Bourgeoisie
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 656
- 162
sasa yule Askofu Mtetemela mtu kama yule anafanya nini huko bungeni hana tofauti na kina Komba...Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.
Kuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.
Uislam unatukataza kuwa wanafiki.
Usikejeli dini na ya wenzako kwa chuki zako watu wakikijibu uwanja utachafuka.Dini ya wasaka tonge hawana msimamo yanaongozwa kwa ubwabwa,
Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.
Kuna Maskofu wengine mashoga mbona ujawakataza au ndiyo umoja wenu.
Uislam unatukataza kuwa wanafiki.
Dini ya wasaka tonge hawana msimamo yanaongozwa kwa ubwabwa,
A way too late to configure!!!!Huyu mkuu wa bakwata dsm nilikuwa namheshimu sana na hata kwenye vikao vya dini tulipokuwa tunakutana naye tulijua ni miongoni mwa watu wasafi na wenye mtazamo wa kitaifa. Kwa alilofanya Jana ninaanza kuwa na wasiwasi nae
kama wewe vile njaa tu
Nimemjibu muhusika tu kiungwana.Achana na nyumba ya jirani mkuu yetu inavuja saaaanaa
Uwa wanajifungia ofisini Bakwata wanachaguana kisha wanatangaza.
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
Nakushauri ungeanzisha chama cha mashoga pelekeni jina serikalini mtasajiriliwa.Unaonaje tukianzisha BAKWATA ASILI au tuiite BAMUTA(baraza mujahidina tanzania) hebu nipe jina na wewe. Chapu
Nimemjibu muhusika tu kiungwana.