Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Magufuli si mlimlalamikia sana hivi hivi...nani aliyemtoa madarakani...?Wananchi walinde amani ili viongozi wa ccm wajilimbikizie utajiri kwa amani.
Shehe huyu hakuhudhulia msiba wa muumini wake aliyetekwa na kuuawa akiwa njiani kwenda Tanga, kutokana na kutohudhulia huko amejipambanua yuko upande wa watendaji.Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi.
Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa.
Hayo yamebainishwa na sheikh Kassim Mafuta Kassim Uthmaan alipokuwa akizungumza na mamia ya waislamu waliofurika katika msikiti wa Jundub bin Junada unaopatikana kwenye makutano ya barabara ya Mafuta na Kawawa manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Sheikh amebainisha kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu hapa nchini kumekuwepo baadhi ya viongozi wa kisiasa , viongozi wa kidini na wanaharakati wanaohamasisha uchochezi na fikra za uvunjifu wa amani na kwamba ikiwa masheikh watakaa kimya madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata waliomo na wasiokuwemo.
Sheikh kalifananisha taifa la Tanzania na jahazi linalosafiri baharini hali yakuwa ndani yake kuna abiria weerevu na wengine wajinga wanaotaka kulitoboa jahazi ili wapate maji kwa njia nyepesi.
Sheikh kabainisha kwamba ikiwa abiria weerevu watawaacha abiria wajinga watoboe jahazi ambalo wanasafiri kwa pamoja jahazi hilo litawazamisha wote kwa pamoja na hapo abiria weerevu watalaumiwa kwa kutowakataza abiria wajinga kutoboa jahazi wanalosafiri ndani yake kwa pamoja na hilo ndilo litakalotokea ikiwa masheikh watawanyamnzia wanaharakati na wanasiasa wanaohubiri kauli zinazochochea uvunjifu wa amani nchini kwa kuwa madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata wale waliofanya uchochezi na wale waliokaa kimya wakati uchochezi ukifanyika.
Sheikh amewataka masheikh wenzake, walimu na maimamu wa misikiti wasimame kwa ujasiri na bila woga kukemea viashiria vyote vya uvunjifu wa amani na kutoa majibu sahihi dhidi ya visingizio vyote vinavyotolewa na wachochezi wa uvunjifu wa amani kama visingizio vya watu kutekwa, kuuawa na kudhulumiwa kwani katika uislamu hakuna jambo jipya linalotokea ambalo uislamu haujalipatia majibu yake, miongozo na maelekezo sahihi kabla halijatokea ya kwamba ni jambo gani mwislamu yatakiwa afanye ikiwa jambo hili au lile litakapotokea.
Sheikh kawataka waislamu waisome dini yao kikamilifu ili waitambue na wajitambue nafasi yao katika jamii hasa katika vipindi kama hivi ambavyo watu ambao hawajaisoma dini na kuielewa kisawasawa wameshika bendera ya kuwasemea waislamu katika mambo ambayo haitakiwi mtu kuyazungumzia bila elimu ya kutosha.
Sheikh Kassim Mafuta na masheikh wenzake wapo katika ziara ya kimkakati ya siku tano katika mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya kati kuanzia leo jumapili ya tarehe 15 June 2025 hadi alkhamisi ya tarehe 19 June 2025.
Sheikh Kassim ambaye ni mkazi wa mji wa Pongwe jijini Tanga ameanza ziara yake leo kwa kutoa muhadhara Moshi mjini kuanzia saa 11:30 jioni hadi saa 02:30 usiku.
Kesho mchana tarehe 16 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu katika mji wa Bomang'ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na baadae jioni atatoa Muhadhara Arusha mjini kuanzia saa 01:00 hadi saa 03:00 usiku.
Keshokutwa Jumanne ya tarehe 17 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu wa Babati mkoani Manyara mchana baada ya swala ya adhuhuri na ataendelea na safari yake kuelekea Singida ambapo jioni ya siku hiyo sheikh atatoa Muhadhara mjini Singida kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:000 usiku.
Siku ya jumatano tarehe 18 June 2025 sheikh atatoa Muhadhara katika msikiti wa Manyema jijini Dodoma kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:00 usiku na alkhamisi ya tarehe 19 June 2025 sheikh atahitimisha ziara yake kwa kutoa muhadhara katika msikiti wa Sultan uliopo mtaa wa Sultan manispaa ya Morogoro na siku ya ijumaa ataanza safari ya kurudi jijini Tanga kuendelea na majukumu yake ya kila siku.
Miongoni mwa masheikh walioamdamana na sheikh Kassim Mafuta katika ziara hiyo ni ndugu yake wa kizaliwa sheikh Abuu Ahmad Muhammad Mafuta Kassim Uthmaan ambaye ni msimamizi mkuu wa msikiti wa sheikh Ibin Baazi Makorora mtimkavu jijini Tanga.
hawa wameinuka kufanya propaganda! Wanatumika! Hakuna mtanzania anayetaka kuharibu amani ya nchi yake. Ni mpuuzi anafifisha jitihada za kupambania haki na usawa katika mambo nyeti ya kitaifa, wanainuka washenzi na kuanza kuhubiri kuwa kuna watu wanataka kuharibu amani ya nchi! Nani wa kuharibu amani ya nchi wakati nchi ni hii hii moja? Hii ni kutia wananchi hofu na kuwapofusha fikra zao juu ya kufanya maamuzi sahihi kujikomboa katika siasa za kilaghai na udanganyifuMasheikh ubwabwa, ovyo...
