Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

Yemen na Saudia ni majirani wa mfano huo uliyoutoa lakini mwezi ukiandama Yemen Saudia haufuati.

Unasemaje katika hili?
 
Yemen na Saudia ni majirani wa mfano huo uliyoutoa lakini mwezi ukiandama Yemen Saudia haufuati.

Unasemaje katika hili?
Unaijua sifa ya Saudia? Kwanza kabisa wanaamimi ya kwenye kalenda yao kuwa ndio iko sahihi na iko mbele kwa siku moja unalijua hilo?
 
Umesoma peke yako
Uislamu unabaki kwa elimu kwa maana Dini ni elimu na hiyo (hii) elimu ndiyo dini.

Hivyo basi Uislam ukamtaka mtu kutokuingia kwenye masuala bila ya elimu nayo na kutoka kwenye masuala bila kuwa na elimu nayo! Tukatanguliziwa nukuu kuwa elimu kabla ya kunena na kutenda.

Umeandika mengi kuhusu kadhia ya mwezi. Narudi kwenye madhumuni yangu; Umesoma dini?
 
Unaijua sifa ya Saudia? Kwanza kabisa wanaamimi ya kwenye kalenda yao kuwa ndio iko sahihi na iko mbele kwa siku moja unalijua hilo?
Hoja siyo iko mbele au kinyume chake! Hoja ni mwezi mwandamo!

Ikiwa hili limekujia hivyo ikhtilafu gani inayokujia baina ya Tz na majirani wengine?

Mbali na hilo hakuna tofauti hata ya dakika 1 baina ya Yemen na Saudia. Tofauti yao ni mipaka tu iliyochorwa.
 
Natamani mada kama hizi zisingejadilwa humu,
Enyi wasomi wa kiislamu itaneni mujadili ili mupate msimamo mmoja kama nchi (japo ni ngumu lakini inawezekana na itapendeza) muondoshe aibu hizi.

Fikirieni jambo hili kujadiliwa na wasiokuwa waislamu na nyie kila mmoja anavutia kwake mwishowe wanaishia kukebehi dini yetu.
Whats a mess!!!
 
Habari vipi ndugu yangu!

Upo salama?

Nami nina la kuchangia katika hili! Wengi wao katika Waislamu tusichokijua ni kuwa katika Uislamu hakuna kipya! Haya yoote yanayojadiliwa humu tayari kazi ilishafanywa na wanawazuoni waliyopita. Hata hilo ulilishauri tayari lilishafanywa.

Kazi iliyobaki ni ya watu kusoma. Katika suala la mwezi kwenye elimu hakuna ikhtilafu kielimu isipokuwa ikhtilafu inaletwa na watu.

Baadhi yao wanasema mwezi ni 1 popote utakapoandama ufuatwe. Hoja hapa mwezi ni mmoja! Kwenye Uislam mwezi ukipatwa kuna swala inabidi tuiswali.

Ajabu huyu huyu anayesema mwezi ni 1 popote ufuatwe, mwezi huu huu 1 ukipatwa hata huko wanapofuata kwenye vipindi vya radhamani na Eidi hawaufuati; Kwa maana hawaswali swala ya kupatwa kwa mwezi.

Sasa unabaki unawauliza, hoja yenu hapa iko wapi?

Kuna funga kwenye Uislam inaitwa yawmul beidh! Inafungwa kila mwezi 13-15. Hii husikii wakiipigia kelele kuwa watizame nchi nyengine mwezi huko vipi? Lakini hoja yao wanakuambia Uislam hauna mipaka..sawa! Mwezi 1 tu wa hili tufe dunia...sawa! Lakini mbona funga ya beidh hamfuati mwezi huo wa kimataifa mnaousema? Kwa hili nalo pia wanajua wenyewe!

Hapa hatujagusia kwenye dalili za dini!
 
Ndugu yangu labda hujui tu. Jaribu kukaa vijiweni mwa ndugu zetu waislam, yaani wanadharauliana mno. Msikiti huu unawadharau wa msikiti huu, shekh huyu anamdharau huyu. Kuna misikiti ya watu nk.
Sasa mbona hiyo ipo dini zote ndugu yangu

Au nyie wakristo hamna jambo kama hili?😄😄😄
 
Kumbe anaenda kishabiki wapi wengi duuh
 
Kwa taarifa yako huyo ni msomi na ana mastera lakini ndo wale anaosemea bwana yule kasheku
Hoja ya kijinga sana. Hapa ndo ulipo umuhimu wa elimu hawa wava vipedo na elimu zao sa darasa la 7 wana shida sana.
 
Aluyekwambia hawaswali nani tuanzie hapo kwanza
 
Soma uislam utajua vinginevyo endelea na dhihaka kama ZINAKUPA FAIDA
 
Soma uislam utajua vinginevyo endelea na dhihaka kama ZINAKUPA FAIDA
That's truth...

Ibada hii inakuwa determined na kuongozwa na "Mungu Mwezi"

Siku akiwagomea kujionesha, maana yake hakuna ibada...right?

Nisome uislamu? Hayanisaidii kiroho. It's wastage of time...
 
O
That's truth...

Ibada hii inakuwa determined na kuongozwa na "Mungu Mwezi"

Siku akiwagomea kujionesha, maana yake hakuna ibada...right?

Nisome uislamu? Hayanisaidii kiroho. It's wastage of time...
Ok sawa tuseme wewe ni mshindi na imani yako ni bora kuliko zote ubarikiwe
That's truth...

Ibada hii inakuwa determined na kuongozwa na "Mungu Mwezi"

Siku akiwagomea kujionesha, maana yake hakuna ibada...right?

Nisome uislamu? Hayanisaidii kiroho. It's wastage of time
 
Waambie tunatumia uhuru wetu wa kuabudu
 
That's truth...

Ibada hii inakuwa determined na kuongozwa na "Mungu Mwezi"

Siku akiwagomea kujionesha, maana yake hakuna ibada...right?

Nisome uislamu? Hayanisaidii kiroho. It's wastage of time...
Ndio maana ukaambiwa usome, waislam tunafunga siku 30 ila tukifunga 29 mwezi ukiandama mwenyezi kupitia mtume wake Muhammad ametuagiza tusifunge siku ya 30. Kwahiyo mwezi usipoandama tunafunga siku 30 na ukiandama tunafunga 29
 
Bora mungu mwezi kuliko wanaoongozwa na mungu aliyepigwa na wanadamu na kuvalishwa kibukta na kutundikwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…