Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #81
Una elimu ya dini ya kiislam kutaka kuijua JIHAD ?!!! 🤣Acha porojo..
Muhhanmad angetumia hekima mngekua hapo leo,
Thats why akaingia vitani kupigania hakki.. "Jihadd"
Waislamu wa afrika tu ni waoga, unafikiri ingekua misimamo kama ya Iran, Saudi, Palestine , mzee ali kibao angeachwa kizembe hivyo....
Jihad ni neno la kiarabu linalotokana na Ijtihad(kujitahidi).....
Jihad ya kwanza iliitwa JIHADI YA BADR....akipigana na ndugu zake aliowakimbia mji wao kwa unyanyasaji na bado huko alipokwenda(Madina) wakawa wanauvamia mji kwa kuanzia na chokochoko mpaka "ambushes"....Allah akateremsha aya kuwa imefikia mahali "wasimame nao kimapambano....".
Hujiulizi ni kwanini JIHAD hakupigania kule MAKKA alikoishi kwa miaka 13?!!!
Unafananisha visivyofanana....sasa hapa Tanzania unapigana JIHAD dhidi ya nani ?!!
Nchi moja....wamoja....
Upigane na yupi yule na kwa sababu zipi ?!!!
Nitakufafanulia kitu....huko nyuma wakati wa UTAWALA wa makhalifa wakubwa wanne (khalifatul rrashidiin) alitokea mmoja itwaye Uthman (R.A)....
Khalifa ni mtawala ambaye anasimamia kila kitu cha nchi(dola)...
Uthman (R.A) alikuwa ni mtawala mpole ,mtulivu na asiye na papara....
Wako wananchi na waislamu waliomuona kama (mtawala laini) kwani walimzoea Umar (R.A)....kiukweli staili yake ya uongozi ilikuwa ni kusikilizana sana na kufundishana uadhimu wa mambo anuai.....
Wenye jazba na wanaotaka mtawala mkali ,mwenye misimamo mikali WALIMUUA kwa kumchinja shingo Uthman(R.A) mzee wa miaka 88 nyumbani kwake mbele ya mkewe ajuza kwa mkewe pia kukatwa mapanga ya mikono 😪😪
Uislam si ujinga....
Uslam hautaki jazba....