CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Zamani nilimuona huyu mzee ana nafuu kumbe naye mpuuzi tu
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.
Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie
Subhanaallah!Ni bayana kuwa aliyasema hayo baada ya Kula na kushiba nyama ya 🐷🐖
Huyo mama amefanyiwa fitna na kanisa bila sababu za msingi,au labda sababu za kanisa ni za msingi na hatuzijui, lakini ilianza baada ya DP worldNakujua unavyoipemda na ulivyo mnazi kwa serikali ya mama yako
Kwa sababu yupo mrengo tofauti na weweZamani nilimuona huyu mzee ana nafuu kumbe naye mpuuzi tu
Kwa sababu ni mpumbavuKwa sababu yupo mrengo tofauti na wewe
Ukweli ni kwamba kanisa lipo nyuma ya kilichotokea oktoba 29
Wapumbavu waliopanga vurugu siku ya uchaguzi na viongozi wa dini wanaotetea wahalifuKwa sababu ni mpumbavu
WE unaamini kabisa ishu ni DP WORLD tu, na unaamini kanisa linamtikisa kisa muislam?Huyo mama amefanyiwa fitna na kanisa bila sababu za msingi,au labda sababu za kanisa ni za msingi na hatuzijui, lakini ilianza baada ya DP world
Machawa wote ni wapumbavuWapumbavu waliopanga vurugu siku ya uchaguzi na viongozi wa dini wanaotetea wahalifu
Siyo kila asiyewaunga mkono ni chawa,una uhakika gani wewe si chawa wa lissu?Machawa wote ni wapumbavu
Zogo na mama lilianza lini?..siyo 2021 wala 2022,kila mtu alimpenda mama,then ikaja dp world,zogo likaanzaWE unaamini kabisa ishu ni DP WORLD tu, na unaamini kanisa linamtikisa kisa muislam?
So anayofanya mwanamama kwako ni okay, kisa uislam ama kisa una mapemzi nae tu, je we ni mfaidika kutoka kwa mama?
So we unahisi samia anapigwa vita udini wake, oky, je hiyo dini yake anaiishi? Ana kipi anakifanyia dini yake kiasi wakristu wampige vita.Zogo na mama lilianza lini?..siyo 2021 wala 2022,kila mtu alimpenda mama,then ikaja dp world,zogo likaanza
Tuliofuatilia mambo toka enzi za magazeti na ITV na star TV kuwa media kuu tunajua kuwa kanisa Lina machinery zake za kupiga kelele,kumbabaisha kiongozi anayeswali kuelekea Makkah,hii ni tangu mwinyi
Aliyenipa taarifa za kanisa kuandaa vijana oktoba 29 alinipa taarifa pia kuwa kanisa lilimtisha mama,likamwambia utaona,na tumeona kweli
Kwa akili ya kawaida kwa nini wanakua na matamko mengi rais akiwa muislam na matamko machache baridi rais akiwa mkristo?
Mimi ni mwanamageuzi wa kujitegemea.Siyo kila asiyewaunga mkono ni chawa,una uhakika gani wewe si chawa wa lissu?
Samia alianza kuchukiwa kwa kufuata nyayo za Magufuli kuteka na kuua wakosoaji. Hakuna mtu anamchukia kwa dini yake, kwanza hata dini yenyewe haifuati anakunywa pombe na mambo mengine machafu anafanya ambayo yanakatazwa katika Uislam.Zogo na mama lilianza lini?..siyo 2021 wala 2022,kila mtu alimpenda mama,then ikaja dp world,zogo likaanza
Tuliofuatilia mambo toka enzi za magazeti na ITV na star TV kuwa media kuu tunajua kuwa kanisa Lina machinery zake za kupiga kelele,kumbabaisha kiongozi anayeswali kuelekea Makkah,hii ni tangu mwinyi
Aliyenipa taarifa za kanisa kuandaa vijana oktoba 29 alinipa taarifa pia kuwa kanisa lilimtisha mama,likamwambia utaona,na tumeona kweli
Kwa akili ya kawaida kwa nini wanakua na matamko mengi rais akiwa muislam na matamko machache baridi rais akiwa mkristo?
Huwa unakunywa nae?Samia alianza kuchukiwa kwa kufuata nyayo za Magufuli kuteka na kuua wakosoaji. Hakuna mtu anamchukia kwa dini yake, kwanza hata dini yenyewe haifuati anakunywa pombe na mambo mengine machafu anafanya ambayo yanakatazwa katika Uislam.
Rais gani kipindi chake hakukua na ufisadi?..usiseme magu,ntauliza trilioni mbili zilienda wapi?..usiseme mkapa,aliingia mikataba ya mrabaha 3% na makaburu halafu kila mwaka akitembelea mikoa yenye migodi na kupewa kilo za dhahabu,aliiuza NBC kwa makaburu 1997 kisha wakamkopesha 100m,aliiwekeza ATC kwa makaburu kwa thamani ya beberu 11,hayo ni machache tu ya mkapa,lakini kwenye tamko la TEC uchaguzi 2000 wakasema watamuunga mkono no matter what,hapo cuf Iko motoSo we unahisi samia anapigwa vita udini wake, oky, je hiyo dini yake anaiishi? Ana kipi anakifanyia dini yake kiasi wakristu wampige vita.
Wanayotenda ndio sababu ya kupigwa vita mie ni muislam lakini samia simuelewi, siwezi mtetea mtu kisa dini 1 na mimi..
Samia sio DP tu ufisadi kila sekta.. mama yako anazingua kina kairuki na mambo kede wa kede.
Huwa namuuzia skankaHuwa unakunywa nae?
Chapaaa nyumbu awa na wengi wao Walokole!!!Rais gani kipindi chake hakukua na ufisadi?..usiseme magu,ntauliza trilioni mbili zilienda wapi?..usiseme mkapa,aliingia mikataba ya mrabaha 3% na makaburu halafu kila mwaka akitembelea mikoa yenye migodi na kupewa kilo za dhahabu,aliiuza NBC kwa makaburu 1997 kisha wakamkopesha 100m,aliiwekeza ATC kwa makaburu kwa thamani ya beberu 11,hayo ni machache tu ya mkapa,lakini kwenye tamko la TEC uchaguzi 2000 wakasema watamuunga mkono no matter what,hapo cuf Iko moto