Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

Kumtii mtawala kafiri
Swali: Muislamu mwenye kueshi katika mji wa makafiri. Je, ni wajibu kwake kumtii raisi wa mji? Vipi tutajumuisha baina ya kumtii kafiri huyu na kukufuru Twaaghuut?
Jibu: Amtii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah. Asimtii katika ukafiri wala maasi. Ama katika mambo yanayoruhusu, hakuna neno. Lakini haijuzu kwake kueshi katika mji wa kikafiri ilihali ana uwezo wa kuhama kwenda katika miji ya waislamu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
 
Angalia usije kuingia katika Aya hii

اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّـهِ وَالْمَسِيحَ ابْنَ مَرْيَمَ وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا إِلَـٰهًا وَاحِدًا ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَانَهُ عَمَّا يُشْرِكُونَ﴿٣١﴾

"Wamewafanya Ahbaar[6] (Mafuqahaa wa Kiyahudi) wao na Ruhbaan (Monaki)[7] wao kuwa ni miola badala ya Allaah, na (pia) Al-Masiyh mwana wa Maryam na hali hawakuamrishwa isipokuwa kumwabudu Ilaah Mmoja Pekee.[8] Hapana mwabudiwa wa haki ila Yeye tu. Utakasifu ni Wake kutokana na yale yote wanayomshirikisha nayo".
-At Tawba(9:31)
 
Mzee kama unataka kupata radhi za Allah jiweke mbali na fikra za "kuabudu masheikh " kama wanaswara wanavyoabudu viongozi wao,hii ni dini ambayo kwayo dalili zipo wazi na sio kujiegemeza kwenye Taqliid

wanawafanya wanazuoni wao na Mapadri wao kuwa ni Miungu. (at-Tawba, 31) Wakati Adiy bin Hatim, aliyesilimu kutoka katika Ukristu, alisema, “Ewe Mjumbe wa Allah! Hatuwafanyi kuwa ni Miungu wetu”, Mjumbe wa Allah (Salallahu Alayhi wasallaam.) akasema,

“Wanaharamisha alichokihalalisha Allah na kuhalalaisha Allah alichokiharamisha. Hili linamaanisha kuwafanya Miungu wao.” (2)
 
Kumtii mtawala kafiri
Swali: Muislamu mwenye kueshi katika mji wa makafiri. Je, ni wajibu kwake kumtii raisi wa mji? Vipi tutajumuisha baina ya kumtii kafiri huyu na kukufuru Twaaghuut?
Jibu: Amtii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah. Asimtii katika ukafiri wala maasi. Ama katika mambo yanayoruhusu, hakuna neno. Lakini haijuzu kwake kueshi katika mji wa kikafiri ilihali ana uwezo wa kuhama kwenda katika miji ya waislamu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
Kwa hiyo tuache kauli za kina Shaykhul Mujadid Muhammad ibn AbdulWahaab tufuate kauli za kina Fawzaan?

📌 Shaykh Mohammad Bin Abdul-Wahhab said,

"Whoever prevents clear symbols of Islam, or resists clear laws from Islamic Shariah then he is to be fought until he affirms it and obligated himself to it."

📚 Ad-Durar As-Saniyyah 9/292
 
Kila mtawala wa nchi anatakiwa kutiiwa
Swali: Baadhi wanasema kuwa ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni khaliyfah wa jumla?
Jibu: Tangu hapo kale kila nchi au mji una kiongozi wake. Wanachuoni waliokutana na hayo hawakutamka kwa upotevu kama huu. Kila mtawala katika mji anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah nabi-21-11-1436-01.mp3
 
Qur-aaniyyuun ni kipote potevu
Swali: Mimi nina ami ambaye anapinga Sunnah na anafanyia mzaha Hadiyth juu ya kumsikiliza na kumtii mtawala ambapo nikamnasihi mara nyingi lakini bado ni mwenye kuendelea kushikamana na msimamo wake na wala habadiliki. Ni ipi hukumu ya Kishari´ah?
Jibu: Kuna kipote cha kipotevu kinachoitwa “Qur-aaniyyuun” ambacho kinadai kuwa hakitendei kazi isipokuwa Qur-aan peke yake. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Khawaarij ndio wenye kupinga Sunnah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah - 11 - 1 - 1437.mp3
Imechapishwa: 14/03/2017
 
