Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

Amani na utulivu..

Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake.....

Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili.....

Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi.

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Uwe na uchungu na nchi yako [emoji7]
Kuwa na uchungu na nchi yako ni pamoja na kuteka na kuua na kufanya UGAIDI.

WELL SAID
 
Nafuatilia sherehe za mazazi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) zinazofanyika mkoani Geita.

Nimemsikiliza Mufti wa BAKWATA Sheikh Zuberi, ambaye ameongea mengi na zaidi kaongelea suala la amani.

Ingawa sio moja kwa moja, ila amewasihi waislamu wasijihusishe na kurukia mambo (kwa uelewa wangu alikuwa analenga maandamano yaliyotangazwa na Chadema).

Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Kuelimisha masuala ya Kigaidi hawezi ila anaweza kuelezea amani.
Fake shehe mkuuu
 
Magaidi ni watu waovu....

Kuua ni unyama usiomithilika....

Mh.Rais ameshatoa "order" aletewe hao waovu wetu.....

Unataka mufti aseme nini baada ya kiongozi mkuu wa nchi kwisha kusema ?!!!😲
 
Magaidi ni watu waovu....

Kuua ni unyama usiomithilika....

Mh.Rais ameshatoa "order" aletewe hao waovu wetu.....

Unataka mufti aseme nini baada ya kiongozi mkuu wa nchi kwisha kusema ?!!![emoji44]
Aseme chadema ni watekaji na wauaji na Mbowe ni Gaidi.
 
Kuelimisha masuala ya Kigaidi hawezi ila anaweza kuelezea amani.
Fake shehe mkuuu
Ukitaka kuruka sharti uagane na nyonga.....umeagana nayo ?!!

Lini shehe mkuu wa BAKWATA alifundisha watu wawe magaidi?!!

Nipe "references"....

Nazisubiri hapa.....
 
Ni lini alikemea ugaidi?
Ni lini alienda kibiti kuhubiri amani, lini alienda Amboni kuhubiri amani.

Nasubiri pale.......
 
Nafuatilia sherehe za mazazi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) zinazofanyika mkoani Geita.

Nimemsikiliza Mufti wa BAKWATA Sheikh Zuberi, ambaye ameongea mengi na zaidi kaongelea suala la amani.

Ingawa sio moja kwa moja, ila amewasihi waislamu wasijihusishe na kurukia mambo (kwa uelewa wangu alikuwa analenga maandamano yaliyotangazwa na Chadema).

Nchi yetu ipo katika mtanzuko wa utekaji na mauaji. Nilitegemea leo aweze kukemea tabia hii, lakini amepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Yeye hana wasiwasi, si analindwa.
 
Ni lini alikemea ugaidi?
Ni lini alienda kibiti kuhubiri amani, lini alienda Amboni kuhubiri amani.

Nasubiri pale.......
You are totally mental brainwashed....

Jana tu pale Geita amekemea kuhusu ugaidi ,uonevu ,dhulma na akatutaka tulipende taifa letu na kutanguliza amani na utulivu.....

Kijijini Amboni sheikh Abdallah Mwinchande ni BAKWATA....anahubiri sana dhidi ya ugaidi.....

Kibiti akina Sheikh Mziwanda ni BAKWATA wanahubiri sana dhidi ya ugaidi......

BAKWATA ni taasisi inayopinga uonevu na ugaidi....kajifunze kwanza kabla kuanzisha mijadala USIYOIELEWA UHALISIA wake bali HISIA zako koko.....

#Acha kujiendea tu
 
Wangekuwa wanaukataa ugaidi wangeanza kuelimisha kuanzia huko madrasat latul. Huwezi kufundisha jinsi ya kuua halafu wakishapata ujuzi wa kuua then uje useme usiue.
Magaidi ni vijana wao walotoka madrasat na wakufunzi wao ni maustaadh waliopewa sifa za kuwa walimu.
Huwezi kutoka hadharani kinafiki na kukemea kitu ambacho umekiasisi
 
Blatant idiocy...

Huna ujualo....

Kwako kila muislam ni gaidi.....

Totally misguidance........

Kweli siku hizi JF imevamiwa na wakubwa wenye akili za kitoto.....

Peleka utoto wako Facebook huko.....
 
Kuna jitu linajiita Sheikh Masoud Jongo limeinajisi hii siku wakati shughuli ikielekea ukingoni kwa kuleta uchawa wake kwa CCM,Namshauri atafute jukwaa mahsusi kwa ajili ya kukisifia chama chake badala ya kutumia hafla za dini kuingiza mambo ya siasa.
 
Sheikh Jongo si msemaji wa BAKWATA...
 
Blatant idiocy...

Huna ujualo....

Kwako kila muislam ni gaidi.....

Totally misguidance........

Kweli siku hizi JF imevamiwa na wakubwa wenye akili za kitoto.....

Peleka utoto wako Facebook huko.....
We jibu hoja acha kunitukana.
Rubbish
 
Wewe ni mpumbavu....

Umeshindwa kuniquote hiyo post niliyoandika unanijia na pang'ang'a hapa......

Naisubiri hiyo "quote"....

Otherwise wewe ni mwongo na mtu wa hovyo......

Still waiting the post with those allegations.....
Kwa mara ya mwisho. Sina muda wa kupoteza na mtu chizi kama wewe.. Nenda katafute hiyo 'quote' mwenyewe. Unaandika uchafu humu halafu sasa unajifanya hukumbuki?
 
Back
Top Bottom