Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

Acha porojo..

Muhhanmad angetumia hekima mngekua hapo leo,

Thats why akaingia vitani kupigania hakki.. "Jihadd"

Waislamu wa afrika tu ni waoga, unafikiri ingekua misimamo kama ya Iran, Saudi, Palestine , mzee ali kibao angeachwa kizembe hivyo....
Una elimu ya dini ya kiislam kutaka kuijua JIHAD ?!!! 🤣

Jihad ni neno la kiarabu linalotokana na Ijtihad(kujitahidi).....

Jihad ya kwanza iliitwa JIHADI YA BADR....akipigana na ndugu zake aliowakimbia mji wao kwa unyanyasaji na bado huko alipokwenda(Madina) wakawa wanauvamia mji kwa kuanzia na chokochoko mpaka "ambushes"....Allah akateremsha aya kuwa imefikia mahali "wasimame nao kimapambano....".

Hujiulizi ni kwanini JIHAD hakupigania kule MAKKA alikoishi kwa miaka 13?!!!

Unafananisha visivyofanana....sasa hapa Tanzania unapigana JIHAD dhidi ya nani ?!!

Nchi moja....wamoja....

Upigane na yupi yule na kwa sababu zipi ?!!!

Nitakufafanulia kitu....huko nyuma wakati wa UTAWALA wa makhalifa wakubwa wanne (khalifatul rrashidiin) alitokea mmoja itwaye Uthman (R.A)....

Khalifa ni mtawala ambaye anasimamia kila kitu cha nchi(dola)...

Uthman (R.A) alikuwa ni mtawala mpole ,mtulivu na asiye na papara....

Wako wananchi na waislamu waliomuona kama (mtawala laini) kwani walimzoea Umar (R.A)....kiukweli staili yake ya uongozi ilikuwa ni kusikilizana sana na kufundishana uadhimu wa mambo anuai.....

Wenye jazba na wanaotaka mtawala mkali ,mwenye misimamo mikali WALIMUUA kwa kumchinja shingo Uthman(R.A) mzee wa miaka 88 nyumbani kwake mbele ya mkewe ajuza kwa mkewe pia kukatwa mapanga ya mikono 😪😪

Uislam si ujinga....

Uslam hautaki jazba....
 
Sawa Sheikh wangu hapo nimekusoma vizuri...

Mi nilidhani Jihadi kupigania hakki bhana kam wanavyofanya Alqaida , Bokkoharam, IS nk!!
 
Maandamano ya S23 ni Maandamano ya AMANI, na wakiua Wananchi siku hiyo ya September 23rd inaweza kuzaa Movement...S23 Massacre.
 
Nafuatilia sherehe za mazazi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) zinazofanyika mkoani Geita.

Nimemsikiliza Mufti wa BAKWATA Sheikh Zuberi, ambaye ameongea mengi na zaidi kaongelea suala la amani.

Ingawa sio moja kwa moja, ila amewasihi waislamu wasijihusishe na kurukia mambo (kwa uelewa wangu alikuwa analenga maandamano yaliyotangazwa na Chadema).

Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Huyo ni wakala wa kijani
 
Amani na utulivu..

Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake.....

Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili.....

Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi.

#Nchi Kwanza😍
#Uwe na uchungu na nchi yako 😍
Waislamu wa kweli ni tofauti na hao BAKWATA!
 
BAKWATA ni wachumia tumbo.

Kiongozi makini wa waislam ni Shekhe Ponda. BAKWATA ni sawa na UVCCM na UWT, zote ni taasisi za CCM.
CHADEMA mna upuuzi mwingi sana. Kwa sasa mnalazimisha KKKT iwe tawi lenu ila mmekutana na kisiki Malasusa hataki ufala.
 
Amani na utulivu..

Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake.....

Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili.....

Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi.