Khawaarij hawaelewi manufaa yanayopatikana kwa kuwatii watawala
Allaah (Ta´ala) amesema:
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا أَطِيعُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ وَأُولِي الْأَمْرِ مِنكُمْۖ فَإِن تَنَازَعْتُمْ فِي شَيْءٍ فَرُدُّوهُ إِلَى اللَّـهِ وَالرَّسُولِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّـهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۚ ذَٰلِكَ خَيْرٌ وَأَحْسَنُ تَأْوِيلًا
“Enyi mlioamini! Mtiini Allaah na mtiini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Allaah na Mtume mkiwa mnamwamini Allaah na siku ya Mwisho. Hivyo ni njia bora na matokeo mazuri zaidi.” (04:59)
Kuwatii – watawala – ni katika kumtii Allaah. Mtawala akiamrisha kumtii Allaah (Tabaarak wa Ta´ala), akaamrisha jambo linaloruhusu [mubaah] midhali sio maasi, ni lazima kwa waumini kumsikiliza na kumtii ili kuhakikisha amri ya Allaah na Mtume Wake. Watekeleze hilo kwa kuchunga maslahi ya viumbe, Ummah na kuihifadhi dini.
Khawaarij hawajui mambo haya na hawayaelewi. Kwa ajili hii ndio maana harakati na mienendo yao inasababisha nyuma yake katika Ummah ufisadi na madhara yasiyojua yeyote isipokuwa Allaah katika kumgwada damu, ukiukwaji wa heshima [za watu], watu kuporwa, nafsi za watu zinakuwa na khofu na woga, ufisadi wa mauaji, wizi, uporaji unaenea na mengineyo. Kutokana na maslahi haya makubwa ambayo Khawaarij na wafuasi wao hawayatambui ndio maana Allaah na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakaamrisha kuwatii watawala.
Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaaswid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/223)
Imechapishwa: 26/08/2020
 
