Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

masuala ya kuwekeza katika elimu sio kipaombele cha waislamu wa tanzania waliofanikiwa kifedha na mali, au wale wenye influence kubwa kwenye jamii.

sio utamaduni wao, mtawalaumu bure. katika ishirini labda unaweza ukapata mmoja.

huwa namshangaa na kumsifu sana sheikh nurdin kishik kwa kumiliki shule ya kisasa ya alhikima.
 
Ukijenga wewe inatosha sana yeye muache ajenga misikiti shida iko wapi
Kazi ya masheikh isiwe kuombea dua viongozi wa siasa kwenye mikutano na kuomba kujengewa misikiti ya bure, bali wawaunganishe waumini kuitafuta elimu ya Uchina kama wenzao wa madhehebu mengine.

Masheikh watoe matamko kuhusu umuhimu wa ilmu hii dunia kwa watoto wa kike na kiume wapewe elimu hii, maana elimu ni ufunguo wa urais, uwaziri, ukurugenzi, udaktari, uuguzi, uwalimu na maisha.
 
mambo ya kuwekeza katika elimu sio kipaombele cha waislamu waliofanikiwa kifedha au kiushwishi. katika ishirini labda unaweza ukapata mmoja.

huwa namshangaa na kumsifu sana sheikh nurdin kishik kwa kumiliki shule ya kisasa ya alhikima.
Masheikh wengi wanaagua watu kama njia ya kujikimu. Elimu ahela haina ajira kwa wanaohitimu ndio maana inawalazimu kugeuka waganga na wachawi na kurogana wenyewe kwa wenyewe.

Usimamizi wa shule za bakwana ni hafifu, walimu wanaoa wanafunzi na wanafunzi ni wahuni
 
Hivi bakwata kumilik shule 30 nch nzima ndio maendeleo kwel ?

Waongeze shule waislam wanaohtaj elimu n weng kuliko hizo shule uzur wa swala unaweza swalia hata nyumban lakn elimu inahtaj sehemu maalum

Hao wasomi wa kiislam wengi wanailaumu hii taasis kuwa Haina vision na Wala Haina lengo la kimkomboa muislam juu ya adui ujinga

MJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA JUU YA MUSTAKABALI WA VIJANA WA KIISLAM KUPATA ELIMU KWA USAWA NCHI NZIMA KUNA MAENEO AU MIKOA BAKWATA HAWANA SHULE KABISA
Kwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.

Maaskofu na mapadre wana elimu kubwa wakati masheikh sifa yao ni moja tu.
 
Its too late jamaa yng we angalia km roma wale wanazuga tu eti shule walizonazo ni kwa ajili ya kuandaa mapadri lkn sio kweli lengo ni kuingiza watu wao kwenye system ya ajira serikalin na kupata mapadri pia
Akili kubwa hii sheikh,
 
Enyi Waamin, Ikiuma mnashauriwa kuchomoa atii.

Ilmu dunia haimfikishi Muumin Akhera kupata houri (72 virgins) lakini Alhamdullilah Ilmu Akhera inawahakikishia hilo

Wabillah Tawfiq,

tapatalk_1591593969624.jpg
 
BAKWATA wana shule zaidi ya 60,Kati ya hizo 32 ni vyuo vya dini.30 ni secondary,,wasomi wengi wa kiislamu waliomaliza BAKWATA,wako nje nchi na wanafasi nzuri za kazi,na wengine ni wafanyabiashara maarufu.
TAKIBIIIR....!!!
 
Kwani mkuu shule za kata si za jamii ya pale. Kwani watu wa pwani wakiboresha shule zao za kata si waislamu wengi watapata elimu bora kwa sababu wao huko pwani ndio wengi.
Huko Tanga waislamu si wengi, kwa nini kwa umoja wao wasiboreshe shule zao za kata kuliko shule za BAKWATA ambazo ada itakuwa kubwa na waislsmu wenye uwezo tu ndio watapekeka watoto huko.
Elimu Elimu Elimu yakhee
 
Masheikh wetu wanashangaa mama Samia imekuwaje awe Rais ilihali watoto wa kike wa kiislam wanahimizwa na masheikh waolewe pasipo kuchelewa..
Kweli hili linawashangaza sana, wanatamani wampindue, vipi Mwanamke aongoze Mashabaaby Sheikh? Aya ipi imeagiza hili katika Quran?

Ama kweli kiama hiki
 
Kwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.

Maaskofu na mapadre wana elimu kubwa wakati masheikh sifa yao ni moja tu.
Kwamba Juzuu hazitoshi?
 
Hata kama wakijenga wataziendesha kama madrassa tu na rate ya kufeli itakuwa juu sana

Tatizo la waislamu ni moja
Elimu dunia kwao sio kitu, haijapewa kipaumbele kama elimu akhera
 
Hivi bakwata kumilik shule 30 nch nzima ndio maendeleo kwel ?

