Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

1750087315479.png
 
📡LIVE MUHADHARA

🕌 MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH - PONGWE TANGA - TANZANIA 🇹🇿🕌

DHUL-HIJJA 2️⃣0️⃣
🏝️1446-2025🏝️

🔈 ZIARA YA KIDA'WAH ARUSHA

📢 LIVE MUHADHARA📢

🕌 MSIKITI MKUU WA IJUMAA BONDENI

📆 TAREHE:-
20 DHUL-HIJJA 1446H
16 JUNE 2025M

📡RADIO LIVE LINK

•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•

نسـأل اللــہ أن ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾
 
👆👆👆👆👆👆👆👆
Swala ya Al maghribi imemalizika muhadhara unaendelea.
 
Waislamu tuikatae chadema
Watanzania wana uhuru wa kujiunga na vyama wanavyovitaka.
Haifai kumpamgia mtu awe mwanachama wa chama gani, tunachosisitiza sisi ni kuwa na siasa za ustaarabu na katu tafauti za imani na sera za vyama vyetu vya kisiasa isiwe sababu ya kuvunja amani ya nchi.
 
Vipi bul fadhwil anakubali siasa na kujiunga na vyama ?
 
Muhadhara
Vipi bul fadhwil anakubali siasa na kujiunga na vyama ?
Kama ungefatilia muhadhara wake ungejua kuwa msimamo wa sheikh ni kwamba haya mambo ya siasa za kidemokrasia ni mambo ambayo tumeletewa na wazungu ili kutugombanisha wenyewe kwa wenyewe kwahiyo kwa kukujibu ni kwamba hakubaliani na kujiunga na vyama hivi vya siasa za kikafiri kwakuwa kuwa na vyama vingi ni moja ya sababu za kuharibu umoja,upendo na mshikamano katika jamii, mahala pake husimama kuchukiana,kudharauliana , kutukanana na kuvinjiana heshima pale ambapo kila mmoja huona kuwa chama chake ndicho chenye sera sahihi na kudharau vyama vingine na wanachama wa vyama hivyo.
 
tumeletewa na wazungu ili kutugombanisha wenyewe kwa wenyewe
Kama analijua hili kwa nini ameshauri tuwe na siasa za kistaarabu wakati anajua siasa hizo zimekuja kutugombanisha ?

Je anashauri kitu ambacho hakiwezekani ama anaamini kwamba hata kama lengo ni kutugombanisha basi tunaweza kufanya kistaarabu na tusigombane?
 
SHEIKH KASSIM MAFUTA NI NANI?

Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim Uthmaan alizaliwa na kusoma masomo yake ya mwanzo katika kata ya Pongwe jijini Tanga.
Baadae sheikh alijiunga na Almadrasatul shamsiyyah ( TAMTA) ya makorora jijini Tanga na baada ya kuhitimu alijiunga na chuo kikuu cha kiislamu cha Kisauni kilichopo Mombasa nchini Kenya kwa masomo ya miaka miaka minne.
Baadae alijiunga na chuo cha Daarul Hadith Cha Dammaaji nchini Yemen ambapo alisoma kwa miezi kadhaa na baadae kujiunga na chuo kikuu cha kiislamu cha Madina nchini Saudi Arabia ( Madina Islamic University)aliposoma kwa miaka minne na kuhitimu katika kitivo cha elimu ya uchambuzi wa hadithi za mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.
Baada ya sheikh kuhitimu masomo yake kiasi cha miaka 20 iliyopita sheikh alirudi nchini na kuanzisha chuo chake kinachotambulika kwa jina la Ibnu Taimiyyah kilichopo Pongwe mjini ndani ya jiji la Tanga chuo ambacho kimekuwa kimbilio la vijana wengi wa kiislamu toka mikoa mbalimbali hapa nchini na hata wengine toka nchi jirani za afrika mashariki na ya kati.
Ziara ya sheikh katika mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya kati ni muendelezo wa kampeni aliyoianza siku ya Eid al Adhaa ambapo aliwaasa mamia ya waislamu waliohudhuria swala ya Eid Al Adh haa katika uwanja wa shule ya sekondari ya Usagara jijini Tanga kuwaepuka viongozi wa kidini, kisiasa na wanaharakati wote wanaohubiri maneno yanayochea uvunjifu wa amani nchini.
Huyo sio sheikh bali ni kibaraka wa serikali ya kizayuni ya Saudi Arabia.

Bogus kabisa..
 
Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi.

Assalaamu a'laykum.

Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa nchi ya Libya kanali Muammar Gadafi.

Hayo yamesemwa na sheikh Kassim Mafuta alipokuwa akizungumza na mamia ya waislamu waliohudhuria kwenye muhadhara wake alioutoa katika msikiti mkuu wa ijumaa Bondeni jijini Arusha jana jioni ya siku ya jumatatu ya tarehe 16 June 2025 baada ya swala ya Al maghribi.

