Amani ya nchi uliitafutavna babaako au yule Mzungu ajisaidiaye machakani ndo alikufunza kuwa AMANI ipo ndani ya Udhwaalimu kama hunu...!?
Shika adabu yako sura ka tufe, leo jitie huna akili ntakuazima za Mbuzi huenda zikakufaa.
Hoja kuu!... Mauaji ya mapadre Zanzibar kwa risasi na TINDIKALI, na uchomaji wa wa makanisa ZANZIBAR na bara.. Msingi wake uko kwenye mafunzo ya shehe ILUNGA!Ni bora WAKRISTO kama wewe wajitokeze kuandika ili UMMAH uone uwezo wenu wa kufikiri.
Na wala siwezi kushangaa wewe ukiwa ni PADRI AU MCHUNGAJI MKUBWA SANA UNAETEGEMEWA!
teh teh teh teh!
haleluyah kwa hoja zako KALI SAAAANA!
Asante kwa comment yako lakini kwa upeo wako naomba tuishie hapa, kwani nyie inawasaidia kusomewa Biblia masjid?
Jibu hoja zangu acha porojo.
Mauaji ya mapadre Zanzibar kwa risasi na TINDIKALI, na uchomaji wa wa makanisa ZANZIBAR na bara.. Msingi wake uko kwenye mafunzo ya shehe ILUNGA!Mamaako ndo atoa Ushaikh au ....!?
Mwanaharamu weye utafaidika nini katika mambo ya halali....!?
you idiot you are already in my ignore list like the other shit
Mauaji ya mapadre Zanzibar kwa risasi na TINDIKALI, na uchomaji wa wa makanisa ZANZIBAR na bara.. Msingi wake uko kwenye mafunzo ya shehe ILUNGA!
Sasa tatizo lenu wagalatia mkiambiwa Ukweli Mnaogopa kufa!
Padri amwagiwa tindikali huko zanzibar, tukio hili limetokea jana jioni huko zanzibar, jamani wazanzibar mna nini, na kwanini mnawafanyia watu haya haya mambo? source ni magazeti yote ya leo, kipindi cha mapitio ya magazeti RFA
Olasiti ni nani kama si nyie?!.. Hujiulizi kwa nini mashambulizi ni kwenye makanisa tu?!Hivi yale ya pale Arusha Olasity yule Pengo keshayatolea maelekezo au ni upuuzi kazini kama kawaida ....!?
Huyu mtu alikosa nini? Kama si mafundisho potofu ya viongozi wa DINI kama ILUNGA?Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.Thanks a Christian ghost i accept
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa usoni, kifuani na mikononi.
Hana alisema kwamba Padri Magamba (60) alikuwa akitokea katika duka la huduma za mawasiliano ya mtandao la Shine Shine saa 10.15 jioni na watu waliommwagia walimtega mlangoni kabla ya kufanya uhalifu huo na kutoweka kwenye vichochoro vya Mitaa ya Mtendeni na Mchangani.
Teh teh teh
Mkuu wabara umemchokoa huyu mgalatia mpaka anarusha ngumi hewani!
Kwi kwi kwi!
Mpe ingine ya makalio! Mpaka atoke povu!
Pwe teh teh teh teh!
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa usoni, kifuani na mikononi.
Hana alisema kwamba Padri Magamba (60) alikuwa akitokea katika duka la huduma za mawasiliano ya mtandao la Shine Shine saa 10.15 jioni na watu waliommwagia walimtega mlangoni kabla ya kufanya uhalifu huo na kutoweka kwenye vichochoro vya Mitaa ya Mtendeni na Mchangani.
Alisema polisi wamestushwa na tukio hilo kwa vile limetanguliwa na matukio matatu ya kumwagiwa tindikali kwa viongozi wa dini na kuwataka wananchi kutoa ushirikiano wa kufanikisha kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
"Tumeanza kufanya uchunguzi ikiwemo kuchukua maelezo ya majeruhi, tungependa zaidi kupata msaada wa kitaarifa kwa watu walioona na wanaojua mahali walipo watu wanaofanya vitendo hivyo," alisema Hana.
Mfanyakazi wa Duka la Huduma za Mawasiliano ya Mtandao, Rukia Yahya Abass alisema anamtambua Padri Magamba kama mteja wake wa muda mrefu na huja dukani hapo nyakati za asubuhi au jioni kwa ajili kupata huduma za mawasiliano.
Rukia alisema ameshtushwa kuona padri huyo baada ya kumaliza kupata huduma na kutoka nje akipiga mayowe ya kujeruhiwa.
"Nimezoea kumwita father au babu, ni mteja wangu kwa kweli, nilimwona akirudi tena ndani huku akiomba msaada, watu waliokuwa katika mtandao harakahara wakammwagia maji, alikuwa akilalamika kwa ukali wa maumivu," alisema Rukia akiwa na huzuni.
Alisema wasamaria wema ndiyo waliomchukua na kumpeleka hospitali. Kabla ya tukio hilo alilipa gharama za huduma ambazo zilikuwa ni Sh2,000 na kurudishiwa chenji yake baada ya kutoa noti ya Sh10,000.
Daktari Jamal Adam ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja alisema kwamba Padri Magamba amepatiwa huduma ya kwanza na anaonekana amejeruhiwa usoni, mikononi na kifuani.
"Ni mapema mno kusema ameathirika kwa kiasi gani kutokana na tukio hilo, tunaendelea na juhudi za kumtibu, "alisema Dk Jamal.
Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Huyu mtu alikosa nini? Kama si mafundisho potofu ya viongozi wa DINI kama ILUNGA?
Teh teh teh
Mkuu wabara umemchokoa huyu mgalatia mpaka anarusha ngumi hewani!
Kwi kwi kwi!
Mpe ingine ya makalio! Mpaka atoke povu!
Pwe teh teh teh teh!
Hivi yale ya pale Arusha Olasity yule Pengo keshayatolea maelekezo au ni upuuzi kazini kama kawaida ....!?
Wangekuwa mashehe ungechekelea?Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Desemba mwaka jana, watu ambao bado hawajafahamika wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi vibaya.
Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
14th September 2013
Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar
[h=2]Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar[/h]
TAYADI nabashiri namna ulivyo pindua maumbile alokuumba kwa makusidi kwayo Mwenyezi Mungu.Olasiti ni nani kama si nyie?!.. Hujiulizi kwa nini mashambulizi ni kwenye makanisa tu?!
Hiyo michezo Pengo aijua vizuri mno kama utampata au mkaribu wake atatufaa sana kutujibia hapa.
Khalafu nikusaidie weye ni mdogo sana juu ya kuyaendea mambo ya ndani kama hayo, hivyo mishipa itakupasuka kwa mambo yalo kuzidi.
Ni sawa na kijana kuingia chumba cha babaako na mamaako wakati wa usiku/ kustarehe.
Utakuwa umenifahamu sasa kama pia hujashiba ntakumwagia hadi unifahamu uzuri.
Kwa nini wakristo tu? Je, siyo sumu za Ilunga?Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.
Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Mungu wa Israeli anakuhusu nini wewe mmakonde? au wewe yahudi mweusi?