#Nchi Kwanza😍
#Uwe na uchungu na nchi yako 😍
Huyu mufti Mimi huwa sijawahi kumuelewa, anafumbia macho uovu.

Kiongozi wa dini au kundi lolote Lile la Watu wanaojinasibu kuwa ni kikundi Cha dini kisipotenda haki au kukemea uovu waziwazi, Basi kundi Hilo haliwezi Tena kuwa au kuitwa kundi la kidini Bali linakuwa kundi la washirikina.

Mimi japokuwa siyo Mwislamu, lakini sometimes huwa namkubali Sana Sheikh Ponda Issa Ponda, hususani kuhusiana na misimamo yake thabiti ya kutetea haki na kupinga uovu au dhuluma.
Hongera zako Sana Sheikh Ponda.
 
Fikra dhaifu kabisa....

Ally Mohamed Kibao alikuwa ni mwanaBAKWATA mwenzetu....sufi na Qadiriyya....unaongea kutokea sayari ya jupiter ?!!
Katika watu duni kabisa ninao wadharau humu JF, wewe ni kati yao. Mtu unaye diriki kuwaona binaadam wezio kuwa "NAJISI" kwa vile tu wanatokeasehemu tofauti na wewe, au ni dini usiyokuwa wewe; tokea hapo nilijuwa wewe ni chizi tu!
 
Huyu mufti Mimi huwa sijawahi kumuelewa, anafumbia macho uovu.

Kiongozi wa dini au kundi lolote Lile la Watu wanaojinasibu kuwa ni kikundi Cha dini kisipotenda haki au kukemea uovu waziwazi, Basi kundi Hilo haliwezi Tena kuwa au kuitwa kundi la kidini Bali linakuwa kundi la washirikina.

Mimi japokuwa siyo Mwislamu, lakini sometimes huwa namkubali Sana Sheikh Ponda Issa Ponda, hususani kuhusiana na misimamo yake thabiti ya kutetea haki na kupinga uovu au dhuluma.
Hongera zako Sana Sheikh Ponda.
Kuwa wa dini fulani si maana huwezi kuwakubali "significant to others" wa dini nyingine....

Well....

Uovu gani alioufumbia macho?!!😲

Hukumsiliza alichosema unajiendeaendea tu "kumekallegations"...

Kutomwelewa mtu ni jambo lililo "personal" sana hatuwezi kuliweka katika mizani ya taaluma.....

Sheikh mkuu ameongelea kuhusu kuheshimiana.....

Ameongea kuhusu kutanguliza haki.....

Ameongea kuhusu amani ,utulivu na usalama wa mazingira na kwetu sote.....

Haya yote si UOVU.....

Kuhusu masuala ya kiharakati na siasa zake (sheikh Ponda) huko mufti wetu hayuko.....ni somo pana......

Usitake kulazimisha kila sheikh wetu awe Kama Ponda.....

BAKWATA tunafundishana USUFI...hatufundishani kupambana na WATAWALA...

Mtawala awe Athumani....tunamtii

Mtawala awe Jonathan....tunamtii

Hatutomtii mtawala ambaye atakuja kutuua misikitini ,makanisani ,mitaani ,katika shughuli zetu za kidini.....

Labda itokee mtawala apige marufuku sala misikitini na majumbani........

Hapa Tanzania hajatokea mtawala wa hivyo na tunahakikisha HATOTOKEA.....

#Never give wisdom to unworthy as it unjust to the knowledgeable 😍
 
Katika watu duni kabisa ninao wadharau humu JF, wewe ni kati yao. Mtu unaye diriki kuwaona binaadam wezio kuwa "NAJISI" kwa vile tu wanatokeasehemu tofauti na wewe, au ni dini usiyokuwa wewe; tokea hapo nilijuwa wewe ni chizi tu!
Sishangai wewe kunidharau.....endelea kunidharau....endelea tu mkuu wangu....

Wapi nimemuona binadamu mwenzangu ni NAJISI?!!

