Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Vipo vya kudhihaki sio mambo ya Mungu.Lile Dua lake, limemrudia mwenyewe!
Anakaimu tu.Mufti kafanya maamuzi sahihi.
kiongozi wa dini ni kioo cha maadili na nidhamu ya kiwango cha juu kwa waamini wake.
Pongezi kwa shek wa mkoa mpya aliye teuliwa.
Kuchafua jina la uislamu kwa matendo yake haikuwa uungwana pia kaka.Maneno makali mkuu, sio uungwana huo.
Queen Masanja MkandamizajiMangeKimambi
Saitakuaje🤔🤔🤔🤔🤔
Asante, nimeshamsoma..Huyu hapa USSR View attachment 2504082
Evidence?Leo tarehe 2/2/2023 baraza la waislam tanzania BAKWATA limemvua cheo cha ushekhe wa mkoa wa daresalam aliyevunja ndoa ya dk mwaka,
Nakumbuka alishawahi kumwambia mange kimambi atamsomea dua uzulike
Cc:Nakala kwa Mange...
Nasikia huyu bwana wake zake wanamkimbia anapenda kwa mpalange Sana , Na kila mwanamke anaeolew lazm akupigwe nyuma kwa mpalangeUTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Huu isiwe ile vita na mke wa mtu na wale Maulamaa walivyomkalia kooni
USSR
View attachment 2504080
BAKWATA NI TAWI LA CCMUTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Huu isiwe ile vita na mke wa mtu na wale Maulamaa walivyomkalia kooni
USSR
View attachment 2504080