Kazi ya masheikh isiwe kuombea dua viongozi wa siasa kwenye mikutano na kuomba kujengewa misikiti ya bure, bali wawaunganishe waumini kuitafuta elimu ya Uchina kama wenzao wa madhehebu mengine.Ukijenga wewe inatosha sana yeye muache ajenga misikiti shida iko wapi
Masheikh wengi wanaagua watu kama njia ya kujikimu. Elimu ahela haina ajira kwa wanaohitimu ndio maana inawalazimu kugeuka waganga na wachawi na kurogana wenyewe kwa wenyewe.mambo ya kuwekeza katika elimu sio kipaombele cha waislamu waliofanikiwa kifedha au kiushwishi. katika ishirini labda unaweza ukapata mmoja.
huwa namshangaa na kumsifu sana sheikh nurdin kishik kwa kumiliki shule ya kisasa ya alhikima.
Kwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.Hivi bakwata kumilik shule 30 nch nzima ndio maendeleo kwel ?
Waongeze shule waislam wanaohtaj elimu n weng kuliko hizo shule uzur wa swala unaweza swalia hata nyumban lakn elimu inahtaj sehemu maalum
Hao wasomi wa kiislam wengi wanailaumu hii taasis kuwa Haina vision na Wala Haina lengo la kimkomboa muislam juu ya adui ujinga
MJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA JUU YA MUSTAKABALI WA VIJANA WA KIISLAM KUPATA ELIMU KWA USAWA NCHI NZIMA KUNA MAENEO AU MIKOA BAKWATA HAWANA SHULE KABISA
Akili kubwa hii sheikh,Its too late jamaa yng we angalia km roma wale wanazuga tu eti shule walizonazo ni kwa ajili ya kuandaa mapadri lkn sio kweli lengo ni kuingiza watu wao kwenye system ya ajira serikalin na kupata mapadri pia
TAKIBIIIR....!!!BAKWATA wana shule zaidi ya 60,Kati ya hizo 32 ni vyuo vya dini.30 ni secondary,,wasomi wengi wa kiislamu waliomaliza BAKWATA,wako nje nchi na wanafasi nzuri za kazi,na wengine ni wafanyabiashara maarufu.
Elimu Elimu Elimu yakheeKwani mkuu shule za kata si za jamii ya pale. Kwani watu wa pwani wakiboresha shule zao za kata si waislamu wengi watapata elimu bora kwa sababu wao huko pwani ndio wengi.
Huko Tanga waislamu si wengi, kwa nini kwa umoja wao wasiboreshe shule zao za kata kuliko shule za BAKWATA ambazo ada itakuwa kubwa na waislsmu wenye uwezo tu ndio watapekeka watoto huko.
Allah AkbarMtoa mada atakuwa mgeni na bakwata ..hiyo taasisi waanzilishi walipelekwa Israel kusomea uja...
Wanawali 70, maziwa, asali, matunda, na mvinyo kwa wachaMungu.Enyi Waamin, Ikiuma mnashauriwa kuchomoa atii.
Ilmu dunia haimfikishi Muumin Akhera kupata houri (72 virgins) lakini Alhamdullilah Ilmu Akhera inawahakikishia hilo
Wabillah Tawfiq,
View attachment 1777192
Kweli hili linawashangaza sana, wanatamani wampindue, vipi Mwanamke aongoze Mashabaaby Sheikh? Aya ipi imeagiza hili katika Quran?Masheikh wetu wanashangaa mama Samia imekuwaje awe Rais ilihali watoto wa kike wa kiislam wanahimizwa na masheikh waolewe pasipo kuchelewa..
Kwamba Juzuu hazitoshi?Kwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.
Maaskofu na mapadre wana elimu kubwa wakati masheikh sifa yao ni moja tu.
Jadili utolewaji wa elimu kwa jamii yote na si waislamu tu. Wamasai na waislamu wepi wamenyimwa elimu zaidi?Hivi bakwata kumilik shule 30 nch nzima ndio maendeleo kwel ?
Waongeze shule waislam wanaohtaj elimu n weng kuliko hizo shule uzur wa swala unaweza swalia hata nyumban lakn elimu inahtaj sehemu maalum
Hao wasomi wa kiislam wengi wanailaumu hii taasis kuwa Haina vision na Wala Haina lengo la kimkomboa muislam juu ya adui ujinga
MJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA JUU YA MUSTAKABALI WA VIJANA WA KIISLAM KUPATA ELIMU KWA USAWA NCHI NZIMA KUNA MAENEO AU MIKOA BAKWATA HAWANA SHULE KABISA
Sasa shule 30 tanzania nzima ndio kitu cha kujisifu!!Wewe labda mgeni Tanzania,BAKWATA wana shule nyingi tu,na ni nzuri,wapo wasomi wengi wamemaliza huko.Shule karibia 30 na vyuo vya dini zaidi 32.Na ndani ya BAKWATA wapo wasomi wengi tu.
Vigezo vya kuiendesha BAKWATA iwe Master/Phd na elimu ya dini vyote kwa mpigo uone kama bakwata haibadiriki.Hata kama wakijenga wataziendesha kama madrassa tu na rate ya kufeli itakuwa juu sana
Tatizo la waislamu ni moja
Elimu dunia kwao sio kitu, haijapewa kipaumbele kama elimu akhera
Siku nyingine usikubali ujinga ukuendeshe hovyo namna hivyo ,na hakuna mabikira 72 walio ahidiwaEnyi Waamin, Ikiuma mnashauriwa kuchomoa atii.
Ilmu dunia haimfikishi Muumin Akhera kupata houri (72 virgins) lakini Alhamdullilah Ilmu Akhera inawahakikishia hilo
Wabillah Tawfiq,
View attachment 1777192
Kumbe ameahidiwa bikira mmoja mwenye miaka 72 sio?Siku nyingine usikubali ujinga ukuendeshe hovyo namna hivyo ,na hakuna mabikira 72 walio ahidiwa
Utawapata wapi mkuu? Yaani mtu awe na PHD au masters halafu pia awe kasoma na elimu ya kitabu itakayo mpa sifa ya kua sheikh??? Haiwezekani, tusitengeneze sheria ambazo practically haziwezekani mkuuKwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.
Maaskofu na mapadre wana elimu kubwa wakati masheikh sifa yao ni moja tu.