Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

Kuna matukio Huwa wanasema hijab, uislam na uarabu utofautishwe.

Akionekana mtu mwenye hijabu anakula kitimoto. Waislam hawakawii kusema hijab haina dini
Kuna picha halisi mods wameifuta inamuonyesha mwanamama amevaa hijab huku anagida serengeti lite,ingenogesha hii post yako.
 
Shekhe unalalama kwa hijabu ingekua kanzu ingekuweje,achana na mitandao
 
Kuna matukio Huwa wanasema hijab, uislam na uarabu utofautishwe.

Akionekana mtu mwenye hijabu anakula kitimoto. Waislam hawakawii kusema hijab haina dini
Angemuwa mwanamke anadanga na vazi la hijab wangesema TenganIsha vazi na matendo ya mtu
 
Angalikuwa muislam kaandika haya JF mod angalikuwa ashampiga ban. Quran imeeleza wazi chuki za wakiristo dhidi ya waislam na uislam
Kumbe ndio sababu baadhi ya waislam huwachukia wakristo.

Kumbe huwa mnafundishwa kabisa kua wakristo wanawachukieni!!!
Zaidi ya huku mitandaoni sijawahi kusikia ibada ya kikristo ikiwananga waislam.
Ajabu zaidi ni kua wakristo wengi ukiachana na hawa wa pwani hawaujui uislam.

Ukienda mikoa kama Mbeya wakristo ni wengi na wengi wao huo uislam hawaujui kabisa inakuaje wawachukie??
Hapo kuna walakini mnamezeshwa chuki dhidi ya wakristo.
 
Vazi la kiislamu au la kiarabu?
 
Ukipata dini za kijinga na viongozi wapumbavu kwenye jamii basi hapo umemaliza kila kitu jipigie upendavyo kama ni raia mwema utateseka mpaka useme Yes Babe.
 
Sheikh njaa
 
nadhani ni muhimu platform hiyo ikapigwa maarufu humu nchini, kwasabb kwa kiasi fulani inaingilia na kuathiri uhuru, Imani, mila, desturi na utamaduni wa kiTanzania..

Ina vuruga na kuhatarisha umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania. ni vizuri kuchukua hatua mapema 🐒
 
Utamaduni wa Mtanzania ndo upi ? Imani gani unataka kumaanisha ?
 
Watu wanavyofukuana mitaro hawakemei

Ova
 
Masista wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume wanavaa hijab? 🐼
 
Utamaduni wa Mtanzania ndo upi ? Imani gani unataka kumaanisha ?
Nadhani wewe unahitaji msaada maalumu kwanza,

Upigwe msasa vya kutosha jua ya tunu, mila, desturi, utamaduni na Imani za waTanzania, ili hatimae ukiwa na uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala hayo, uweze kukosa ujasiri na nguvu ya kuhoji au kupinga maoni na mtazamo wangu juu ya platform hii ya X inayolalamikiwa sana sasahivi, pande zote za nchi, na makundi mbalimbali ya kisiasa, taasisi za kidini, kiraia na watu binafsi 🐒
 
Eti wamhstaki kwa mwenyezi Mungu😂. Si kuna shehe alisema atamshataki mange kwa mungu, mange bado yupo anadunda, ama huyo mwenyezi Mungu ni kiziwi hasikii mashtaka?

Huyo shehe na huyo mwenyezi mungu wake wote ni wasenge wanapigwa miti.
Siyo vyema masta, usimtusi tafadhali.

Ukiondoa ushehe wake huyo anaweza kuwa kama baba yako so tujenge nidhamu ya kuheshimu waliotuzidi umri hata kama tunahisi wapo tofauti na mawazo yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…