Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

Sidhani kama hayo unayosema nikweli.
Mgombes wa CCM hashindi kutokana na dini yake ziko sababu nyingine na unazijua.
Sidhan ni afya kuzungumzia vitu Kam hiv ,na Kam lipo kwel au lishawai kutokea ni suala la kupingwa kwa nguvu zote, HATUWEZ KUPATA KIONGOZI WA MAANA KWA KUZINGATIA ITIKAD ZA KIDINI,KIKABILA NA KIKANDA..tuwapime viongoz kupitia uwezo wao na nia yao dhabiti ya kutumikia...kwa kifupi aangaliwe mtu na sio itikad fulani.yangu ndio hayo ndugu.
 
Hakika 😍
 
Mawazo adhimu kabisa hayo....

#Africa a land of Zinjantropus 😍
😂😂Siamin kweny hiyo Zinjanthropus asee,only foolish people can believe that story,I know who I am ,where I am from and where I am going to and what's more I know what should be done for our future generations,I love this land of Afu Ra Ka(the land of the Sungod)
 
I got your point 🤣

Whether him or else one ,but Ngororongo remained cradle of civilization as the first human being had epicentre there....

Do you protest this ?!! 🤣
 
Jana katika "ekaristi takatifu" kumeongelewa sana kuhusu kuitunza AMANI na UTULIVU.....uwe makini kusikiliza....

Lilisomwa tamko la Maaskofu Katoliki kukemea utekaji na mauaji na kuitaka serikali ilende raia.

Sasa nisikilize kwa makini kitu gani wewe kiazi ?
 
Aliyeuawa ni mtanzania....

Unataka waislamu walipize wakavamie makanisa ?!!

Kwani ameuawa na mkristo ?!! Unamjua ?!!

Ameuawa na muislam ?!! Unamjua ?!!
Usijali wewe anza kula mlo ulio kamili ili kuboresha uwezo wako wa kufikiri... Pole
 
BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa nia ya kuwadhibiti waislam kuhusiana na mambo ya kisiasa, na imeendelea hivyo mpaka leo.

Kuitegemea BAKWATA itoe kauli dhidi ya mambo yanayofanywa na Serikali ya CCM, ni sawa na kusubiria UVCCM itoe kauli dhidi ya uovu unaofanywa na Serikali ya CCM.
Kumbe
 
Back
Top Bottom