45. Maana ya Twaaghuut
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
Allaah Ameutumia kila Ummah Mtume, kuanzia kwa Nuuh mpaka kwa Muhammad, ili kuwaamrisha kumuabudu Allaah Peke Yake na akiwakataza shirki. Dalili ni Kauli Yake (Ta´ala):
وَلَقَدْ بَعَثْنَا فِي كُلِّ أُمَّةٍ رَّسُولًا أَنِ اعْبُدُوا اللَّـهَ وَاجْتَنِبُوا الطَّاغُوتَ
“Hakika Tulituma katika kila ummah Mtume [awaamrishe watu wake] kwamba: “Mwabuduni Allaah na jiepusheni na Twaaghuut.”” (Ibraahiym 16:36)
Allaah amewafaradhishia viumbe vyote kukanusha Twaaghuut na badala yake kumuamini Allaah. Ibn Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
“Twaaghuut ni kila chenye kuabudiwa, kinachofuatwa au kutiiwa ambacho mja anapindukia mipaka yake.”
Twawaaghiyt ni wengi. Wakubwa wao ni watano:
Ibliys, Allaah amlaani.
Yule mwenye kuabudiwa hali ya kuwa yuko radhi kwa hilo.
Yule mwenye kuwaita watu katika kumuabudu.
Yule mwenye kudai kujua kitu katika elimu ya ghaibu.
Yule asiyehukumu kwa yale aliyoteremsha Allaah.
Dalili ni Kauli Yake (Ta´ala):
لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ ۖ قَد تَّبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنَ الْغَيِّ ۚ فَمَن يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِن بِاللَّـهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّـهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
“Hapana kulazimisha katika Dini, kwani imekwishabainika kati ya Uongofu na upotofu. Basi atakayemkanusha twaaghuut na akamwamini Allaah kwa hakika atakuwa ameshikilia imara kishikilio madhubuti kisichovunjika, na Allaah ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.” (al-Baqarah 02:256)
MAELEZO
Twaaghuut ni kila chenye kuabudiwa badala ya Allaah na kikaridhika na hilo. Kadhalika kila yule mwenye kuhukumu kinyume na aliyoteremsha Allaah au akalingania katika hilo. Twaaghuut imetokamana na neno الطغيان na ni kule kuvuka mpaka.
Twaaghuut ni yule anayevuka mpaka ima kwa shirki yake na kufuru yake au akalingania katika hayo yaliyotajwa. Mbaya wao kabisa ni Ibliys, Allaah amlaani. Vilevile inahusiana na kila yule mwenye kuwaita wengine wamuabudu yeye au akaridhia wengine wamuabudu yeye badala ya Allaah, kama alivyofanya Fir´awn na Namruud. Pia anaingia humo kila yule mwenye kudai kujua mambo yaliyofichikana. Mfano wa hao ni makuhani, wapiga ramli na wachawi, katika kipindi cha kishirikiana na baada ya kuja Uislamu. Kadhalika anaingia humo yule mwenye kuhukumu kinyume na yale aliyoteremsha Allaah kwa kukusudia. Hawa ndio wakubwa wa Twawaaghiyt. Kila yule ambaye atavuka mpaka na akaacha kumtii Allaah ni Twaaghuut.
Allaah (Ta´ala) amesema:
لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ ۖ قَد تَّبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنَ الْغَيِّ
“Hapana kulazimisha katika Dini, kwani imekwishabainika kati ya Uongofu na upotofu.”
Uongofu ni Uislamu na yale yote aliyokuja nayo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Upotofu ni kufuru na upotevu. Amesema (Ta´ala):
فَمَن يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِن بِاللَّـهِ
“Basi atakayemkanusha twaaghuut na akamwamini Allaah.”
Kukufuru Twaaghuut ina maana ajitenge nayo mbali na aitakidi kuwa ni batili. Anatakiwia kujiweka mbali na shirki. Kumuamini Allaah ina maana asadikishe kuwa Allaah ndiye muabudiwa Wake na kwamba ndiye mungu wa haki, aamini Shari´ah na Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ajisalimishe na hayo. Mwenye kufanya hayo ndiye muumini. Halafu (Ta´ala) akasema:
فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّـهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
“… atakuwa ameshikilia imara kishikilio madhubuti kisichovunjika, na Allaah ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.” (02:256)
Bi maana ameshikilia kishikilio madhubuti, nayo ni hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah. Anayefanya hivo ameshikilia kishikilio madhubuti kisichovunjika. Mwenye kushikamana kikweli na shahaadah na akawa na msimamo juu yake atafikia Pepo na furaha. Shahaadah ina masharti yake; Allaah peke yake ndiye anatakiwa kuabudiwa, ndiye anatakiwa kutiiwa na Shari´ah Yake inatakiwa kufuatwa.
Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndiye Mtume na Nabii wa mwisho. Yeye ndiye Mtume wa Allaah kwa walimwengu wote; majini na watu wote. Ni wajibu kwa kila yule ambaye ´ibaadah ni yenye kumuwajibikia kumtii yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kufuata Shari´ah yake. Hairuhusiwi kwa yeyote kuacha kumfuata. Shari´ah yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) imefuta Shari´ah zote zilizotangulia hapo awali. Amesema (Ta´ala):
قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللَّـهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا
“Sema: “Hakika mimi ni Mtume wa Allaah kwenu nyinyi nyote.”” (07:158)
Kabla yake amesema (Subhaanah):
فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ
”Basi wale waliomwamini na wakamtukuza na wakamnusuru na wakafuata Nuru iliyoteremshwa pamoja naye, hao ndio wenye kufaulu.” (07:157)
وَمَن يَكْفُرْ بِهِ مِنَ الْأَحْزَابِ فَالنَّارُ مَوْعِدُهُ
”Atakayeikanusha kati ya makundi, basi Moto ndio mahali pa miadi yake.” (11:17)
Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Hadiyth Swahiyh:
”Ninaapa kwa Yule ambaye nafsi yangu iko mkononi Mwake hakuna myahudi wala mnaswara yeyote katika Ummah huu atayesikia kuhusu ujio wangu kisha asiamini yale niliyotumwa nayo, isipokuwa atakuwa katika watu wa Motoni.”[1]
Kuna Aayah na Hadiyth nyingi kama hizo juu ya hilo. Wanachuoni wote wamekubaliana juu ya kwamba haifai kwa yeyote katika Ummah huu kuacha Shari´ah ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba yule mwenye kuonelea hivo ni kafiri.
[1] Muslim (153).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 58-59
Imechapishwa: 15/02/2017
Hapa umenukuu Kauli ya Sheikh Ibn Baz (rahimahullaah) kwa kuwa inaendana na msimamo Wako. Kauli za masheikh wengine huzitaki kwakuwa unahisi hazisapoti msimamo Wako.
 
