Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #141
Shukran myahudi mwenzangu wa kweli 🤣😂😂nawe pia kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran myahudi mwenzangu wa kweli 🤣😂😂nawe pia kaka
Sidhan ni afya kuzungumzia vitu Kam hiv ,na Kam lipo kwel au lishawai kutokea ni suala la kupingwa kwa nguvu zote, HATUWEZ KUPATA KIONGOZI WA MAANA KWA KUZINGATIA ITIKAD ZA KIDINI,KIKABILA NA KIKANDA..tuwapime viongoz kupitia uwezo wao na nia yao dhabiti ya kutumikia...kwa kifupi aangaliwe mtu na sio itikad fulani.yangu ndio hayo ndugu.Sidhani kama hayo unayosema nikweli.
Mgombes wa CCM hashindi kutokana na dini yake ziko sababu nyingine na unazijua.
Tupo pamoja ndgu katka kuijenga kesho ya Afrika iliyo boraShukran myahudi mwenzangu wa kweli 🤣
Hakika 😍Sidhan ni afya kuzungumzia vitu Kam hiv ,na Kam lipo kwel au lishawai kutokea ni suala la kupingwa kwa nguvu zote, HATUWEZ KUPATA KIONGOZI WA MAANA KWA KUZINGATIA ITIKAD ZA KIDINI,KIKABILA NA KIKANDA..tuwapime viongoz kupitia uwezo wao na nia yao dhabiti ya kutumikia...kwa kifupi aangaliwe mtu na sio itikad fulani.yangu ndio hayo ndugu.
Mawazo adhimu kabisa hayo....Tupo pamoja ndgu katka kuijenga kesho ya Afrika iliyo bora
😂😂Siamin kweny hiyo Zinjanthropus asee,only foolish people can believe that story,I know who I am ,where I am from and where I am going to and what's more I know what should be done for our future generations,I love this land of Afu Ra Ka(the land of the Sungod)Mawazo adhimu kabisa hayo....
#Africa a land of Zinjantropus 😍
I got your point 🤣😂😂Siamin kweny hiyo Zinjanthropus asee,only foolish people can believe that story,I know who I am ,where I am from and where I am going to and what's more I know what should be done for our future generations,I love this land of Afu Ra Ka(the land of the Sungod)
Jana katika "ekaristi takatifu" kumeongelewa sana kuhusu kuitunza AMANI na UTULIVU.....uwe makini kusikiliza....
Usijali wewe anza kula mlo ulio kamili ili kuboresha uwezo wako wa kufikiri... PoleAliyeuawa ni mtanzania....
Unataka waislamu walipize wakavamie makanisa ?!!
Kwani ameuawa na mkristo ?!! Unamjua ?!!
Ameuawa na muislam ?!! Unamjua ?!!
Usiwe chizi milo yangu ina bajeti ya matunda mengi zaidi ya sembe unalokula ....🤣Usijali wewe anza kula mlo ulio kamili ili kuboresha uwezo wako wa kufikiri... Pole
Hiv wametangaza maandamano au machafuko?Wewe ubwabwa huutaki?!!
Kuna binadamu anayeweza kupata nguvu ya kununua mchele pale ambako kuna machafuko na kukosekana amani na utulivu ?!!
Acha kufikiri kitoto....
KumbeBAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa nia ya kuwadhibiti waislam kuhusiana na mambo ya kisiasa, na imeendelea hivyo mpaka leo.
Kuitegemea BAKWATA itoe kauli dhidi ya mambo yanayofanywa na Serikali ya CCM, ni sawa na kusubiria UVCCM itoe kauli dhidi ya uovu unaofanywa na Serikali ya CCM.