Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #121
Argumentum ad hominem....Kwa mara ya mwisho. Sina muda wa kupoteza na mtu chizi kama wewe.. Nenda katafute hiyo 'quote' mwenyewe. Unaandika uchafu humu halafu sasa unajifanya hukumbuki?
Umeshindwa kuprove claims zako sasa unaufichaje uwendawazimu wako?!!
Umeamua kunifanyia "tarnishing of image" kitoto bila evidence usiyo kuwa nayo bali just mere accusations.....
Well.....
Huna uwerevu huo mzee baba....by the way umeshaupoteza huo muda kunijibu.....
Mimi si mzanzibari....wala siamini katika utanganyika.....
Sijapata kuandika comment ya kumbagua mtu atokako ,mbari ,dini wala nasaba....umepotea mzee.....
Badala ya kuja na mawazo tunduizi juu ya post unakumbatia busubusu za vioja....
Kalamu nakufahamu mkuu....
Endelea na ubwege wako na unyapara wako juu ya mabwege.....
#Say No To Racism & Bigotry😍
#Say No To Misogyny 😍
#NCHI KWANZA😍