Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
Nashukuru sasa watanzania wameshafahamu mbivu na mbichi. Nyerere alikuwa hero asiyekosolewa sie kwa msaada wa mitandao hii na wanachuoni waliomdiriki Nyerere tumeuweka uhayawani wake japokuwa tumekuwa tukiitwa wadini. Haijatosha watu kibao waliokuwa wanamhusudu marehemu Nyerere wameanza nao kumvua nguo tena wav wa dini yake. Sasa sijui watakuwa ni wadini? Au ndio wanakuwa na majina mengine? Sie tupo tutaendelea kusema haki mpaka mwisho wa maisha yetu.
 
Hapana nina akili timamu ndio maana nina uwezo wa kuwaambia lugha hii nzuri, hii mbaya, msafianye hivi au mnapotoka mkisema vile, pale kuna fitna, hapa kuna hikma n.k.

Isipokuwa mnipe heshma na hekma,msinisabishe na MS, hilo tu ndilo ninalowaomba.

Nguruvi3

Duh! nimesoma bayana zako nimesikitika sana lakini sikushangai hili libichwa kuwa kubwa unapewa kule jukwaa la"great thinkers" na wale kina mchambuzi na wengineo,mimi nikisoma post zako sioni jipya.

Unaposema usinasibishwe na mzee MS nashindwa kukuelewa kwamba wewe ni "great thinker" zaidi yake au unapenda tafaghuri/sifa kwa huo uharo/uranium unao walisha wale wanaojiita "great thinkers" kule kwenye lile jukwaa lako/lenu.

Kama utakumbuka kwenye ule mjadala aliyeanzisha yule fundi mchundo aka Yericko tuliwararua raruraru mpaka mkakimbilia kwa mods,sasa leo haya yanayozungumzwa na Tundu Lissu ndio yale Yale tuliyasema kwenye ule uzi ni hayo tu.
 

Unapoint nzuri but hapo kwenye kijani vipi............................?
 
Ahsante, kama ukweli wangu ndio huo unaoita basi na iwe. Mumenialika wala sikuwa na haja ya kutokea hapa.
Nimekuja na kuwaasa kuwa ilm mlifyonza itumie vema.

Unapoandika maneno kama hayo nawe ni advocate wa MS basi watu wanajiuliza huyo Mwalimu au client yu hali gani!

Hapa mnamdhalilisha mzee Said, si mimi na wala majiti hayanishughulishi.

Natambua bayana zanagu zimekuwa mwiba kwa mzee na advocates wake. Mimi raha mstarehe.

Msimdhalilishe mzee Said, tafadhalini na wala msinasibishe nani.
 
Unatupa wasiwasi mtoto wa kiume kutumia neno "MKOME"
 
Ninachosema ni kuwa jina la MS lisiambatanishe na ID yangu. Hayo mengine mwasema ninyi.
 
Al khakir, mtendeeni haki Maalim MS. Ninyi ni wanafunzi wake, watu watajiuliza mwalimu yu hali gani?
 
Hayo mwasema ninyi, mimi nimewaomba jambo moja tu, msihusishe ID yangu na MS.
 
Fitna hizo hizo ajabu amesimama lisu kuzisema mnapgia makofi teh teh teh

Kweli ni bora kukosa mali kisha angalau upate akili

Chutama nguruvi3 tumewaweka uchi mchana kweupee teh teh teh

Msicheze na huu moto nyinyi Mtaungua...

Oooh...
Naomba shekh unitendee haki, usihusishe ID yangu na MS. Kwaweli atakaye kutia jiti la moyoni ni pale anaponitaja halafu akamtaja MS. Huku najisikia mnyonge sana.
 



Mmmmmmh

Kz kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Al khakir, mtendeeni haki Maalim MS. Ninyi ni wanafunzi wake, watu watajiuliza mwalimu yu hali gani?

I mean

we are dangerous..

kama unabisha nenda kamuulize tundu lisu ile jeuri na ngebe ya kusimama na kumchamba nyerere kias kile wapi kautoa ule ujasiri...

ukweli haupendi kupindishwa pindishwa na kubezwa bezwa,

atlast moh said mzee wa gerezani kaibuka kidedea...

:israel:
 

Tuoneshe japo moja uliloandika likachapishwa, tupe reference.

Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, mzandik, mnafik, fataani.
 
watu hawataki kujua kwanza,ila huangalia nani kasema,ukisoma kitabu cha dr.syvalon.utamjua nyerere alikuwa ni mtu wa namna gani ktk nchi hii haswa ktkt siasa,uchumi & udini alioufanya?
 
Mkuu Nguruvi3 pole sn!

Ni mategemeo Yangu Mzee Mohamed Said ataweza kuja hapa Ktk hii thread na kutuliza Hali ya hewa. Lakini kama ataendelea kukaa kimya na kuacha Hawa wanaojiita zao la madrasa kuongea sana, basi wataharibu kabisa ile sifa ya Huyu Mzee na kufanya Yale madai kwamba ni gwiji Wa history itakwisha na kabuki Kua ni udini etc!

Na pia nyie mnaomtetea Huyu Mzee Mbona mnatoa lugha mbaya sana? Haya ndio aliyowafundisha Ms? Au haya ndio mnayofundishana Huko?

Mzee MS Nakuomba uje hapa utulize vijana wako vinginevyo hoja za Guruvi3 zitakua na Nguvu sana kwamba Wewe si Mwana history Bali ni mdini Na unaeneza chuki.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kauzu kweli hivi kuna mtu kaletwa JF na Mohamed Said? kila mtu kajiunga JF kimpango wake wewe umeletwa JF na nani Mbowe au Lema?

Sisi wengine wala huyo Mohamed Said hatujawahi kuonana nae.

Karibu sana mlango upo wazi.
 
Last edited by a moderator:
Tuoneshe japo moja uliloandika likachapishwa, tupe reference.

Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, mzandik, mnafik, fataani.
Nitakuwa muongo zaidi ya ule wa Ibadan?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema Nyerere kaja Dar 1950? Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema Abdul hakumjua Nyerere hadi 1964. Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyeleta takwimu za Daily news kama ushahidi?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema research ya uongo?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema balozi kahutubia bunge?

Sidhani!
 

Huna lolote Maneno matupu bila hoja kakojoe ulale...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…