Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema picha hizo sio tu zinamdhihaki Rais bali zinadhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.

Ambapo katika Chapisho hilo Maria Sarungi alituma picha ya Chura akiwa amevaa vazi la Hijab, jambo ambalo ni sawa na kuikashifu na kutukana jamii ya Waislamu Tanzania na Duniani kiujumla.

Shekh Mussa Kundecha amemtaka Maria Sarungi afute chapisho hilo haraka sana kabla wauumini wa dini ya kislamu hawajaungana kwa pamoja kushitaki kwa MwenyeziMungu juu ya jambo hilo ambalo halina taswira nzuri kwa waumini wa Dini ya Kiislamu.

View attachment 3017478
Hawa mashehe wasichoelewa, pamoja na Mwamposa, kama mtu ameamua kukuchafua, ukifunga x ataenda facebook au instagram. Labda ufungie mitandao yooote, hadi tik tok. Lakini shida nini? Kwasababu tu ya mwanadamu mmoja anayetukanwa na mange ndio watu wote ituhusu? Hiyo wanajuana yeye na mange, mimi sipo tayari kumtetea yeye wala mange, wanajuana wao wenyewe.
 
Kuna matukio Huwa wanasema hijab, uislam na uarabu utofautishwe.

Akionekana mtu mwenye hijabu anakula kitimoto. Waislam hawakawii kusema hijab haina dini
Paliwahi kuahushwa aya ya unwaafiki mana palionekana watuwa jamii hiyo ni wanafiki sana.
Hili likatiba linalomfanya Rais kuwa mungu ni la hovyo sana.

Watu wanatetea matumbo yao na vyeo vyao kwa kuingiza mambo ya dini.

Uislam kwanza haukubali mwanamke kuwa mtawala juu ya wanaume.
Sasa nani aliyeukiuka uslam kama sio huyo mwenyewe.
Ukiwabanda wanasema Nchi haina dini. Wakiona madaraka ni matamu wanatumia dini kuhadaa umma.

Hawa wanaotawala hawajashika dini hata chembe . Wana majina ya dini na kujifanya waumini ili wapate kuungwa mkono lakini matendo yao ni kama yaleeeee ya yule wa mkoa wa Kule aliyemfanyia mwanafunzi 2a Chuo. Ni matendo ya kawaida na hatujasikia Huyo shekhe kipofu akikemea tabia za ulawiti ambazo ni mbaya hata kwa shetani anashangaa . Wao wanaangalia Katuni na mavazi . Safisheni kwanza kikombe kwa ndani.Acheni kusafisha kikombe kwa njeili hali ndini nikichafu. Watu wanataka madaraka na pesa ndio maana wazungu na Waarabu walishirikiana kuuza waafrika na kuua mamilioni ya tembo wetu halafu leo wanajifanya .
 
nadhani wewe unahitaji msaada maalumu kwanza,

upigwe msasa vya kutosha jua ya tunu, mila, desturi, utamaduni na Imani za waTanzania, ili hatimae ukiwa na uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala hayo, uweze kukosa ujasiri na nguvu ya kuhoji au kupinga maoni na mtazamo wangu juu ya platform hii ya X inayolalamikiwa sana sasahivi, pande zote za nchi, na makundi mbalimbali ya kisiasa, taasisi za kidini, kiraia na watu binafsi [emoji205]
Mimi tayali nisha jipa nafasi ya ujinga, hivyo nimeuliza kwako wewe mwenye elimu, unipatia elimu ya maswali yangu hapo juu,sio blabla.

Naomba jibu nilicho kuuliza.Kama hujui sema wazi hujui ili uwe katika kundi la wajinga kama Mimi.
 
Hiyo picha ya chura aliyevaa hijab iko wapi sasa? 😳😳😳

Sarungi akijichanganya hiyo picha ikaenda viral asije akashangaa akitangaziwa Fatwa halafu jamaa wapite naye wawahi high table kwenye mabikra 72 wasiomaliza ubikra na mito ya pombe isiyokauka. Kama anabisha basi aende akawaulize akina Salmin Rushdie au wale waliochora sijui kibonzo cha Mtume. Dini zingine zina wafuasi ati!
Ile picha sioni kama ina shida yoyote ile, ni picha nzuri tu na ina akisi ubunifu.
 
