Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hapana, huyu ni shehe mhuni anayetumikia tumbo lake!Huyu naye anamtukikia Mola wake?
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.
Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie
Ni bayana kuwa aliyasema hayo baada ya Kula na kushiba nyama ya 🐷🐖
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.
Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie
Unamjua kundecha vizuri!?Hapo ukimpa tu ubwabwa atasema vinginevyo!
Alitimuliwa taasisi gani?Sheikh aliyetimuliwa kwenye nafasi yake kwa tuhuma za ubadhilifu wa mali za taasisi na uzinzi.....hana morality ya kuzungumzia mambo yanayohusu haki
Kundecha kaongea ukweli, akina kitima na wenzie ndiyo wahunzi wa oktoba 29,walianza vurugu dhidi ya utawala baada ya rais kumpa mwarabu aendeshe bandariMasheikh majinga majinga haya.. bora niswali nyumbani kuliko kuswalishwa na hawa wahuni wanaoijua dini.
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.
Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie
TEC wTakuwa wana husika

Masikini Sheikh Kundecha kanunuliwa kwa bri ya jioni
Nakujua unavyoipemda na ulivyo mnazi kwa serikali ya mama yakoKundecha kaongea ukweli, akina kitima na wenzie ndiyo wahunzi wa oktoba 29,walianza vurugu dhidi ya utawala baada ya rais kumpa mwarabu aendeshe bandari
Ndiyo hitimisho lake hilo? Ndiyo maana huwa wanapewa "majina" vituko kwa kujumlishwa wote kwa sababu ya wachache kama huyo kulopoka tu kama hana magego.