Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #61
Daktari.....Hivi huyo sheikh ana elimu gani nje ya elimu ya dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daktari.....Hivi huyo sheikh ana elimu gani nje ya elimu ya dini?
Dini yoyote haina kosa....sio hoja ya msingi. dini X tunaambiwa nchi hii nido wenye alimu , lkn siku zote tunalalamika maisha magumu na rushwa imeenea na utekaji. swala hio elimu ya dini X imesaidia nini?
Siku zote mtu anayelishwa huona wanaohangaika ni wajinga tu🤣 na hili ndio tatizo namba moja nchini wala sio CCM.Nafuatilia sherehe za mazazi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) zinazofanyika mkoani Geita.
Nimemsikiliza Mufti wa BAKWATA Sheikh Zuberi, ambaye ameongea mengi na zaidi kaongelea suala la amani.
Ingawa sio moja kwa moja, ila amewasihi waislamu wasijihusishe na kurukia mambo (kwa uelewa wangu alikuwa analenga maandamano yaliyotangazwa na Chadema).
Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Swadaktaaaaa😍QURAN TUKUFU INAMTAKA MUISLAM KUWA MAKINI SANA LINAPOKUJA JAMBO
Katika Quran, kuna aya inayosema kuhusu umuhimu wa kuchunguza habari kabla ya kuzipokea au kueneza. Aya hiyo inapatikana katika sura ya 49, aya ya 6:
"Enyi mliyoamini! Ikiwa mja mmoja kutoka kwenu anakuja na habari, ithibitisheni kwa uangalifu, ili msije mkawadhulumu watu kwa kukosea, na kisha mkawa wenye huzuni kwa yale mliyofanya."
Aya hii inasisitiza umuhimu wa kufanya uchunguzi na kuthibitisha ukweli wa taarifa kabla ya kueneza au kuamua juu yake. Hii ni kanuni muhimu kwa ajili ya kuhakikisha usahihi na haki katika maamuzi na vitendo vyetu.
umeandika nini?Dini yoyote haina kosa....
Wanadini ndio wenye mapungufu....
Usiwe mjinga
Umeandika nini ?umeandika nini?
Tafsiri na application yake katika maisha inakosemana.Nimemsikiliza vyema....
Kauli ya Quran "enyi waumini muwe makini-ulil al baab".
...."enyi waumini hamtafakari-afalaa yatafakkarun".
".... pindipo inapowajia hoja ichunguzeni kwanza ili msije mkadhuru wasio na hatia...".
👆👆👆👆👆
Mufti amepita humo.....una jengine ?!!
#Nchi Kwanza😍
#Amani na utulivu 😍
DuhBakwata iliasisiwa na Mwenyeheri Julius Kambarage Nyerere 😂 wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹 Ili kulinda Amani!
Yaani ukiambiwa kuandamana umetoka, bandari imeuzwa milele,unaunga mkonoKupelekwa pelekwa na Nani?🐼
Daktari wa kienyeji? Maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji.Daktari.....
Hujajibu swali sheikh.sio hoja ya msingi. dini X tunaambiwa nchi hii nido wenye alimu , lkn siku zote tunalalamika maisha magumu na rushwa imeenea na utekaji. swala hio elimu ya dini X imesaidia nini?
Hata wewe unaweza kuwa mganga ila hujijui tu....Daktari wa kienyeji? Maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji.
Amekemea kwa kusema tutangulize haki ,amani na utulivu......Vipi hajakemea Mauaji ya ndugu yake katika imani Mohammed Kibao?
Aa kwanini huyo Kiongozi wenu anawakataza , mkiwashe !!....mtume SAW aliporejea vitani ,akawaambia maswahaba wake (radhiAllahu anhumma) kuwa "tumetoka katika Jihad ndogo* na tunaelekea katika jihad kubwa*....
Jihad kubwa * ni jihad ya nafsi....nafsi....nafsi.....nafsi....
Yaani mathalani kupinga vita UZINZI....USHOGA....ULAWITI....USAGAJI.....
Tukiwashe nini ?!!Aa kwanini huyo Kiongozi wenu anawakataza , mkiwashe !!
Mkuu, hilo ni kweli?BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa nia ya kuwadhibiti waislam kuhusiana na mambo ya kisiasa, na imeendelea hivyo mpaka leo.
Kuitegemea BAKWATA itoe kauli dhidi ya mambo yanayofanywa na Serikali ya CCM, ni sawa na kusubiria UVCCM itoe kauli dhidi ya uovu unaofanywa na Serikali ya CCM.
Shehe Ponda hafungamani na BAKWATA?BAKWATA ni wachumia tumbo.
Kiongozi makini wa waislam ni Shekhe Ponda. BAKWATA ni sawa na UVCCM na UWT, zote ni taasisi za CCM.
Acha porojo..Tukiwashe nini ?!!
Mufti anatufundisha adabu ya uislam "tarbiyya tunnufusi tul islaamiyya"MALEZI BORA YA KIISLAM huusianisha :
-Matumizi bora ya akili kwenda hekimani pale ambapo unapoambiwa hoja yoyote.
-Adabu na heshima kwa wakubwa.
-Huruma kwa wadogo
-Amani na utulivu kwa ARDHI
-Amani na utulivu kwa miti na mimea
-Amani na utulivu kwa wanyama na wadudu.
Ashaikhul Kiraam na mwanafalsafa wa kishadhili anaitwa Ahmad Ibn Zarruq(rahimahullahu alayhi) wa huko Fez Morocco ana kitabu kinaitwa QAWAID TASSAWWUF anasema maneno haya.....
"NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE"..
Think thrice.....
The core issue is WISDOM.....WISDOM....WISDOM.....WISDOM.......WISDOM.....
Masheikh wangu wa BAKWATA wanatufundisha "WISDOM".....
#Maulid Nabbiy 😍
#Allahumma swali aalaa habibina Muhammad SAW😍😍