Akizungumzia tukio la kuuawa kwa Muammar Gadafi sheikh kafafanua kwamba ni kweli rais Muammar Gadafi alikuwa mtawala jeuri na dikteta aliyeiminya demokrasia na uhuru wa maoni ikiwa pamoja na kuminya uhuru wa vyombo vya habari, pia ni kweli kwamba Muammar Gadafi aliwaua kikatili kwa kuwanyonga wale wote walioonyesha kupingana nae lakini pamoja na hayo yote kitendo cha walibya KUKOSA SUBIRA na kumpindua na kumuua Gadafi kimeleta madhara makubwa sana na majuto ya kudumu kwa wananchi wa nchi ya Libya na kila mtu mwenye akili anakubali kwamba walibya walifanya makosa makubwa sana kuwaunga mkono wanaharakati wa Al ikhwaanul Muslimiina
( Muslim Brotherhood) na wengineo waliokuwa wakiungwa mkono na mataifa makubwa ya kimagharibi ambao walihamasisha uasi na mapinduzi dhidi ya serikali ya Muammar Gadafi .
Sheikh Kassim kafafanua kwamba maelekezo ya uislamu pindi wanapopata mtihani wa mtawala dhalimu ( Katili, dikteta, anayedhulumu watu mali zao na kuwaua kwa dhulma )
ni KUFANYA SUBIRA na kuzungumza na mtawala huyo kwa njia ya hekima, busara,adabu na uadilifu.

Akifafanua hadithi ya mtume Muhammad Swalla llaahu alayhi wa sallam inayosema " Jihadi bora kabisa ni kusema neno la haki mbele ya mtawala jeuri" sheikh amewaasa viongozi wa dini wanapopata nafasi ya kukutana na viongozi wa nchi kutumia nafasi hizo vizuri kuwaambia watawala ukweli juu ya malalamiko, kero, changamoto na mambo yote ambayo yanawaumiza wananchi toka serikalini na viongozi wa dini wasiwe wanafiki wanaojipendekeza kwa viongozi wa nchi kwa kuwasifu mbele yao wanapokutana nao kisha wakiwaacha na kuwapa mgongo na kurejea madhabahuni na kwenye nyumba za ibada wanaanza kuwatukana viongozi wa nchi na kufanya uchochezi kwa kuhamasisha chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao.
Akieleza maelekezo ya uislamu juu ya kuwaheshimu na kuwatii viongozi ametoa mfano wa wazazi kwamba kama uislamu unavyohimiza kuwatii na kuwaheshimu wazazi vilevile unahimiza kuwatii na kuwaheshimu viongozi wa nchi na kwamba pale inapotokea viongozi wa nchi wamekosea yatakiwa wakosolewe kwa adabu, heshima, hekima na busara na sio kuwatukana na kuwavunjia heshima kwa kuwasema madhabahuni,na kwenye mitandao ya kijamii.
Akitoa neno la shukrani baada ya muhadhara huo sheikh mkuu (bakwata ) mkoa wa Arusha sheikh Shaban Abdallah amesema kwamba neema ya amani haina mbadala ya kwamba kuna kitu bora tutakachokipata baada ya amani kuondoka hivyo akaeleza kwamba pamoja na kwamba uislamu unakataza kumtukana mtu yeyote , kuwatukana viongozi wa nchi kama rais, makamu wa rais, waziri mkuu na wakuu wa mikoa ni jambo baya sana linalokwenda kinyume na mafundisho ya uislamu kwakuwa mtume Muhammad Swalla llaahu alayhi wa sallam anasema "kumtukana muislamu ni uasi na kumuua ni ukafiri"
Pia sheikh Shaban kawakumbusha watanzania wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kuwachagua viongozi watakaoona kuwa wanafaa muda wa kupiga kura utakapofika katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Sheikh Kassim Mafuta ambaye ni muasisi na msimamizi mkuu wa chuo cha kiislamu cha Ibin Taimiyyah kilichopo katika kata ya Pongwe jijini Tanga yupo katika ziara ya kimkakati ya siku tano katika mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya kati na leo mchana Jumanne tarehe 17 June 2025 anatarajiwa kuzungumza na waislamu wa mji wa Babati mkoani Manyara baada ya swala y adhuhuri na jioni ya leo atafanya muhadhara Singida mjini kuanzia saa 01:00 jioni baada ya swala ya Al maghribi hadi saa 03:00 usiku wakati wa swala ya Al Ishaa.
 
Kwa wale mliopo Singida mnahabarishwa kwamba Muhadhara wa sheikh Kassim Mafuta utafanyika katika markaz na msikiti wa IBN QUDAMAH
SINGIDA MJINI KIBAONI KILAMBIDA

🎙️ LEO KUANZIA SAA 01:00 JIONI BAADA YA SWALA YA AL MAGHARIBI.
 
Shukran.
 
Nilitegemea sheikh atakemea vitendo vya utekaji mauaji pia angezungumzia tume huru kama kweli ana hubiri haki.....mara zote waislamu hutumiwa kama mpira wa kiume "kondomu" kipindi cha uchaguzi.......
Huyo sio sheikh ni "punda" wa watawala
 
JUha hilo
 
🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M

📡 MUHADHARA BAADA YA MAGHRIBI MARKAZ IBN QUDAMAH SINGIDA

🎙️ MUHADHIRI :-
SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله

Radio Link 1

📡TELEGRAM LIVE LINK 2

ONLINE RADIO "ZENO" 3

you tube 4

View: https://www.youtube.com/live/KMMLPRxNskg?feature=shared

•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
 
Back
Top Bottom