Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
NAWAKUBALI SANA NDUGU ZETU WAISLAM WANAOHESABU SIKU BADALA YA KUSUBIRI KUONA MWEZI KWA MACHO YAO.Hoja ni uchache wao au ni mwezi kuandama?
BAKWATA haina tofauti na TFF
Inabidi waunde group la WhatsApp la balaza ya waisalm afrika mashariki....
Yaani BAKWATA wameshindwa kuwa na connection ya pamoja na mamufti wote wa Afrika Mashariki?
Yaani BAKWATA inawadharau sana BALUKTA sijui kwanini ila Allah anawaonaSheikh anawachamba wenzake! Dini hizi!
Kwani nyie hamna tofaut za kidini?Najivunia kuwa mkristo
Ndio in Mashindano, BAKWATA ni ya MakafiriKwani ni mashindano?
Huyu Sheikh sio mvaa kipedo yakhee, huyu anawasemea Waislam wa BAKWATAHoja ya kijinga sana. Hapa ndo ulipo umuhinu wa elimu hawa wava vipedo na elimu zao sa darasa la 7 wana shida sana.
Kwani Allah yeye anasemaje kuhusu siku ya Idd?ALLAH ndiye mjuzi wa yote
Kwani yanga wenyewe wanasemaje......Na wakitangaza taarifa za Sikukuu kabla ya masaa 24, Nasikia wana Yanga watasusa tena.
Hili ni kweli kabisa.Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam, yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu, shekh huyu anamdharau huyu. Kuna misikiti ya watu nk.
Haina haja hata ya kuunda group la Whatsapp bali BAKWATA wanatakiwa watafute na sio kukaa kutumikishwa na wanasiasa kwenye mambo ya kisiasa na kusahau wapo kwa ajili ya kina nani na kwa kitu gani, nchi za Afrika Mashariki zipo eneo moja, hivyo kama Maraisi, vyombo vya ulinzi na usalama vina umoja, wao wanashindwa nini kuwa na umoja pia wa mambo ya kidini? Ndio maana migongano inakuja mwezi ukionekana Burundi, Tanzania hatufuati wakati ni kweli mwezi umeonekana wakati ni siku sahihi lakini usikute kwa siku hiyo labda kwa upande wa Tanzania kuwa mawingu mazito yaliyopelekea mwezi usionekane. Kwahili BAKWATA wajitathmini!Inabidi waunde group la WhatsApp la balaza ya waisalm afrika mashariki.
Mkuu achana hizi mambo za kuinanga dini ya mwenzio. Kama unaona yako imekamilika basi fuatana nayo, na kuna nyuzi kadhaa humu waislam wenzio waliwaonya wenzao kua mtume aliwaasa kuwaelekeza kwa upole wale wanaoisema vibaya dini ya kiislam.Ina ukweli gan sasa,kuchukua lile sanamu la kizungu na kulitundika ukutani na kuliita mungu ndiyo akili??...dini gan had mashoga wanapewa nafas ya kufungishwa ndoa Tena kanisani,teh teh teh
Huyo shekhe hajielewi , sasa analeta mashindano ndio nn sasa, hii inaonyesha ni jinsi gani huyo shekhe alivyo na uelewa Mdogo aiseeSheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.
Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.
Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.
Hata hivyo Sheikh anasema Waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar es Salaam waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.
Chanzo: Channel Ten
Unaongopa ili iweje?Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam, yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu, shekh huyu anamdharau huyu. Kuna misikiti ya watu nk.
We upo kundi la wale wenye biblia vitabu 73 wanaodai kanisa la kwanza au vitabu 66?Najivunia kuwa mkristo
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.
Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.
Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia muandamo wa mwezi kwa nchi za Zanzibar na Kenya, lakini huko pia mamlaka husika zimesema mwezi haujaandama.
Hata hivyo Sheikh anasema Waislamu watakaoswali Eid kesho ndio wengi na hapa Dar es Salaam waumini watajaa misikiti zaidi ya 300 tofauti na hawa wanaoswalia viwanjani leo ambao hutumia viwanja viwili vitatu tu.
Chanzo: Channel Ten