Niquote huko nilikoandika binadamu ni najisi na kumbagua kwa sababu ya dini yake.....

Kalamu una matatizo "personal"....

Naisubiri hiyo Quote......
 
Kuhubiri amani bila haki ni kupoteza muda. Wakemee uonevu pia kwa wananchi wanyonge ndio ibada inayokubalika mbele ya Muumba.
 
Siwezi kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu wa aina yako. Ulipo andika waTanganyika kwenda kuishi Zanzibar ni "kuinajisi" nchi hiyo ulikuwa akili zimekuruka?
 
Una elimu ya dini ya kiislam kutaka kuijua JIHAD ?!!! 🤣

Jihad ni neno la kiarabu linalotokana na Ijtihad(kujitahidi).....

Jihad ya kwanza iliitwa JIHADI YA BADR....akipigana na ndugu zake aliowakimbia mji wao kwa unyanyasaji na bado huko alipokwenda(Madina) wakawa wanauvamia mji kwa kuanzia na chokochoko mpaka "ambushes"....Allah akateremsha aya kuwa imefikia mahali "wasimame nao kimapambano....".

Hujiulizi ni kwanini JIHAD hakupigania kule MAKKA alikoishi kwa miaka 13?!!!

Unafananisha visivyofanana....sasa hapa Tanzania unapigana JIHAD dhidi ya nani ?!!

Nchi moja....wamoja....

Upigane na yupi yule na kwa sababu zipi ?!!!

Nitakufafanulia kitu....huko nyuma wakati wa UTAWALA wa makhalifa wakubwa wanne (khalifatul rrashidiin) alitokea mmoja itwaye Uthman (R.A)....

Khalifa ni mtawala ambaye anasimamia kila kitu cha nchi(dola)...

Uthman (R.A) alikuwa ni mtawala mpole ,mtulivu na asiye na papara....

Wako wananchi na waislamu waliomuona kama (mtawala laini) kwani walimzoea Umar (R.A)....kiukweli staili yake ya uongozi ilikuwa ni kusikilizana sana na kufundishana uadhimu wa mambo anuai.....

Wenye jazba na wanaotaka mtawala mkali ,mwenye misimamo mikali WALIMUUA kwa kumchinja shingo Uthman(R.A) mzee wa miaka 88 nyumbani kwake mbele ya mkewe ajuza kwa mkewe pia kukatwa mapanga ya mikono 😪😪

Uislam si ujinga....

Uslam hautaki jazba....
Kuna ushetani umeingia katika dini zote uislam na ukristo na hio sura ya ushetani ndo raia wengi wakawaida wanazichukulia hizo dini zipo hivyo,,,,,nimeshakua muislam na nimekua pia mkatoliki roma,,,dini zote kama sio mpenda jazba na unataka kua tu mtu wa amani zinafaa na kama pia una mawenge na unataka kufanya ushetani wako kupitia hizo dini pia bado zinafaa,,,kikubwa ni mtu ajitambue kwanza ndo maana hata huyo sheikh kasema watu wasijiendee endee tu
 
The best comment 😍😍

Kudos
 
Siwezi kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu wa aina yako. Ulipo andika waTanganyika kwenda kuishi Zanzibar ni "kuinajisi" nchi hiyo ulikuwa akili zimekuruka?
Wewe ni mpumbavu....

Umeshindwa kuniquote hiyo post niliyoandika unanijia na pang'ang'a hapa......

Naisubiri hiyo "quote"....

Otherwise wewe ni mwongo na mtu wa hovyo......

Still waiting the post with those allegations.....
 
Kuhubiri amani bila haki ni kupoteza muda. Wakemee uonevu pia kwa wananchi wanyonge ndio ibada inayokubalika mbele ya Muumba.
Kila siku misikitini na makanisani yanakemewa hayo ya uonevu na dhulma....
 
Back
Top Bottom