Mkuu mara zoote huwa nashangazwa sana na hizi nasaha zako za kinafiki!
Hivi nikweli kuwa huoni MUANZISHA MATUSI ktk hizi nyuzi za Mzee
Mohamed Said??
Mi nafahamu kwa nini wewe Unajifanya huoni!
Kwa sababu ni kanuni ya jicho la mnafiki kuona upande mmoja tu!
Ningekuheshimu sana kama ungeanza kuwakemea hao wagalatia wenzako ambao waonapo uzi wowote ulioanzishwa na Mzee MS Basi wao wanaanza kuuchafua kwa matusi na kashfa!
JF ina moderators lkn mara nyingi mpaka uwajulishe kuwa kuna wanaharamu huku wanachafua mazingira!
Na mara nyingi husababisha UZI KUFUNGWA!
Sasa ili kuuendeleza nyuzi hizi inabidi wajitolee waungwana kusafisha hao wana wasio na wazazi ili wengine wapate faida!
Na hilo litaendelea kuwepo mpaka watu wa kambi yako waache kuingiza maneno ya kashfa ktk nyuzi zetu!
Na usishangae kuniona mimi na wengine tukichafua nyuzi zao!
Hio inaitwa "revenge"!
Na kuna msemo unasema "revenge is desert better serve cold"!
Anza kuwaasa watu wako ndio uje huku!