Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Sawa,Ila yule alikuja kwa kejeli,na matusi nilichofanya Mimi ni kumuonesha tuh kuwa hata wenzake analolifanya yeye wanaweza pia,sorry kwa kukukwaza
 
Sawa,Ila yule alikuja kwa kejeli,na matusi nilichofanya Mimi ni kumuonesha tuh kuwa hata wenzake analolifanya yeye wanaweza pia,sorry kwa kukukwaza
Amna hujanikwaza mkuu ila tu mi nilikua nashauri mtu akikujia kwa matusi we mjibu vizuri tu harudii.

Wanaboa sana wanaokejeli mambo bila kujua undani wake ni bora kuuliza ukapata ufafanuzi kwa wahusika.

Pamoja mkuu, nikutakie eid njema.
 
Tusubiri mwezi jioni uandame tuone je niwa leo leo au una mwenekano umetoka tangu jana
 
Tusubiri mwezi jioni uandame tuone je niwa leo leo au una mwenekano umetoka tangu jana
Huu mwezi ni wa jana kwa sababu hata mfungo ulipoanza mwezi ulikuwa mkubwa tu ndio maana wengi walijua mfungo utakuwa siku 29!
 
Sasa sheikh hapo si ndipo kwenye kile nilichoandika but umepinga na kukubali mh!!.
 
Kenya je? au haiko Afrika mashariki!
 
Sasa sheikh hapo si ndipo kwenye kile nilichoandika but umepinga na kukubali mh!!.
Nimesema wawe na ushirikiano, ushirikiano sio kuwa na group la whatsapp shekhe! Ushirikiano ninaomaanisha wawe wanapashana habari. Ni zaidi ya group la whatsap, jwani hata wanaweza kuanzisha forums, vikao mbali mbali pia kujadili mambo yanayowahusu waislam.
 
Mattaka amesema wanalo group la masheikh wa Afrika ndio maana Mali, Niger na Ivory coast wameswali eid jumatano, Uganda, Rwanda nk wanaswali leo na Tanzania, Kenya na Zanzibar wataswali kesho!
 
Wewe umesoma dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…