Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Amani na utulivu..
Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake.....
Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili.....
Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi.
#Nchi Kwanza😍
#Uwe na uchungu na nchi yako 😍
Unanichanganya....naendelea kumsikiliza hapa kuhusu amani na utulivu....Mkuu umeelewa alichokizungumza Mufti?
Fafanua
Weka link basiUnanichanganya....naendelea kumsikiliza hapa kuhusu amani na utulivu....
Nawe yatoe "masikio humo mfukoni" na umsikilize.....🤣
#Uzalendo😍
#Amani😍
#Upendo na kuheshimiana😍
BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa nia ya kuwadhibiti waislam kuhusiana na mambo ya kisiasa, na imeendelea hivyo mpaka leo.Nafuatilia sherehe za mazazi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) zinazofanyika mkoani Geita.
Nimemsikiliza Mufti wa BAKWATA Sheikh Zuberi, ambaye ameongea mengi na zaidi kaongelea suala la amani.
Ingawa sio moja kwa moja, ila amewasihi waislamu wasijihusishe na kurukia mambo (kwa uelewa wangu alikuwa analenga maandamano yaliyotangazwa na Chadema).
Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
BAKWATA ni wachumia tumbo.Wakati watu wanatekwa na kuuwawa, yuko kimya,. Sasa sijui hui ndio uislamu?!
Inawezekana huko kuteka na kuua baadhi ya waTanzania ambao hawapo upande anao ukubali yeye ndiyo amani yenyewe na kupendana!Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Na ukichambua kwa karibu zaidi haya maneno machache kuhusu CCM ilipo sasa utagundua kuwa matatizo yanaanzia na kuhusika moja kwa moja na uhusiano huo. Ndani ya CCM siku hizi uongozi hauendani na uwezo wa mtu, bali ni "uwenzetu" baina yetu. Na imekuwa hivyo hivyo hata ndani ya serikali... BAKWATA ni sawa na UVCCM na UWT, zote ni taasisi za CCM
Hili la "kudhibiti" silielewi vizuri; lakini fikiria pia hali ingekuwaje wakati huu ndani ya nchi hii kama hizi dini zote zingeachwa zifanye kivyao kuhusu uhusika wao na maswala ya siasa!BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa nia ya kuwadhibiti waislam kuhusiana na mambo ya kisiasa, na imeendelea hivyo mpaka leo.
Kuwa watu wasiandamane. Hiyo hasa ndio ilikuwa dhamira ya maneno yake yote ila kajifanya kuremba remba tu.Mkuu umeelewa alichokizungumza Mufti?
Fafanua
Labda anamsema mzee wa pepoziKupelekwa pelekwa na Nani?🐼
Wenzetu wakishiba tu Ubwabwa inatoshaKuwa watu wasiandamane. Hiyo hasa ndio ilikuwa dhamira ya maneno yake yote ila kajifanya kuremba remba tu.