Ndio huo " upunda" tunaousema,Yaani uache Kauli ya Allah na mtume wake ufuate kauli ya Humeid?
217. Kuwaheshimu wanazuoni
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
163 – Wanazuoni wa Salaf katika wale waliotangulia na wa baada yao katika wale waliokuja baadaye ambao ni watu wema waliokuwa wanafata mapokezi na waliokuwa na ufahamu na uoni, haitakiw kuwataja isipokuwa kwa njia nzuri tu. Yule mwenye kuwataja kwa ubaya hafuati njia ya sawa.
MAELEZO
Alipomaliza kutaja haki za Maswahabah na watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), yale mapenzi yanayopasa juu yao na kutomtukana yeyote katika wao, ndipo akaenda (Rahimahu Allaah) kwa wale wanaofuata katika ubora; nao ni wanazuoni. Wanazuoni wa ummah wana nafasi na ubora baada ya Maswahabah. Kwa sababu wanazuoni ndio warithi wa Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam). Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Wanazuoni ndio warithi wa Mitume. Hakika Mitume hawakuacha dinari wala dirhamu, hakika si vyenginevyo walichoacha ni elimu. Yule mwenye kujinyakulia nayo basi amebeba fungu kubwa.”[1]
Wanaokusudiwa ni wanazuoni wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah, wanazuoni walio na uoni na uelewa na wanaofata mapokezi. Nao kwa msemo mwingine ni Ahl-ul-Hadiyth.
Wanazuoni wamegawanyika sampuli mbili:
1 – Wanazuoni wa mapokezi (الأثر). Wanazuoni wa Hadiyth. Ni wale wanaotilia umuhimu Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam), wakazihifadhi, wakazitetea na wakawafikishia nazo ummah zikiwa safi kabisa, kama alivyozitamka Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam). Wakazikinga na kila kisichostahiki kuingia na kila uwongo na wakazitenga na Hadiyth zilizozuliwa, wakazibainisha na kuzitambulisho. Hawa ndio wanazuoni wa masimulizi (علماء الرواية).
2 – Wanazuoni wa Fiqh. Hawa ni wale wanazuoni ambao wananyofoa hukumu mbalimbali kutoka katika dalili hizi, wakabainisha uelewa wake, wakazisherehesha na kuwabainishia nazo watu. Hawa ndio wanazuoni wa elimu inayosimuliwa (علماء الدراية).
Baadhi ya wanazuoni wamekusanya aina zote mbili, akiwemo Imaam Ahmad, Maalik, ash-Shaafi´iy na al-Bukhaariy. Wanazuoni wote hawa wana fadhilah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam) amesema:
“Allaah ampambe mtu ambaye amesikia maneno yangu, akayahifadhi, akayaelewa na kuyafikisha kama alivyoyasikia.”[2]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam) amewaombea du´aa na kuwasifu. Wanazuoni wamesimamia majukumu waliyopewa na Allaah katika kuitetea dini na ´Aqiydah. Wanazibainisha hukumu, mirathi, yaliyo halali na yaliyo haramu na maana ya Qur-aan na Sunnah. Wamewaachia ummah hazina kubwa ambayo wanafaidika nayo na kurejea katika vipimo wakati mambo yanapotatiza.
Uelewa umegawanyika sampuli mbili:
1 – Uelewa mkubwa, bi maana ule uelewa wa ´Aqiydah.
2 – Uelewa wa kuzitendea kazi hukumu. Si muhimu zaidi kuliko uelewa mkubwa.
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema wakati alipokuwa anasisitiza ubora wa wanazuoni:
“Ubora wa mwanachuoni ukimlinganisha na mfanya ´ibaadah ni kama ubora wa nyota ukilinganisha na sayari zilizosalia.”[3]
Hilo ni kwa sababu manufaa yao yanaenea. Imekuja katika upokezi mwingine:
“Ubora wa mwanachuoni ukimlinganisha na mfanya ´ibaadah ni kama ubora wangu ukilinganisha na yule aliye chini yenu kabisa.”[4]
Wanazuoni wana haki ya kuheshimiwa na wana hadhi. Kwa hivyo haijuzu kuwaponda na kuwadharau hata kama kutatokea kwa baadhi yao makosa katika mambo ya kujitahidi. Makosa kama haya ya kujitahidi hayapelekei kuwadharau. Wanaweza kukosea licha ya kwamba wamekusudia haki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Anapojitahidi hakimu na akapatia, basi ana ujira mara mbili. Na anapojitahidi na akakosea, basi ana ujira mara moja.”[5]
Hadiyth hii inawahusu wanazuoni na si wale wanaojifanya na wao ni wanazuoni. Wanaojifanya ni wanazuoni hawana haki kabisa ya kuingia katika mambo wasiyoyaweza.
[1]Abu Daawuud (463), at-Tirmidhiy (2687) na Ibn Maajah (223). Nzuri kupitia zingine kwa mujibu wa al-Albaaniykatika ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (70).
[2]Ibn Maajah (230-232) na (3056). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniykatika ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (91).
[3]at-Tirmidhiy (2682). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniykatika ”Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (2682).
[4]at-Tirmidhiy (2685). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniykatika ”Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (2685).
[5]al-Bukhaariy (6919) na Muslim (1716).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 236-238
Imechapishwa: 28/04/2025
 
