Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
MdondoajiRitz
Naona kama kawaida moderators wameipotezea ila Mohammed Said ameyazungumza yale ambayo hapa mjini watu wamekuwa wakiyafahamu siku nyingi. Na sasa huko bungeni ndio yaanza kutiririka vizuri.
Kuna harufu kubwa sana ya udini hapa, ngoja nikae pembeni nipige chabo kwa mbali
Lissu huyu jamaa anatoaga wapi hizi stori na anaongea kwa kujiamini sana anauhakika na anachokisema???
Zitto anajickiaje akiingia humu jukwaani na kukuta Lissu anavyosifiwa
Lissu huyu jamaa anatoaga wapi hizi stori na anaongea kwa kujiamini sana anauhakika na anachokisema???
Zitto anajickiaje akiingia humu jukwaani na kukuta Lissu anavyosifiwa
Atakuwa na wasiwasi na mie wakati kila mtu na fikra zake yeye anafahamu vitu vitatu tu Chadema, Ukirsto, Nyerere, kharasiUna waswas nae hana msimamo au vipi?
first thing first,with due respect naomba nikuamkie babu yangu gombesugu;shikamoo.
ulipotea jamvini.nafurahi kukuona tena leo.
nakuhaidi sitauvuruga huu mjadala kama ulivyo nitahadharisha.nitaufatilia,kuusoma na kuchangia "kiduchu" pale itakapo bidi.
"asanta".
Alichosema Tundu Lissu Bungeni kuhusu Nyerere ndicho anachokisema kila siku humu JF Mzee Mohamed Said.
Bahati nzuri leo hii watu wengine tena viongozi wa vyama vya upinzani unamuongelea Nyerere alichowafanyia Watanzania.
Shukran sana Akhy Mohamed Said
Nakala gombesugu
Mwambie Tundu Lissu ajitambue na aache kutumika kwa maslahi binafsi na sera za Edwin Mtei!?
Yeye Lawyer mzima,yaani ameshindwa kabisa kuchambua/kudadavua mambo kitaaluma...zaidi ya kuleta mipasho na kutusomea makabrasha ya wanasiasa wachovu wenzie!? Daah!
Mkuu hivi tutajie kwa mantik yako...kuna hoja au kitu gani kipya ambacho alisema yule Tundu Lissu!? Zaidi ya kuivua nguo maiti ya Baba wa Taifa!?
Edwin Mtei acha kuliyumbisha Taifa...weye siku zako zimeshakwisha! Kama unataka kuendelea kuwatumia Watanzania kwa maslahi yako binafsi...na kuendeleza kumchafua Baba wa Taifa,kwa sababu tu xa uhasama/uhasidi wenu binfasi wa siku nyingi...basi kwa kifupi huu sio wakti muafaka kwa Taifa letu! Daah!
Hivi karibuni utakutana na yule Nyerere huko aliko...sasa kwanini usifanze tu sabra kiduchu!? Kuliko sasa unapoanika u-selfish wako hadharani na kutumia Chadema yako na hao vilaza aka "wasomi" wako sampuli ya huyo Tundu Lissu!¿ Daah¡
Ahsanta.
wee Kadoda11! Usijeleta yale mambo yako ya udini hapa jamvini,plse!?
Maana naona nyinyi wafia Unyerere na vinara wa Islamophobia humu-JF...mmeshaanza kuitana na kusogea hapa jamvini...nafahamu yakua hamna hoja zozote za maana mtakazoleta kwenye mjadala huu ,zaidi ya matusi na kashfa ili ufungwe,au sio!?
Hivi kwanini anapojadiliwa yule Nyerere na Watanzania ambao kwa mitazamo yenu mnawaona/mnawakhis labda wao ni Non Catholics and/or Non Christians...you perceive them as a threat!?
Kwani hivi nyinyi mnataka yule Nyerere kujadiliwa tu na Makatoliki wenzake na Makasisi tu ndani ya Makanisa,sio!?
Ule utawala mbovu na wa kimabavu wa yule Dikteta Nyerere...uliathiri takriban Watanzania woote bila ya kujali dini/imani zao...na mpaka kesho Watanzania soote kwa pamoja tunazidi kutafunika kwa hii legacy chafu alotwachia yule Baba wa Taifa!...khasa sisi wanyonge tulioko huku vijijini!
Acha kujitoa ufahamu Mkuu...najua umenisoma hapo ninamaanisha nini!?
Nakutakia siku njema!
Ahsanta.
Ndio tatizo lao..