Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huyu alikuwa sheikh muhuni tu alikuwa anapanda mpaka majukwaa ya siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechelewa sana, katudhalilisha sana waislam kwa upuuzi wake, bado bakwata yenyeweUTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mko...
Hivi Alhad ni jina la kiislam au ni cheo?Uamuzi wa kumtengua Sheikh Alhad umekuja ikiwa imepita wiki moja tangu, kiongozi huyo alipotangaza kuivunja ndoa hiyo ya mtaalamu wa tiba mbadala...
Kufanya ujinga gani?Kama anafanya ujinga achekewe tuu?
Ikiwa hivyo kunakuwa na tatizo gani Kwa mfano? [emoji2369]Huyu alikuwa sheikh muhuni tu alikuwa anapanda mpaka majukwaa ya siasa
Yule jamaa alikuwa na ujinga mwingi mno, rejea sakata lake na sheikh wa upangaMimi naona huruma!
Ni sababu ya hiyo talaka tu au Kuna mengineyo?
Alikuwa anaudhalilisha uislamMnafaidika nini kushangilia anguko la mwenzenu?
Mi sio muslim nimeongea ki ubinadamu tuu..kama ana makosa huko mnayajua nyie waumin basi sawaaMnafaidika nini kushangilia anguko la mwenzenu?
Okey...I'm outAlikuwa anaudhalilisha uislam
Aisee chemundu ndio alimfundisha mziki Luiza MbutuAlichukua mke wa marehemu Chemundu gwao alikuwa pia mcheza show wake huyo mkewe Jasmeen ni mke wa Chemundu. Shekhe alidhulum. Akafie mbali huko.
Kama wale washekhe walikwenda Arusha kumpa nguvu mchungaji aliyezini na mke wa mtu yalivyo y hovyo eti yanarudi yanasema hayajui yakiendaje kule wakati yalifuata pesa tu hapo Dk katoa kitu ishu imeisha hiyoYaani ni majanga.Mwaka kawapa ngapi ?Au Chizenga ana chuki binafsi na Alhadi?