Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

Eti wamhstaki kwa mwenyezi Mungu😂. Si kuna shehe alisema atamshataki mange kwa mungu, mange bado yupo anadunda, ama huyo mwenyezi Mungu ni kiziwi hasikii mashataka?

Huyo shehe na huyo mwenyezi mungu wake wote ni wacenge wanapigwa miti.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
SHEIKH KUNDECHA AKEMEA MAUDHUI YA TWITTER ( X ) HUSUSANI CHAPISHO LA MARIA SARUNGI, AWATAKA WAISLAM KUIKATAA TWITTER (X)

Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema picha hizo sio tu zinamdhihaki Rais bali zinadhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.

Ambapo katika Chapisho hilo Maria Sarungi alituma picha ya Chura akiwa amevaa vazi la Hijab, jambo ambalo ni sawa na kuikashifu na kutukana jamii ya Waislamu Tanzania na Duniani kiujumla.

Shekh Mussa Kundecha amemtaka Maria Sarungi afute chapisho hilo haraka sana kabla wauumini wa dini ya kislamu hawajaungana kwa pamoja kushitaki kwa MwenyeziMungu juu ya jambo hilo ambalo halina taswira nzuri kwa waumini wa Dini ya Kiislamu.
Ameshindwa kukemea aliyewaweka kundi moja Samia pamoja na mtume Muhammad na Yesu anahangaika na katuni....
 
Hijab ni nguo au vazi ambalo wanawake wa Kiislamu huvaa kwa lengo la kujisitiri, kulinda heshima yao, na kuzingatia amri za dini kuhusu mavazi. Hijab si tu kwa ajili ya mavazi bali ni sehemu ya mtindo wa maisha, ikijumuisha mwenendo, maadili, na nia ya kutafuta radhi za Allah. Hapa kuna ufafanuzi wa hijab katika Uislamu, ukijumuisha aya za Quran na Hadithi zinazohusiana:

Aya za Quran kuhusu Hijab​

  1. Surah An-Nur (24:31):
    • "Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa yale yanayo dhihirika; na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume zao, au wana wao, au wana wa waume zao, au ndugu zao, au wana wa ndugu zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyohusu uke. Wala wasipige miguu yao ili yajulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa."
  2. Surah Al-Ahzab (33:59):
    • "Ewe Nabii! Waambie wake zako na binti zako na wanawake wa Waumini wateremshe juu yao jalbab zao. Kufanya hivyo kutapelekea watambulike kwa hivyo wasidhuriwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu."

Hadithi kuhusu Hijab​

  1. Sahih Bukhari:
    • Aisha (RA) aliripoti kuwa Asma bint Abi Bakr aliingia kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa amevaa nguo nyepesi. Mtume (SAW) akamgeukia na kusema: "Ewe Asma! Mwanamke anapofikia umri wa kubaleghe, haifai kuonekana sehemu yoyote ya mwili wake isipokuwa hii na hii," huku akionyesha uso wake na viganja vyake.
Vipi kuhusu Hadith Idadi ya 12,465 ya Muhammad na Al Hassan mwana wa Ally. Je Muhammad alivaa hijab wakati anamnyonya ulimil, kuuramba mdomo na kuuchezea umme wa wa Al mwana wa hassan?
 
Angalikuwa muislam kaandika haya JF mod angalikuwa ashampiga ban. Quran imeeleza wazi chuki za wakiristo dhidi ya waislam na uislam
 
SHEIKH KUNDECHA AKEMEA MAUDHUI YA TWITTER ( X ) HUSUSANI CHAPISHO LA MARIA SARUNGI, AWATAKA WAISLAM KUIKATAA TWITTER (X)

Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema picha hizo sio tu zinamdhihaki Rais bali zinadhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.

Ambapo katika Chapisho hilo Maria Sarungi alituma picha ya Chura akiwa amevaa vazi la Hijab, jambo ambalo ni sawa na kuikashifu na kutukana jamii ya Waislamu Tanzania na Duniani kiujumla.

Shekh Mussa Kundecha amemtaka Maria Sarungi afute chapisho hilo haraka sana kabla wauumini wa dini ya kislamu hawajaungana kwa pamoja kushitaki kwa MwenyeziMungu juu ya jambo hilo ambalo halina taswira nzuri kwa waumini wa Dini ya Kiislamu.
Hivi yule shehe Alihad ule mkwara wake kuwa atakuwa mtu wa mwisho kutukanwa na Mange uliishia wapi? Zamani nilikuwa nikisikia waumini wa dini fulani wataungana kuomba jambo Fulani kama mvua, au kulaani mtu nilikuwa mnaamini, lakini nimekuja kugundua ni usanii mtupu.
 
Kwani yameanzia wapi? Isije ikawa alianzisha mwenyewe yakamrudia
 
Hivi yule shehe Alihad ule mkwara wake kuwa atakuwa mtu wa mwisho kutukanwa na Mange uliishia wapi? Zamani nilikuwa nikisikia waumini wa dini fulani wataungana kuomba jambo Fulani kama mvua, au kulaani mtu nilikuwa mnaamini, lakini nimekuja kugundua ni usanii mtupu.
usanii tena. waulize wahuni wenzio
 
Huna habari kuwa Mange anaishi kwa huzuni kwa kupewa talaka na mume wake,kwako waona ni jambo dogo,kwake ni kubwa,alikuwa akikanusha,lakini sasa kakubali matokeo.
Huko nje wanawake hawaendekezi kuolewa. Au unadhani Mange ni aina ya wanawake wanaoona fahari kumpikia mume wake? Hayo maisha ya mwanamke kuona fahari kumpikia mumewe yako kwenu nyie washamba.
 
usanii tena. waulize wahuni wenzio
Hizo dini za kuletwa na majahazi zimeteka akili zenu nyie mazombie. Ule usanii wa eti viongozi wa dini kuombea mvua unakuwaga usanii wa mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom