Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Wewe endelea kufakamia mbege hapo kilabunievidence?
Mhhh, Sakata la ndoa ya Dr Mwaka, labda limemtoa!Habari za Hivi punde ni kwamba aliyekuwa Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar Alhaji Musa Salum siyo Sheikh mkuu wa Dar kuanzia Leo.
source : UTV
Bora yule wa KKKT alipewa likizoUTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa..
evidence?
Mungu kamrarulia ukuu
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar ndio kavuliwa hicho cheoMara Eliona mara Shehe mkuu, wanatuchanganya
Tulia wewe acha wamnyoosheHii italeta tafrani kubwa sana