Hijab ni uislam au uarabu? Au inategemea na tukio?
Kabla ya uislamu, wanawake wa kiarabu walikuwa hawana desturi ya kufunika kichwa, ila baada ya uislamu kukomaa ndio ikaja sheria ya hijabu kwenye uislamu na sio kwa waarabu!
 
Hijab ni nguo au vazi ambalo wanawake wa Kiislamu huvaa kwa lengo la kujisitiri, kulinda heshima yao, na kuzingatia amri za dini kuhusu mavazi. Hijab si tu kwa ajili ya mavazi bali ni sehemu ya mtindo wa maisha, ikijumuisha mwenendo, maadili, na nia ya kutafuta radhi za Allah. Hapa kuna ufafanuzi wa hijab katika Uislamu, ukijumuisha aya za Quran na Hadithi zinazohusiana:

Aya za Quran kuhusu Hijab​

  1. Surah An-Nur (24:31):
    • "Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa yale yanayo dhihirika; na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume zao, au wana wao, au wana wa waume zao, au ndugu zao, au wana wa ndugu zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyohusu uke. Wala wasipige miguu yao ili yajulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa."
  2. Surah Al-Ahzab (33:59):
    • "Ewe Nabii! Waambie wake zako na binti zako na wanawake wa Waumini wateremshe juu yao jalbab zao. Kufanya hivyo kutapelekea watambulike kwa hivyo wasidhuriwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu."

Hadithi kuhusu Hijab​

  1. Sahih Bukhari:
    • Aisha (RA) aliripoti kuwa Asma bint Abi Bakr aliingia kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa amevaa nguo nyepesi. Mtume (SAW) akamgeukia na kusema: "Ewe Asma! Mwanamke anapofikia umri wa kubaleghe, haifai kuonekana sehemu yoyote ya mwili wake isipokuwa hii na hii," huku akionyesha uso wake na viganja vyake.
weka na ile Hadithi ya Allah nae huvaa Hijab kama Mama chura asiyesikia

Hijab kwa Wanawake wa Kiislam aliyesababisha ni Sauda Mke wa Mudy Sauda alienda kichakani kukojoa na kunya Omary akamuona alivyochuchumaa akamuambia Nakuona Sauda unakunya pupuu... Sauda akawa hana la kufanya basi Omary akaenda kumuambia Mtume kuwa ni bora Wanawake wavae Hijab kama Allah... hapo hapo Mtume pamoja na ubishi wake akakubali akajifanya kashushiwa aya na Allah eti Hijab ni lazima.. kumbe ni wazo la Omary crazy cult religion. Sasa huyu shehe anataka kutudanganya nini anadhani tupo zama za mawe.. uongo wote wa uislam unapatikana mitandaoni hakuna la kuficha

Reference: Sahih al-Bukhari 146
In-book reference: Book 4, Hadith 12
USC-MSA web (English) reference: Vol. 1, Book 4, Hadith 148
Narrated `Aisha:
The wives of the Prophet (ﷺ) used to go to Al-Manasi, a vast open place (near Baqi` at Medina) to answer the call of nature at night. `Umar used to say to the Prophet (ﷺ) "Let your wives be veiled," but Allah's Apostle did not do so. One night Sauda bint Zam`a the wife of the Prophet (ﷺ) went out at `Isha' time and she was a tall lady. `Umar addressed her and said, "I have recognized you, O Sauda." He said so, as he desired eagerly that the verses of Al-Hijab (the observing of veils by the Muslim women) may be revealed. So Allah revealed the verses of "Al-Hijab" (A complete body cover excluding the eyes).

Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Wake zake Mtume walikuwa wakienda Al-Manasi, sehemu kubwa ya wazi (karibu na Baqi` hapo Madina) ili kunya nyakati za usiku. Umar alikuwa akimwambia Mtume “Waacheni wake zenu wafunike sira,” lakini Mtume wa Mwenyezi Mungu hakufanya hivyo. Usiku mmoja Sauda binti Zam`a mke wa Mtume (ﷺ) alitoka nje kunya wakati wa `Ishaa na Sauda alikuwa ni bibi mrefu. Umar alikuwa mhuni tu kama mtume akamnyatia akaenda kumchungulia kichakani kisha akamwambia na kusema, "Nimekutambua, ewe Sauda. nimeona kila kitu hadi kinyororo chako Sauda" Alisema hivyo, huku akitamani kwa shauku kwamba Aya za Al-Hijab (kuchunga sitara kwa wanawake wa Kiislamu) ziteremshwe. Basi Mwenyezi Mungu akateremsha Aya za “Al-Hijab” (Kifuniko kamili cha mwili isipokuwa macho).