Angalia usije kuingia katika Aya hii

اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّـهِ وَالْمَسِيحَ ابْنَ مَرْيَمَ وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا إِلَـٰهًا وَاحِدًا ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَانَهُ عَمَّا يُشْرِكُونَ﴿٣١﴾

"Wamewafanya Ahbaar[6] (Mafuqahaa wa Kiyahudi) wao na Ruhbaan (Monaki)[7] wao kuwa ni miola badala ya Allaah, na (pia) Al-Masiyh mwana wa Maryam na hali hawakuamrishwa isipokuwa kumwabudu Ilaah Mmoja Pekee.[8] Hapana mwabudiwa wa haki ila Yeye tu. Utakasifu ni Wake kutokana na yale yote wanayomshirikisha nayo".
-At Tawba(9:31)
79. Ni nani tutawarejelea ikiwa sio wanazuoni?
Swali 79: Je, ni katika kuleta mkusanyiko kati ya waislamu kudharau baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa na kuwatuhumu kujikombakomba na kuwa ni vibaraka?
Jibu: Ni lazima kuwashimu wanazuoni wa Kiislamu kwa sababu wao ndio warithi wa Mitume. Kuwadharau kunahesabika ni kuzidharau nafasi zao, urithi wao wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ile elimu waliyoibeba. Ambaye anawadharau wanazuoni basi kwa wepesi kabisa atawadharau waislamu wengine. Kwa hivyo ni lazima kuwaheshimu wanazuoni kutokana na elimu yao, nafasi zao katika ummah na yale majukumu waliyoyabeba kwa ajili ya manufaa ya Uislamu na waislamu. Ikiwa hawaaminiwi wanazuoni ni nani ambaye ataaminiwa? Ukiondoka uaminifu juu ya wanazuoni waislamu watarejea kwa nani katika kuyamaliza matatizo yao na kuzibainisha hukumu za Shari´ah? Hakimu anapojitahidi na akapatia, basi anapata ujira mara mbili. Na anapojitahidi na akakosea, basi anapata ujira mara moja na lile kosa linasamehewa. Hakuna yeyote aliyewadharau wanazuoni isipokuwa ameiweka nafsi yake katika khatari ya kuadhibiwa. Historia ni ushahidi bora juu ya hilo, khaswa ikiwa wanazuoni hawa wamepewa jukumu ya kuyaangalia mambo yanayowahusu waislamu, kama vile mahakimu na kamati ya Kibaar-ul-´Ulamaa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 200-202
Imechapishwa: 21/07/2024
Taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
 
Hapa umenukuu Kauli ya Sheikh Ibn Baz (rahimahullaah) kwa kuwa inaendana na msimamo Wako. Kauli za masheikh wengine huzitaki kwakuwa unahisi hazisapoti msimamo Wako.
Sasa n mm au Furqatu Najia? Au hujaona link?
 
