Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
Lissu huyu jamaa anatoaga wapi hizi stori na anaongea kwa kujiamini sana anauhakika na anachokisema???


Zitto anajickiaje akiingia humu jukwaani na kukuta Lissu anavyosifiwa
 
Ritz

Naona kama kawaida moderators wameipotezea ila Mohammed Said ameyazungumza yale ambayo hapa mjini watu wamekuwa wakiyafahamu siku nyingi. Na sasa huko bungeni ndio yaanza kutiririka vizuri.
Mdondoaji

Tutafika tu kaka safari siyo ndefu sana.
 
first thing first,with due respect naomba nikuamkie babu yangu gombesugu;shikamoo.
ulipotea jamvini.nafurahi kukuona tena leo.
nakuhaidi sitauvuruga huu mjadala kama ulivyo nitahadharisha.nitaufatilia,kuusoma na kuchangia "kiduchu" pale itakapo bidi.
"ahsanta".
 
Last edited by a moderator:
Lissu huyu jamaa anatoaga wapi hizi stori na anaongea kwa kujiamini sana anauhakika na anachokisema???


Zitto anajickiaje akiingia humu jukwaani na kukuta Lissu anavyosifiwa

Mkuu,

Jinsi anavyojisikia huyo Zitto,nafikiri suali hilo wa kulijibu ni Zitto mwenyewe,au!?

Yaani wewe unajiuliza...huyu Tundu Lissu anapata wapi hizi khabar za Nyerere,sio!?

Kwani weye hujui yakua Tundu alizungumza kwa pia kunukuu takriban 70footnotes!?

Au Mkuu hapa jamvini umepotea njia!? Daah! Teeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsanta.
 
Lissu huyu jamaa anatoaga wapi hizi stori na anaongea kwa kujiamini sana anauhakika na anachokisema???


Zitto anajickiaje akiingia humu jukwaani na kukuta Lissu anavyosifiwa

Linapozungumzwa jambo lenye tija kwa jamii na taifa kwa ujumla,mawazo kama yako huwa hayana nafasi. Tundu Lisu amesifiwa kwa kuuweka wazi ukweli ambao Mohammed Said amekuwa akiuongea mara kwa mara na baadhi ya watu kama Yericko Nyerere kumpinga na kumkebehi.
Naamini unafaham chuki za kisiasa za Ben Saanane kwa Zitto, lakini hivi juzi tu kwenye kurasa zao za facebook wameonyesha kana kwamba hakuna msuguano wa kisiasa pale walipojadili uchumi wa Tanzania kufuatia ukuaji wa uchumi wa Nigeria barani Africa huku ikiiacha nyuma South Africa.
 
Last edited by a moderator:
first thing first,with due respect naomba nikuamkie babu yangu gombesugu;shikamoo.
ulipotea jamvini.nafurahi kukuona tena leo.
nakuhaidi sitauvuruga huu mjadala kama ulivyo nitahadharisha.nitaufatilia,kuusoma na kuchangia "kiduchu" pale itakapo bidi.
"asanta".

Shukran Kamanda nimekusoma!

Hivi ni kweli hizi khabar zilozagaa mjini hivi sasa...yakua Muheshimiwa Tundu Lissu ametumwa na mmiliki wa Chadema Bwana Edwin Mtei...katika ule muendelezo wa ile hasama ya myaka mingi baina yake na Baba Wa Taifa!?...yaani kwa kifupi Tundu Lissu anatumika tu kwa maslahi binafsi ya Mtei,au!? Daah!

Mkuu Kadoda...vipi weye binafsi una maoni yapi kukhusu hizi shutuma za Lissu kwa Baba Wa Taifa!?

Yaani unakubaliana na Lissu yakua Nyerere aliishi maisha ya kilaghai,vitisho,unafiki,uzandiki na dhuluma!? Daah!

Yaani kwa mujibu wa Tundu Lissu...inamaanisha yakua yule Nyerere alikua hana tafauti na Papaa Msofe au jambazi Alex Massawe!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Hivi Dr Slaa atakubali kweli kumuachia ugombeaji wa Rais huyu Lissu...najua karibuni kitanuka pale Ufipa!? Daah! Teeh! Teeeh! Teeeh!

Nakutakia siku njema mjukuu wangu kipenzi

Ahsanta sana!
 
Last edited by a moderator:
Alichosema Tundu Lissu Bungeni kuhusu Nyerere ndicho anachokisema kila siku humu JF Mzee Mohamed Said.

Bahati nzuri leo hii watu wengine tena viongozi wa vyama vya upinzani unamuongelea Nyerere alichowafanyia Watanzania.