Hapa tunaona kuwa Omar ndie alitaka Hijab na sio Allah katika Hadith nyingi Omar ndie akitoa wazo Allah analibeba zima zima kama lilivyo so Omar ndie mshirika wa Allah katika utunzi wa Quran
 
Siyo vyema masta,usimtusi tafadhali.

Ukiondoa ushehe wake huyo anaweza kuwa kama baba yako so tujenge nidhamu ya kuheshimu waliotuzidi umri hata kama tunahisi wapo tofauti na mawazo yetu.
1. Kwanza umebadilisha sentensi yangu kuweka neno wasenge, sijaandika mahala popote hilo neno na sijui hilo neno umelitoa wapi. Halafu unaniambia mimi natukana, wapi nimetukana?

2. Wewe umejuaje kwamba huyo mtu ama huyo shehe ananizidi umri, wewe unanijua, unajua umri wangu?

3. Kukusaidia, watu hawaheshimiwi kwa umri, wanaheshimiwa kwa busara kwa sababu umri ni kitu cha lazima kwa kila mtu, hata watu wapumbavu kuzeeka. Wazungu wana msemo usemao with age comes wisdom but sometimes age comes alone. So age will always come whether you like it or not, whether you are wise or not.

Jifunze kusoma vizuri uelewe hoja kabla ya kutoa maoni yako
 
Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema picha hizo sio tu zinamdhihaki Rais bali zinadhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.

Ambapo katika Chapisho hilo Maria Sarungi alituma picha ya Chura akiwa amevaa vazi la Hijab, jambo ambalo ni sawa na kuikashifu na kutukana jamii ya Waislamu Tanzania na Duniani kiujumla.

Shekh Mussa Kundecha amemtaka Maria Sarungi afute chapisho hilo haraka sana kabla wauumini wa dini ya kislamu hawajaungana kwa pamoja kushitaki kwa MwenyeziMungu juu ya jambo hilo ambalo halina taswira nzuri kwa waumini wa Dini ya Kiislamu.

View attachment 3017478
Ndg zangu waislam mkiwa mnasoma vitabu vya dini jitahidini kusoma History pia.Ukweli haupo kwa hao tu viongozi wa dini.Ukweli upo vitabuni.Hijab ilikuwepo kabla hata ya uislam,idea ya kufunika kichwa au sehemu ya mwili haikuanzia kwenye uislamu.Kuna ushahidi wa kutosha kwamba utamaduni huo ulikuwepo toka ancient civilization.Sijui kwann waislam wa Afrika wanakuwa hivi,mambo ya hapa Tanzania huwez kuyaona Saudi Arabia,Iran,Bahrain nk.Kuna watu wanadhan ukivaa kanzu ni muislamu😄 wakati limeazimwa kutoka kwenye uarabu na kwamba linavaliwa na wote mpaka wapagani/watu wa dini za asili.
Imagine hatuna hata uelewa wa mambo mengi mf kuna watu hawajui kwamba Wapalestina hao wanaopigwa na Waisrael leo ni wakristu na waislam na kwamba kabla ya Israel kutwaa ardhi ya wapalestina walikuwa half half moslem na wakristo!!!
By the way tunahitaji elimu sana hapa tulipo.Kuna tabia zinapandikizwa waislam weusi mpaka unashangaa mfano jinsi wanavyowachukulia waarabu!Hivi ndugu zangu mnajua kwamba hata mpiga adhana wa kwanza kwenye dini ya kiislam ni mtu mweusi mwenzenu!?
Waislam wa Sudan ya kaskazini waliona weusi wa kusini kama sio waislam pure wakawatenga sasa hivi waislam waarabu wa kaskazini wanawasafishakabila la Maserati ni waislam ambao ni weusi wa huko kaskazini waliokuwa wanajihisi wanaunasaba na waarabu!
Hivi viherehere vya kuwa na umoja katika mambo ambayo kimsingi hatujataka kujielimisha vya kutosha kuyahusu ni suala baya sana.Kuweni na umoja huo kwenye kupeleka watoto shule,kufanya tafiti nk kama waislam wenzenu huko Iran,Saudia nk
Kiongozi wa dini anakuwa mjinga kiasi hiki kweli?!Hivi huwa hata hamuoni akili nyingi walizonazo akina Prince Suleiman wa Saudia au yule wa Bahrain ama Ayatollah Ali Haminei?Mnaishi dunia gani aisee!Viongozi hao wanasoma dini na geopolitics wanaielewa vilivyo.Sisi viongozi wengi wa kidini wanaishia kutembelea Mecca na Italy basi.Imagine wisdom ya Kiongozi wa kidini wa Iran!!!!!!!Imagine yaan.Hawa wa kwetu hawa daah
 
Hijab ni nguo au vazi ambalo wanawake wa Kiislamu huvaa kwa lengo la kujisitiri, kulinda heshima yao, na kuzingatia amri za dini kuhusu mavazi. Hijab si tu kwa ajili ya mavazi bali ni sehemu ya mtindo wa maisha, ikijumuisha mwenendo, maadili, na nia ya kutafuta radhi za Allah. Hapa kuna ufafanuzi wa hijab katika Uislamu, ukijumuisha aya za Quran na Hadithi zinazohusiana:

Aya za Quran kuhusu Hijab​

  1. Surah An-Nur (24:31):
    • "Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa yale yanayo dhihirika; na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume zao, au wana wao, au wana wa waume zao, au ndugu zao, au wana wa ndugu zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyohusu uke. Wala wasipige miguu yao ili yajulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa."
  2. Surah Al-Ahzab (33:59):
    • "Ewe Nabii! Waambie wake zako na binti zako na wanawake wa Waumini wateremshe juu yao jalbab zao. Kufanya hivyo kutapelekea watambulike kwa hivyo wasidhuriwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu."

Hadithi kuhusu Hijab​

  1. Sahih Bukhari:
    • Aisha (RA) aliripoti kuwa Asma bint Abi Bakr aliingia kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa amevaa nguo nyepesi. Mtume (SAW) akamgeukia na kusema: "Ewe Asma! Mwanamke anapofikia umri wa kubaleghe, haifai kuonekana sehemu yoyote ya mwili wake isipokuwa hii na hii," huku akionyesha uso wake na viganja vyake.
"Veiling did not originate with the advent of Islam. Statuettes depicting veiled priestesses date back as far as 2500 BC. Elite women in ancient Mesopotamia and in the Byzantine, Greek, and Persian empires wore the veil as a sign of respectability and high status." mwisho wa kunukuu.
Umeelewa mkuu au tukutafsirie?
Mkisoma hayo ya dini muwe mnatoka na nje kusoma acheni ujinga
 
Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema picha hizo sio tu zinamdhihaki Rais bali zinadhihaki Vazi la kislaam na Waislam wote.

Ambapo katika Chapisho hilo Maria Sarungi alituma picha ya Chura akiwa amevaa vazi la Hijab, jambo ambalo ni sawa na kuikashifu na kutukana jamii ya Waislamu Tanzania na Duniani kiujumla.

Shekh Mussa Kundecha amemtaka Maria Sarungi afute chapisho hilo haraka sana kabla wauumini wa dini ya kislamu hawajaungana kwa pamoja kushitaki kwa MwenyeziMungu juu ya jambo hilo ambalo halina taswira nzuri kwa waumini wa Dini ya Kiislamu.

View attachment 3017478
Kundecha sasa anazeeka vibaya.

Hijab ni depiction ya fulani wala haikuwa Uislamu.

Shekhe wa hovyo aisee
 
..itakuwa vigumu kuchora kibonzo cha Mama Abduli kwasababu anavaa hijab.
 
"Veiling did not originate with the advent of Islam. Statuettes depicting veiled priestesses date back as far as 2500 BC. Elite women in ancient Mesopotamia and in the Byzantine, Greek, and Persian empires wore the veil as a sign of respectability and high status." mwisho wa kunukuu.
Umeelewa mkuu au tukutafsirie?
Mkisoma hayo ya dini muwe mnatoka na nje kusoma acheni ujinga
mkiristo akijua kuandika kiengereza kibovu anajiona kasoma? Ukimuuliza kiberiti kinatengenzwa vipi anakenua meno hajui hata kinatengenezwa vipi
 
Hijab ni nguo au vazi ambalo wanawake wa Kiislamu huvaa kwa lengo la kujisitiri, kulinda heshima yao, na kuzingatia amri za dini kuhusu mavazi. Hijab si tu kwa ajili ya mavazi bali ni sehemu ya mtindo wa maisha, ikijumuisha mwenendo, maadili, na nia ya kutafuta radhi za Allah. Hapa kuna ufafanuzi wa hijab katika Uislamu, ukijumuisha aya za Quran na Hadithi zinazohusiana:

Aya za Quran kuhusu Hijab​

  1. Surah An-Nur (24:31):
    • "Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa yale yanayo dhihirika; na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume zao, au wana wao, au wana wa waume zao, au ndugu zao, au wana wa ndugu zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyohusu uke. Wala wasipige miguu yao ili yajulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa."
  2. Surah Al-Ahzab (33:59):
    • "Ewe Nabii! Waambie wake zako na binti zako na wanawake wa Waumini wateremshe juu yao jalbab zao. Kufanya hivyo kutapelekea watambulike kwa hivyo wasidhuriwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu."

Hadithi kuhusu Hijab​

  1. Sahih Bukhari:
    • Aisha (RA) aliripoti kuwa Asma bint Abi Bakr aliingia kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa amevaa nguo nyepesi. Mtume (SAW) akamgeukia na kusema: "Ewe Asma! Mwanamke anapofikia umri wa kubaleghe, haifai kuonekana sehemu yoyote ya mwili wake isipokuwa hii na hii," huku akionyesha uso wake na viganja vyake.
Mbona katuni zinachorwa zimevaa kanzu wala hampigi yowee??
Acheni kuingia dini kwenye issue za siasa
Anaambiwa asijigeuze Chura anamkufuru Muumba wake ambaye alichagua kumuumba mtu na sio chura.
Istoshe hatutapenda chura atuongoze lazima tubaki watu na tuskilize wanaotuunga mkono na wanaotukosea kama hawezi mtu arudi nyumbani kaoshe vyombo na kumpikia musee.
Hivi mtume alikuwa na wake wangapi na dini inaruhusu wangapi? Under fourteen anaruhusiwa kuolewaa?? Tuhoji vyamana bana
 
akili zako nakwambieni za ajabu. unauliza mtume alikuwa na wake wangapi tena? ukiliza baba yake YESU anaitwaje? maana yeye kazaliwa na bi Maryam. akili za bata hizo zako
 
hukijui kwa sababu hutaki kujua, unataka ulete ngonjera humu ukijibiwa unaanza kulalamika. Tja baba yake YESU anaitwaje?
YESU ni alikuwepo,yupo na atakuwepo milele na milele daima, yeye alikuja duniani kwa mfano wa binadamu lakini kwa uwezo wa roho mtakatifu kupitia Kwa bikira maria mama Bora kuliko wanawake wote. Alikuja kutuokoa na dhambi na kupitia yeye tutaurithi ufalme wa mbingu na kufika paradiso.

Mtume M alizaliwa baada sana ya Bwana YESU wala hakumuona maana ni miaka takribani miatano naushee baada ya Kristo YESU, yeye ni mtoto wa Abdala na Amina walifariki na kumwacha mdoogo akalelewa na mjomba wake na kujifunza biashara ilomfanya kutembea nchi kadhaa na kujifunza dini ikiwamo ukristo... Alisali na kufunga mapangoni huko UARABUNI na kuja na hadithi nzuri tuu anazosema alishushiwa akiwa na miaka 25. Mafunzo yake yamejikita agano lakale naye amefundisha maryamu ni mama Bora aliyechaguliwa na Mungu na Kristo YESU hakuwa mtu wakawaiiida aliyepatikana kupitia mwanaume yaani Joseph.
Ukitaka mafunzo zaidi sema bosi...
 
Back
Top Bottom