Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

kupitia mwanaume yaani Joseph- aliolewa bi Maryam?
 
Tunawafahamu muda mrefu na udini wenu! Wakati huu hadi mnye blue hakuna masheikh ubwabwa watakaowafuatilia
 
Ukristo ulipokelewa na Waarabu kabla ya Wazungu na WaRombo,mekuu.
Yesu alizaliwa mji ulipo sasa Palestine na kuna Waarabu wakristu kama aliyekuwa makamu wa Rais wa marehemu Sadam Husein na nusu ya Waarabu wa Lebanon ni Wakristu.
Ukristo ni Ufalme ujue tena wa mbinguni hivyo waarabu kuwa Wakristo uko sahihi kabisa

Uislamu ni dini ndio sababu unalindwa Kwa Mapanga yaliyotengenezwa na wanadamu
 
Huyu sheikh anatishia usalama wa Maria Sarungi kwa kusema mnyaazi mungu akitaka kupambana na binadamu huwa anawaalika binadamu wampambanie.
 
Ofisi za wachora katuni wa Charlie Hebdo kule Paris Ufaransa zilivamiwa na waislam Wenye siasa kali na wakawauwa wachoraji wote kwa risasi.

Huyo dada Maria ausome huo ujumbe akiwa na akili timamu asikurupuke.
 
Udini TU! Iran wanalazimisha mavazi ya kiislam Kwa wote! Wengine hawataki, ni ujinga na unafiki mkubwa sana!
 
Kuna mahali watu wanahitaji ukombozi wa kifkra yaani ukizama vibaya kwenye dini utakuwa hutoki hata ndani, Binafsi sioni tatizo, karuni zinavaa nguo za kila aina na zipo zingine zinavaa mpaka hilo vazi, basi asemee na huko piaaa. Maria nakupenda bure na kwa gharama yoyote, sina chama ila nakufuatilia sanaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…