Shukran sana Akhy Mohamed Said

Nakala gombesugu

mzee naona unajipa shavu dah una ID nyingi haya bana ingawa kwenye hili tupo pamoja
 
Last edited by a moderator:
mkuu gombesugu,
nipo hapa saa hii namtizama mbowe,kuna wakati alisema;namnukuu rondemly.alisema "mwl nyerere alikubari kukosolewa,hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kuna makosa yalifanyika ktk utawala wake....".
that being quoted,sidhani kama ni sahihi kuhisi tundu lissu katumwa na mzee edwini mtei kumkosoa nyerere.sio jambo la ajabu kwa wanachadema kumkosoa nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Saddam Hussein aliondolewa madarakani wakati wa uvamizi wa Iraki na Marekani katika vita ya pili ya ghuba mwaka 2003. Alienda mafichoni kwa miezi kadhaa akakamatwa na kupelekwa mbele ya mahakama ya Kiiraki iliyompa hukumu ya mauti kwa jina dhidi ya binadamu na hasa kesi 148 za maujai zilizothebitishwa mahakamani...Kutoka Wikipedia.


Sijui wangapi mpaka sasa wameuwawa huko..tuendeleze choko choko iwe za uzushi au za ukweli ila angalieni tusije
tia taifa letu matatizoni.. Sio kila jambo utamwambia mkeo/mmeo.. ndio maana kuna viapo vya siri..
Mko humu JF kulaumu tu...kwanini msiji PM na kwenda kupeleka michango yenu panapostahili?
 
muda unazungumza, watu hawaijui historia kabla ya 1961/64, ndio wajifunze waweke kasumba yao ya kusema udini, udini, udini.....!
 
Kuna mmoja kachanganyikiwa akasema kama Muungano haukuwepo kihalali sasa wanafanya nini DDm? Kabla hajapata fahamu Mtikila akasema ..tumekuja kuweka mambo sawa kiukweli. Julius alikuwa mwongo mwongo
 
Bahati mbaya mjadala wowote wakishaingia gombesugu, Ritz na wengine basi lazima uhame kwenye lengo na kuwa wa kidini,

Onene unafiki wa kiumbe aitwae gombesugu hapa chini,

Mwambie Tundu Lissu ajitambue na aache kutumika kwa maslahi binafsi na sera za Edwin Mtei!?

Yeye Lawyer mzima,yaani ameshindwa kabisa kuchambua/kudadavua mambo kitaaluma...zaidi ya kuleta mipasho na kutusomea makabrasha ya wanasiasa wachovu wenzie!? Daah!

Mkuu hivi tutajie kwa mantik yako...kuna hoja au kitu gani kipya ambacho alisema yule Tundu Lissu!? Zaidi ya kuivua nguo maiti ya Baba wa Taifa!?

Edwin Mtei acha kuliyumbisha Taifa...weye siku zako zimeshakwisha! Kama unataka kuendelea kuwatumia Watanzania kwa maslahi yako binafsi...na kuendeleza kumchafua Baba wa Taifa,kwa sababu tu xa uhasama/uhasidi wenu binfasi wa siku nyingi...basi kwa kifupi huu sio wakti muafaka kwa Taifa letu! Daah!

Hivi karibuni utakutana na yule Nyerere huko aliko...sasa kwanini usifanze tu sabra kiduchu!? Kuliko sasa unapoanika u-selfish wako hadharani na kutumia Chadema yako na hao vilaza aka "wasomi" wako sampuli ya huyo Tundu Lissu!¿ Daah¡

Ahsanta.

Haya hapa chini kwenye uzi huu anamtusi tena Baba wa Taifa, na hili limekuja kwakuwa mjadala huu umeunganishwa na hisia za kidini,


Huyu ndie gombesugu ndugu wa damu wa Sultan Jamshid, anaishi uhamishoni mpaka hivi sasa pale nchini UK


Msome hapa tena!


wee Kadoda11! Usijeleta yale mambo yako ya udini hapa jamvini,plse!?

Maana naona nyinyi wafia Unyerere na vinara wa Islamophobia humu-JF...mmeshaanza kuitana na kusogea hapa jamvini...nafahamu yakua hamna hoja zozote za maana mtakazoleta kwenye mjadala huu ,zaidi ya matusi na kashfa ili ufungwe,au sio!?

Hivi kwanini anapojadiliwa yule Nyerere na Watanzania ambao kwa mitazamo yenu mnawaona/mnawakhis labda wao ni Non Catholics and/or Non Christians...you perceive them as a threat!?

Kwani hivi nyinyi mnataka yule Nyerere kujadiliwa tu na Makatoliki wenzake na Makasisi tu ndani ya Makanisa,sio!?

Ule utawala mbovu na wa kimabavu wa yule Dikteta Nyerere...uliathiri takriban Watanzania woote bila ya kujali dini/imani zao...na mpaka kesho Watanzania soote kwa pamoja tunazidi kutafunika kwa hii legacy chafu alotwachia yule Baba wa Taifa!...khasa sisi wanyonge tulioko huku vijijini!

Acha kujitoa ufahamu Mkuu...najua umenisoma hapo ninamaanisha nini!?

Nakutakia siku njema!

Ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Hapana Yericko nyie ndio mnalazimisha kwamba yaongelewayo ni udini.Tuhuma hizo hizo alizotoa Tundu Lisu ambae leo mnamshangilia,angezitoa Mohamed Said au Ritz wangeambiwa wadini na watu wenye chuki binafsi na mwalimu.

Vipi ule utakatifu uliokuwa unampa Mwl Nyerere katika mijadala mingi bado unaendelea? au kawa nguru leo hata ukimuosha bado anatoa harufu tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom