Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Waislamu ni watu wa hovyo sana imagine hilo jamaa kwakua lenyewe limevimbiwa na hela za CCM haoni mambo ya msingi ya kuwasemea wenzie anawaza kuongeza wigo wa ngono tu. Hii mijitu ni ya hovyo sana.
Astaghafirulah
 
Kitendo anachofanya huyo Sheikh kinaingilia faragha ya mtu.

Mtu ana mke wake aliyeishi naye miaka kibao! Leo umfanyie dua ya kuoa mke wa pili! Amekuomba umfanyie hivyo!

Na hata kama amekuomba, huyo mke anapatikana kwa kupitia hiyo dua, au ni kwa kupitia makubaliano ya watu wawili wapendanao?
 
Hizo kampeni mbona mapema sn?

Fanya KAZI, Bado parefu sana 2025.
 

Kwani jamaa itakuwa Hana utulivu? Shehe anamaono?
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba Premier Majaliwa tayari ana 'Kichaka' Kipya ila Mkewe Mama Mary hajui hivyo kawasiliana mapema na Sheikh huyo ili achomekee leo kama Utani ili kumuandaa Kisaiokolojia Mkewe hata kama itakuwa kweli kwa hivi karibuni au kwa baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…