Mwambie 'no reform no election 'Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi.
Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa.
Hayo yamebainishwa na sheikh Kassim Mafuta Kassim Uthmaan alipokuwa akizungumza na mamia ya waislamu waliofurika katika msikiti wa Jundub bin Junada unaopatikana kwenye makutano ya barabara ya Mafuta na Kawawa manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Sheikh amebainisha kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu hapa nchini kumekuwepo baadhi ya viongozi wa kisiasa , viongozi wa kidini na wanaharakati wanaohamasisha uchochezi na fikra za uvunjifu wa amani na kwamba ikiwa masheikh watakaa kimya madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata waliomo na wasiokuwemo.
Sheikh kalifananisha taifa la Tanzania na jahazi linalosafiri baharini hali yakuwa ndani yake kuna abiria weerevu na wengine wajinga wanaotaka kulitoboa jahazi ili wapate maji kwa njia nyepesi.
Sheikh kabainisha kwamba ikiwa abiria weerevu watawaacha abiria wajinga watoboe jahazi ambalo wanasafiri kwa pamoja jahazi hilo litawazamisha wote kwa pamoja na hapo abiria weerevu watalaumiwa kwa kutowakataza abiria wajinga kutoboa jahazi wanalosafiri ndani yake kwa pamoja na hilo ndilo litakalotokea ikiwa masheikh watawanyamnzia wanaharakati na wanasiasa wanaohubiri kauli zinazochochea uvunjifu wa amani nchini kwa kuwa madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata wale waliofanya uchochezi na wale waliokaa kimya wakati uchochezi ukifanyika.
Sheikh amewataka masheikh wenzake, walimu na maimamu wa misikiti wasimame kwa ujasiri na bila woga kukemea viashiria vyote vya uvunjifu wa amani na kutoa majibu sahihi dhidi ya visingizio vyote vinavyotolewa na wachochezi wa uvunjifu wa amani kama visingizio vya watu kutekwa, kuuawa na kudhulumiwa kwani katika uislamu hakuna jambo jipya linalotokea ambalo uislamu haujalipatia majibu yake, miongozo na maelekezo sahihi kabla halijatokea ya kwamba ni jambo gani mwislamu yatakiwa afanye ikiwa jambo hili au lile litakapotokea.
Sheikh kawataka waislamu waisome dini yao kikamilifu ili waitambue na wajitambue nafasi yao katika jamii hasa katika vipindi kama hivi ambavyo watu ambao hawajaisoma dini na kuielewa kisawasawa wameshika bendera ya kuwasemea waislamu katika mambo ambayo haitakiwi mtu kuyazungumzia bila elimu ya kutosha.
Sheikh Kassim Mafuta na masheikh wenzake wapo katika ziara ya kimkakati ya siku tano katika mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya kati kuanzia leo jumapili ya tarehe 15 June 2025 hadi alkhamisi ya tarehe 19 June 2025.
Sheikh Kassim ambaye ni mkazi wa mji wa Pongwe jijini Tanga ameanza ziara yake leo kwa kutoa muhadhara Moshi mjini kuanzia saa 11:30 jioni hadi saa 02:30 usiku.
Kesho mchana tarehe 16 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu katika mji wa Bomang'ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na baadae jioni atatoa Muhadhara Arusha mjini kuanzia saa 01:00 hadi saa 03:00 usiku.
Keshokutwa Jumanne ya tarehe 17 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu wa Babati mkoani Manyara mchana baada ya swala ya adhuhuri na ataendelea na safari yake kuelekea Singida ambapo jioni ya siku hiyo sheikh atatoa Muhadhara mjini Singida kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:000 usiku.
Siku ya jumatano tarehe 18 June 2025 sheikh atatoa Muhadhara katika msikiti wa Manyema jijini Dodoma kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:00 usiku na alkhamisi ya tarehe 19 June 2025 sheikh atahitimisha ziara yake kwa kutoa muhadhara katika msikiti wa Sultan uliopo mtaa wa Sultan manispaa ya Morogoro na siku ya ijumaa ataanza safari ya kurudi jijini Tanga kuendelea na majukumu yake ya kila siku.
Miongoni mwa masheikh walioamdamana na sheikh Kassim Mafuta katika ziara hiyo ni ndugu yake wa kizaliwa sheikh Abuu Ahmad Muhammad Mafuta Kassim Uthmaan ambaye ni msimamizi mkuu wa msikiti wa sheikh Ibin Baazi Makorora mtimkavu jijini Tanga.
🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025MNilitegemea sheikh atakemea vitendo vya utekaji mauaji pia angezungumzia tume huru kama kweli ana hubiri haki.....mara zote waislamu hutumiwa kama mpira wa kiume "kondomu" kipindi cha uchaguzi.......
