Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

📡LIVE MUHADHARA

🕌 MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH - PONGWE TANGA - TANZANIA 🇹🇿🕌

DHUL-HIJJA 2️⃣2️⃣
🏝️1446-2025🏝️

🔈 ZIARA YA KIDA'WAH DODOMA

📢 LIVE MUHADHARA📢

🕌 MASJID MANYEMA BARABARA YA SABA

🎙️MUHADHIRI
🎙️🎙️SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM
حفظه الله تعالى ورعاه

📆 TAREHE:-
22 DHUL-HIJJA 1446H
18 JUNE 2025M

📡YOUTUBE LIVE LINK

View: https://www.youtube.com/live/ivONm983aLY?feature=shared

📡RADIO LIVE LINK

•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•

نسـأل اللــہ أن ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾
 
Shkh Qassim atulie haya mambo yakuchomekea maneno kwenye hali kama hii....utaonekana wale wale..

Aanze kuhubiria haki kwanza ndo ije amani.......

Bila kusahau uadirifu kwa viongozi....au viongozi wanaogopwa shkh...!!?
 
Nakushauri umsikilize kwanza kisha umkosoe kwa elimu na hoja
 
Sijamkosea akhy

Na yule ni mwalimu wangu amenipiga msasa pale pogwe....ila nae mwanadamu kuna muda anapepea na upepe wa ccm,ndo mana nasema kuna amani gani bila haki..!!?
 
Sijamkosea akhy

Na yule ni mwalimu wangu amenipiga msasa pale pogwe....ila nae mwanadamu kuna muda anapepea na upepe wa ccm,ndo mana nasema kuna amani gani bila haki..
Una uhakika kuwa anapepea na upepo wa CCM au ni dhana tu Kaka?
 
Sijamkosea akhy

Na yule ni mwalimu wangu amenipiga msasa pale pogwe....ila nae mwanadamu kuna muda anapepea na upepe wa ccm,ndo mana nasema kuna amani gani bila haki..!!?
Lililobora ni wewe kuja na hoja za kielimu kupinga hoja alizotoa Sheikh.
 
Shkh Qassim atulie haya mambo yakuchomekea maneno kwenye hali kama hii....utaonekana wale wale..

Aanze kuhubiria haki kwanza ndo ije amani.......

Bila kusahau uadirifu kwa viongozi....au viongozi wanaogopwa shkh...!!?
Kesho anamaliza ziara yake kwa kutoa muhadhara Morogoro mjini nadhani ataanzia saa kumi baada ya swala ya Al aswiri.
Msikilize kwanza halafu ndo utoe comment zako.
Hayo unayoyaeleza amaishatoa majibu yake kupitia mihadhara aliyoitoa Arusha , Singida na leo Dodoma.
Kwakuwa kesho ndio mwisho wa Ziara yake tinataraji atafanya muhtasari wa yale aliyoyazungumza kuanzia Moshi, Arusha, Singida hadi Dodoma.
 
🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M

📡 MUHADHARA BAADA YA ASRI MRKAZ AL- IMAM SHAWKAAN SULTAN AREA MOROGORO MJINI

🎙️ MUHADHIRI :-
SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله

Radio Link 1

📡TELEGRAM LIVE LINK 2

ONLINE RADIO "ZENO" 3

Muhadhara wa sheikh Kassim Mafuta Morogoro mjini unaanza muda huu.
 
Namnukuu "Huyo sio sheikh ni "punda" wa watawala"
Kwa hiyo ukinukuu hivyo ndiyo inakuwa matusi?
Nimekwambia ufafanue matusi unayosema umeshindwa badala yake unafanya "ukasuku" kama ilivyo kawaida ya pote lenu,kukaririshana mfano wa manaswara
 
Kimaadili na Kiislamu: Haifai kumuita mtu majina ya kudhalilisha kama "punda". Mtume Muhammad ﷺ amesema:

"Muislamu ni ndugu wa Muislamu, hamdhulumu wala hamdharau..." (Bukhari & Muslim)

Kwa hekima: Ikiwa una tofauti na Sheikh(labda haufurahishwi na msimamo wake au uhusiano wake na watawala), kuna njia ya kueleza hoja zako kwa adabu na dalili, bila kutumia lugha ya kejeli.
 
Kimaadili na Kiislamu: Haifai kumuita mtu majina ya kudhalilisha kama "punda". Mtume Muhammad ﷺ amesema:

Kwa hekima: Ikiwa una tofauti na Sheikh(labda haufurahishwi na msimamo wake au uhusiano wake na watawala), kuna njia ya kueleza hoja zako kwa adabu na dalili, bila kutumia lugha ya kejeli.
Naam nadhani umejitahidi kufafanua kwa kadri ya uwezo na ufahamu wako japokuwa hauko sawa. Ndipo nakuuliza je kwa munasaba wa aya hii
مَثَلُ الَّذِينَ حُمِّلُوا التَّوْرَاةَ ثُمَّ لَمْ يَحْمِلُوهَا كَمَثَلِ الْحِمَارِ يَحْمِلُ أَسْفَارًا ۚ بِئْسَ مَثَلُ الْقَوْمِ الَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِ اللَّـهِ ۚ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ﴿٥﴾

" Mfano wa wale waliobebeshwa Tawraat, kisha wasiibebe ni kama mfano wa punda abebaye mijalada ya vitabu. Ubaya ulioje mfano wa watu waliokadhibisha Aayaat (na Ishara, Dalili) za Allaah! Na na Allaah Haongoi watu madhalimu".
#Quran [62:5]

-Je Allah katukana na ni kinyume na maadili?
Wapaswa kufahmu kuwa tusi na kejeli ni pale unapomuita mja jina lisilomstahiki lakini kwa mwenendo wa Bwn Kasim mafuta na mfanowe,kufuata watawala wasiohukumu kwa sheria ya Allah na kupindisha ayaat kwa maslahi yao binafsi ndio maana baadhi ya wanazuoni wakawaita punda wa watawala
 
Una uhakika kuwa Sheikh anapindisha Aya kwa maslahi ya watawala? Katika anayofundisha kuna ambayo liko kinyume na Qur'an na Sunnah? Kwa mujibu wa Uislamu Mtawala hakosolewi hadharani wala haombewi Dua mbaya. Na miongoni mwa dalili za watu wa Sunnah ni kuwaombea Dua nzuri watawala. Watawala ni binadamu kama binadamu wengine. Wanakosea na wanapatia.
 
Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na dalili,na sio maneno matupu tu..
Labda unisaidie kuhusu hii hadith

«أَفْضَلُ الْجِهَادِ كَلِمَةُ حَقٍّ عِنْدَ سُلْطَانٍ جَائِرٍ» “Jihad iliyo bora kabisa ni kusema neno la kweli mbele ya mtawala jeuri.”
 
Back
Top Bottom