Waongeze shule waislam wanaohtaj elimu n weng kuliko hizo shule uzur wa swala unaweza swalia hata nyumban lakn elimu inahtaj sehemu maalum

Hao wasomi wa kiislam wengi wanailaumu hii taasis kuwa Haina vision na Wala Haina lengo la kimkomboa muislam juu ya adui ujinga

MJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA JUU YA MUSTAKABALI WA VIJANA WA KIISLAM KUPATA ELIMU KWA USAWA NCHI NZIMA KUNA MAENEO AU MIKOA BAKWATA HAWANA SHULE KABISA
Jadili utolewaji wa elimu kwa jamii yote na si waislamu tu. Wamasai na waislamu wepi wamenyimwa elimu zaidi?
Tanzania elimu yetu kwa ujimla ipo nyuma, si wakiristu si waislamu si wapagani.
Mimi kama mtaalamu wa elumu nashauri ujadili elimu bora kwa kila mtanzania, suala la vikundi vikundi halina mantiki. Shule za serikali zipo kwa ajili ya kila mtu.
Bakwata walirithishwa na warabu kujenga msikiti na si shule.
Bakwata inaendeshwa na mashehe, unategemea watajenga shule ?
Bakwata wameshindwa kuzisimamia shule zilizopo , je wataweza kujenga zingine ?
Mind set ya waislamu inatakiwa ibadirike, waige warabu wa Dubai, wamefanya mapinduzi ya kifikra na kuachana na fikra za jadi ya kiislamu.
Waige wa Iran wametoka kwenye dhana ya kusubili akhera na kuijenga mifumo ya dunia ya kisasa.
Ukienda msikitini ni mawaidha ya hadithi za mtume tu, hakuna kujadili changamoto za kielimu,sayansi na teknolojia, hii ni kwa sababu uelewa wa mashekh ni hadith za mtume tu, habali za Globalization haziwahusu,uwekezaji hauwahusu.
Kila ijumaa unazikiliza hadithi ile ile mpaka unazeeka.Unatalajia jipya mkuu,.
samahani kama nimekukwaza ila uwongo kwangu mwiko.
 
Mapokezi ya dini nayo yamekuwa tatizo kwa waislamu wanatafsili tofauti aya za Quran kuna aya kwenye quran inakataza waislamu kutofuata mila za watu wengine ,sasa watu watu wanafikiri elimu ni mila za watu Fulani ndio maana wazazi wali watilia mkazo watoto wao kusoma elimu dini kuliko hii ya mazingira ,

Wakati quran imesisitiza elimu kwa sana pia kwa mujibu mtu elimu nyenye manufaa kwa binadamu ifaa kufundishwa ,waislamu tusirudie makosa walio Fanya masheikh, wazazi wetu..
 
Wewe labda mgeni Tanzania,BAKWATA wana shule nyingi tu,na ni nzuri,wapo wasomi wengi wamemaliza huko.Shule karibia 30 na vyuo vya dini zaidi 32.Na ndani ya BAKWATA wapo wasomi wengi tu.
Sasa shule 30 tanzania nzima ndio kitu cha kujisifu!!
Unajua idadi ya shule ambazo taasisi/madhehebu ya kikristo yanazo individually?

Dhehebu moja tu la Walokole TAG lina shule nyingi kuliko Bakwata ambayo ndiyo muwakilishi wa waislam tz nzima.

Hapo sijataja madhehebu makubwa kama RC,KKKT na Anglican.

Acha kujilinganisha na usiofanana nao. Bakwata inashindwa na dhehebu dogo tu la kikristo kwa idadi ya shule. Nyie watu amkeni,
 
Hata kama wakijenga wataziendesha kama madrassa tu na rate ya kufeli itakuwa juu sana

Tatizo la waislamu ni moja
Elimu dunia kwao sio kitu, haijapewa kipaumbele kama elimu akhera
Vigezo vya kuiendesha BAKWATA iwe Master/Phd na elimu ya dini vyote kwa mpigo uone kama bakwata haibadiriki.
Mbona wasomi haohao wakislamu serikali inawatumia vizuri na kufaidika.
Wazee wa BAKWATA hawana tofauti na wazee wa yanga hawataki mabadiriko yafanyike kwa sababu BAKWATA ni shamba lao la kuvuna.
Shehe simba aliuza eneo pale DUCE ambalo ni strategic kiuchumi, akawauzia warabu mil50 na kumpa pori huko pwani . Pale DUCE wangeweza kujenga hostels au hotel au, shule au maduka ya kupangalisha wakaona wauze, hao ndio viongozi unaoweza kuwaamini ?
Nyumba za wakfu nyingi wanapiga hela ukiwauliza ugomvi.
Msikiti wa Njombe kumewahi tokea mtafaruku wa nyumba za wakfu na mali za msikiti.
Tatizo BAKWATA inaongozwa na viongozi wenye njaa na wasio na maono..
Bakwata hawaaminiki na waislamu wengi ni kama ccm isivyo aminika na watanzania wengi.
 
Enyi Waamin, Ikiuma mnashauriwa kuchomoa atii.

Ilmu dunia haimfikishi Muumin Akhera kupata houri (72 virgins) lakini Alhamdullilah Ilmu Akhera inawahakikishia hilo

Wabillah Tawfiq,

View attachment 1777192
Siku nyingine usikubali ujinga ukuendeshe hovyo namna hivyo ,na hakuna mabikira 72 walio ahidiwa
 
Kwanza tuchague Mufti mwenye PhD na sheikh wa mikoa wenye Masters na masheikh wa wilaya wenye degree au diploma hata ikibidi kuwatoa mashariki ya mbali. Sheikh ambae amuozesha bint yake mwenye miaka 12 hafai kuongoza waislam wa zama hizi. Mtume SAW aliposema itafuteni elimu hata ikibidi Uchina alijua kuwa zama za akina Mama Samia kuwa Rais zitakuja.

Maaskofu na mapadre wana elimu kubwa wakati masheikh sifa yao ni moja tu.
Utawapata wapi mkuu? Yaani mtu awe na PHD au masters halafu pia awe kasoma na elimu ya kitabu itakayo mpa sifa ya kua sheikh??? Haiwezekani, tusitengeneze sheria ambazo practically haziwezekani mkuu
 
Back
Top Bottom