Tume huru ya uchaguzi na tunapinga vitendo vya utekaji na mauaji........🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M
MUHADHARA ARUSHA
🎙️ MUHADHIRI :-
SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله
Radio Link 2
📡TELEGRAM LIVE LINK
ONLINE RADIO "ZENO"
•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
Anawaasa wamlinde "marehemu asife"?Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi.
Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa.
Hayo yamebainishwa na sheikh Kassim Mafuta Kassim Uthmaan alipokuwa akizungumza na mamia ya waislamu waliofurika katika msikiti wa Jundub bin Junada unaopatikana kwenye makutano ya barabara ya Mafuta na Kawawa manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Sheikh amebainisha kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu hapa nchini kumekuwepo baadhi ya viongozi wa kisiasa , viongozi wa kidini na wanaharakati wanaohamasisha uchochezi na fikra za uvunjifu wa amani na kwamba ikiwa masheikh watakaa kimya madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata waliomo na wasiokuwemo.
Sheikh kalifananisha taifa la Tanzania na jahazi linalosafiri baharini hali yakuwa ndani yake kuna abiria weerevu na wengine wajinga wanaotaka kulitoboa jahazi ili wapate maji kwa njia nyepesi.
Sheikh kabainisha kwamba ikiwa abiria weerevu watawaacha abiria wajinga watoboe jahazi ambalo wanasafiri kwa pamoja jahazi hilo litawazamisha wote kwa pamoja na hapo abiria weerevu watalaumiwa kwa kutowakataza abiria wajinga kutoboa jahazi wanalosafiri ndani yake kwa pamoja na hilo ndilo litakalotokea ikiwa masheikh watawanyamnzia wanaharakati na wanasiasa wanaohubiri kauli zinazochochea uvunjifu wa amani nchini kwa kuwa madhara ya kuvunjika kwa amani yatawapata wale waliofanya uchochezi na wale waliokaa kimya wakati uchochezi ukifanyika.
Sheikh amewataka masheikh wenzake, walimu na maimamu wa misikiti wasimame kwa ujasiri na bila woga kukemea viashiria vyote vya uvunjifu wa amani na kutoa majibu sahihi dhidi ya visingizio vyote vinavyotolewa na wachochezi wa uvunjifu wa amani kama visingizio vya watu kutekwa, kuuawa na kudhulumiwa kwani katika uislamu hakuna jambo jipya linalotokea ambalo uislamu haujalipatia majibu yake, miongozo na maelekezo sahihi kabla halijatokea ya kwamba ni jambo gani mwislamu yatakiwa afanye ikiwa jambo hili au lile litakapotokea.
Sheikh kawataka waislamu waisome dini yao kikamilifu ili waitambue na wajitambue nafasi yao katika jamii hasa katika vipindi kama hivi ambavyo watu ambao hawajaisoma dini na kuielewa kisawasawa wameshika bendera ya kuwasemea waislamu katika mambo ambayo haitakiwi mtu kuyazungumzia bila elimu ya kutosha.
Sheikh Kassim Mafuta na masheikh wenzake wapo katika ziara ya kimkakati ya siku tano katika mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya kati kuanzia leo jumapili ya tarehe 15 June 2025 hadi alkhamisi ya tarehe 19 June 2025.
Sheikh Kassim ambaye ni mkazi wa mji wa Pongwe jijini Tanga ameanza ziara yake leo kwa kutoa muhadhara Moshi mjini kuanzia saa 11:30 jioni hadi saa 02:30 usiku.
Kesho mchana tarehe 16 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu katika mji wa Bomang'ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na baadae jioni atatoa Muhadhara Arusha mjini kuanzia saa 01:00 hadi saa 03:00 usiku.
Keshokutwa Jumanne ya tarehe 17 June 2025 sheikh atazungumza na waislamu wa Babati mkoani Manyara mchana baada ya swala ya adhuhuri na ataendelea na safari yake kuelekea Singida ambapo jioni ya siku hiyo sheikh atatoa Muhadhara mjini Singida kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:000 usiku.
Siku ya jumatano tarehe 18 June 2025 sheikh atatoa Muhadhara katika msikiti wa Manyema jijini Dodoma kuanzia saa 01:00 jioni hadi saa 03:00 usiku na alkhamisi ya tarehe 19 June 2025 sheikh atahitimisha ziara yake kwa kutoa muhadhara katika msikiti wa Sultan uliopo mtaa wa Sultan manispaa ya Morogoro na siku ya ijumaa ataanza safari ya kurudi jijini Tanga kuendelea na majukumu yake ya kila siku.
Miongoni mwa masheikh walioamdamana na sheikh Kassim Mafuta katika ziara hiyo ni ndugu yake wa kizaliwa sheikh Abuu Ahmad Muhammad Mafuta Kassim Uthmaan ambaye ni msimamizi mkuu wa msikiti wa sheikh Ibin Baazi Makorora mtimkavu jijini Tanga.
Fungua link umsikilize MkuuHuyo sheikh kwa ziara hizo hachanganyi dini na siasa?