79. Ni nani tutawarejelea ikiwa sio wanazuoni?
Swali 79: Je, ni katika kuleta mkusanyiko kati ya waislamu kudharau baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa na kuwatuhumu kujikombakomba na kuwa ni vibaraka?
Jibu: Ni lazima kuwashimu wanazuoni wa Kiislamu kwa sababu wao ndio warithi wa Mitume. Kuwadharau kunahesabika ni kuzidharau nafasi zao, urithi wao wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ile elimu waliyoibeba. Ambaye anawadharau wanazuoni basi kwa wepesi kabisa atawadharau waislamu wengine. Kwa hivyo ni lazima kuwaheshimu wanazuoni kutokana na elimu yao, nafasi zao katika ummah na yale majukumu waliyoyabeba kwa ajili ya manufaa ya Uislamu na waislamu. Ikiwa hawaaminiwi wanazuoni ni nani ambaye ataaminiwa? Ukiondoka uaminifu juu ya wanazuoni waislamu watarejea kwa nani katika kuyamaliza matatizo yao na kuzibainisha hukumu za Shari´ah? Hakimu anapojitahidi na akapatia, basi anapata ujira mara mbili. Na anapojitahidi na akakosea, basi anapata ujira mara moja na lile kosa linasamehewa. Hakuna yeyote aliyewadharau wanazuoni isipokuwa ameiweka nafsi yake katika khatari ya kuadhibiwa. Historia ni ushahidi bora juu ya hilo, khaswa ikiwa wanazuoni hawa wamepewa jukumu ya kuyaangalia mambo yanayowahusu waislamu, kama vile mahakimu na kamati ya Kibaar-ul-´Ulamaa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 200-202
Imechapishwa: 21/07/2024
Taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
We kweli ni Tatizo,sisiti kusema ni "kichwa maji" kuminyana tu mradi kupoteza muda,maanake toka tumeanza mwanzo hakuna hoja uliyoshika ukaisimamia ni kurukaruka tu huku na kule
Sasa upumbavu wa hivyo ni kupotezeana muda
Baki na ujinga wako halafu siku ya hukumu ndiyo utalia na kusaga meno,kujitia uhayawani
 
Kila mtawala wa nchi anatakiwa kutiiwa
Swali: Baadhi wanasema kuwa ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni khaliyfah wa jumla?
Jibu: Tangu hapo kale kila nchi au mji una kiongozi wake. Wanachuoni waliokutana na hayo hawakutamka kwa upotevu kama huu. Kila mtawala katika mji anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah nabi-21-11-1436-01.mp3
[URL
Nilijua najadiliana na mtu timamu kumbe "kichwa maji"
Sasa ujinga wa hivyo mm sina,endelea na upotofu wako na kamwe batili haijawahi kushinda haki
Huo ujinga wa kufanyia kibri haki kwa maslahi ya mapunda wako endelea nao na kamwe haotokusaidia vyovyote zaidi ya majuto akhera
 
Kiburi na usuasavu kwenye haki wala sio ujanja,mm nishakufikishia na kesho nitashuhudia juu ya hilo,sasa endelea kukumbatia ufedhuli wako na mm sina tena muda nawewe
Waswahili walinena
"Mwabaharanu hata umuweke kwenye chupa atatoa tu dole mradi aonekane"
 
Nilijua najadiliana na mtu timamu kumbe "kichwa maji"
Sasa ujinga wa hivyo mm sina,endelea na upotofu wako na kamwe batili haijawahi kushinda haki
Huo ujinga wa kufanyia kibri haki kwa maslahi ya mapunda wako endelea nao na kamwe haotokusaidia vyovyote zaidi ya majuto akhera
Matusi ya nini ewe kijana Mwenye fikra chafu za Kikhawaarij?
 
Matusi ya nini ewe kijana Mwenye fikra chafu za Kikhawaarij?
SIwezi poteza tena muda kujibishana na " punda" ni kuwa watu watatuweka chungu kimoja,ila jua batili haiwezi kushinda haki..kalia " upunda" wako
Nikuweke tu kwenye ignore list
 
SIwezi poteza tena muda kujibishana na " punda" ni kuwa watu watatuweka chungu kimoja,ila jua batili haiwezi kushinda haki..kalia " upunda" wako
Nikuweke tu kwenye ignore list
Tufuate Qur'an na Sunnah kwa ufahamu wa wajawema waliotangulia(Salafu swaaleh)
Acha kutafsiri viwili hivyo kwa ufahamu Wako utapotea.
 
nilimuona dodoma juz Magharibi hapo ofcourse salafi wao ambao wanafata mafundisho yao.wao hawaamin katika ishu hizi za maandamano, migomo sijui hiv.wao hata kuishi tu katika mataifa haya wanaamin katika dharura tu.
 
SIwezi poteza tena muda kujibishana na " punda" ni kuwa watu watatuweka chungu kimoja,ila jua batili haiwezi kushinda haki..kalia " upunda" wako
Nikuweke tu kwenye ignore list
sasa mwalim mim nina swal dogo.iweje saudia wanaruhusu pombe na club?
 
Back
Top Bottom