho hakina maana yeyote ile kwasasa na hata kwa wakati ujao
 
Yaani hizi ngano hadi zinachosha..
Hii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?

Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.

Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
 
Back
Top Bottom