Hao wanaovaa mabomu wamekopi na kupesti kwenye UKRISTO!
Kwanza tunafahamu kuwa GAIDI WA KWANZA KTK HISTORIA alikuwa anaitwa SAMSON!
Na huyu bahati mbaya wakati wake HAKUWA NA MABOMU lkn pia ALIFANIKIWA KUUWA MA ALFU YA WATU!
Tunasoma ktk waamuzi 16:1 kwanza alikuwa MZINIFU!
1 Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye.
HALAFU NI GAIDI WA KWANZA KTK HISTORIA.
Waamuzi 16
27Jumba hilo lilikuwa limejaa watu: Wakuu wote wa Wafilisti walikuwapo na kwenye paa kulikuwa na watu 3,000 wanaume na wanawake, wakimtazama Samsoni akiwatumbuiza.
28 Hapo Samsoni akamwomba Mwenyezi-Mungu: Bwana Mwenyezi-Mungu nakuomba unikumbuke. Nitie nguvu, mara hii moja tu, ee Mungu, ili niwalipize kisasi mara moja hii tu Wafilisti ambao waliyangoa macho yangu mawili.
29Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo zilitegemeza uzito wote wa jumba hilo, mkono mmoja nguzo hii na mkono mwingine nguzo ya pili.
30 Kisha akasema, Na nife pamoja na Wafilisti. Akasukuma kwa nguvu zake zote.
Jumba likawaangukia wakuu hao wote wa Wafilisti waliokuwamo humo ndani. Wale waliouawa wakati wa kifo chake walikuwa wengi kuliko wale aliowaua wakati wa uhai wake.
UMEONA EE!
HUYO NDIO ALIYEKUWA GAIDI WA KWANZA NA Mtu wa kwanza KUJITOA MUHANGA!
Wapili ni YESU UNAEMUABUDU!
Alijitoa muhanga mwenyewe na Kujifanya LAANA!
Wagalati 3: 13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, KWA KUWA ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti
Nakuuliza ALIYEFANYWA LAANA ANAWEZAJE KUKUKOMBOA WEWE NA HIO LAANA??