Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
Ustaadhat Mohamedi tatizo alikuwa anaongea bila ushahidi yeye ni hadithi hadithi tu ndomana hata Kikwete amemtosa ujumbe wa bunge la katiba kwani ni mzee wa porojo na ni mchochezi.Umeelewa we gamba.
Nani alikuambia Mohamed Said alipeleka jina kwa Kikwete.

Namnukuu

Tundu Lissu "Yule Nyerere aliishi maisha ya ulaghai, udanganyifu na vitisho kama vile majambazi/matapeli Papa Musofe na Alex Massawe" mwisho wa kunukuu.
Nguruvi3 Mag3 Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mkandara

Nadhani umemsoma Lissu Umekubaliana naye amekuja na ushahidi huo.
 
Last edited by a moderator:

Kwan nguruvi3 bado ana jeuri ya kurushiana ngumi na sie vijana wa madrasa??

Basi ana moyo wa kijasiri vita mbona tulishashinda kitambo sana??au anataka tumpuuzee km pimbi yericko na matola

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Tumtake radhi kwani alieleza nini cha maana?
Haya yote yanayozungumzwa sasa tumeyajadili. Labda nikueleza tofauti moja ya Lissu na Mohamed, Lissu anaongea kwa data na vithibitisho. Mohamed Said anaongea kwa hisia 'inasemekana, imesemwa, nilisikia, ati, huenda' n.k.

Nitake radhi upotoshaji,fitna na uzushi, ebo! nidhalilishe uwezo wangu wa kufikiri !
Tadhali nitake radhi kwa kunihusisha na mada za MS

Nguruvi3

Wewe ni wa humu humu JF tuh

Nani anakufaham ??na andiko gan la maana umeshawahi andika la kuweza kusimama na kutamba??km sio jf nani angefaham hata kwamba una exist??

Moh said hata kuosha viatu vyake huwez

Nenda great thinkers kaweke vikao lna vihiyo hapa unakutana na vijana wa madrasa huna la kuongeza wala kupunguza
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Mkuu,

Kilwa Jazz walivunja Band kwa mambo haya ya kuchekacheka....unakumbuka wimbo wao wa mwisho!? Daah!

Chekacheka wana Kilwa Jazz leo! Teeeh! Teeh! Je unakubaliana na kauli za Tundu Lissu...yakua yule Nyerere alikua ni sawa na Tapeli Papaa Musofe au jambazi maarufu la Kichaga Alex Masawe!? Daah! Kwi! Kwi! Kwi!
 
MMEANZA TENA UJINGA KENGE NYIE......NI KM KUSEMA ANACHOFANYA MESSI NDICHO ALICHOFANYA MOGELLA JUST BECAUSE WOTE WANACHEZA MPIRA NA WOTE WANATAFUTA MAGOLI.....LISSU KAFANYA NA KAFANYA KWA USAHIHI.POROJO ZENU HAPA HAZINA MAANA.Ritz unataka sema nini hapa..Lissue alikuwa kaiongelea Mfumo Kristu.....leo waislam ndio wanataka serikali mbili..which means ni CCM ndio shida hapa.
 
Tuoneshe data za Mbowe, jana kuna mbunge aitwae Machali alikuwa akinukuu kitabu cha Ghassany, Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, unajuwa kina uhusiano upi na Mohamed Said?

[video=youtube_share;k_1056Uk8Vo]http://youtu.be/k_1056Uk8Vo[/video]

Hapo sasa!

Hizo dada yangu watakuambia sio reference hadi akitoa Mbowe au Lissu utaambiwa hizo ndio references. Sasa unaona kazi iliyopo. Na kuna mtu kasema Lissu katoa reference 70 labda nimuulize Kazihesabu vp? Na mbona Mohammed Said katoa references zaidi ya hizo hamzioni????
 
MMEANZA TENA UJINGA KENGE NYIE......NI KM KUSEMA ANACHOFANYA MESSI NDICHO ALICHOFANYA MOGELLA JUST BECAUSE WOTE WANACHEZA MPIRA NA WOTE WANATAFUTA MAGOLI.....LISSU KAFANYA NA KAFANYA KWA USAHIHI.POROJO ZENU HAPA HAZINA MAANA.Ritz unataka sema nini hapa..Lissue alikuwa kaiongelea Mfumo Kristu.....leo waislam ndio wanataka serikali mbili..which means ni CCM ndio shida hapa.

Wee Kenge-baradhuli, self confessed alcoholic hate preacher aka Nicholas!

Hakuna, atakaeshughulika ati kujibizana nawe asilan...you're just piece of shit, cheap attention seeker!

Wee nguruwemwitu Nicholas,unapata nafuu ya maisha kwasababu tu ya kuwepo kwako hapo Ufipa/Chadema...na kupewa viroba vya kukusaidia kueneza chuki zako za ukabila na Islamophobia zenu!

Kama ungebaki kule kwenu milimani...nakuhakikishia mpaka leo Mkibosho wewe,ungeishia tu kusafisha mabanda ya nguruwe wa mabwana zenu wa kimarangu na kimachame! Dadeki zako weee!

Mpaka kesho nyinyi mnalala na mbuzi kule migombani/milimani...khalaf unaleta jeuri yako ya uchovu wa maisha hapa,sio!?

Nitakurejea!
 
Nguruvi3

Wewe ni wa humu humu JF tuh

Nani anakufaham ??na andiko gan la maana umeshawahi andika la kuweza kusimama na kutamba??km sio jf nani angefaham hata kwamba una exist??

Moh said hata kuosha viatu vyake huwez

Nenda great thinkers kaweke vikao lna vihiyo hapa unakutana na vijana wa madrasa huna la kuongeza wala kupunguza
Ninayoandika mimi MS hawezi kusoma kwa sauti kwasababu hata pronounciation hawezi.

Ninaandika ukweli siyo uzuzshi . Mimi sifungi safari nikaaga mke na watoto nikabeba mkoba kwenda Ibadan kuudanganya na kueneza fitna ulimwengu tena nikisema nafanya hivyo kwa imani ya Dini.
Dini imekataza kusengneya, uongo na kila aina fitna. MS kafunga safari kuzunguka duniani kueneza fitna, ushahidi ni Ibadan University. Mwambieni akaombe radhi kwanza.

Jamani niacheni mnapolinasiibisha jina langu na MS najisikia dhalili, najisiki mnyonge na najisikia mumenivunjia heshima.
MS ni kiongozi wa kundi la matusi, huko sipo mimi nina stara zangu.

Ninatumia akili, kundi la MS halipaswi kutumia akili, The Big Show chonde chonde muungwana, nistahi nduguyo. Kunifungaminisha na fitna ni kunitia wahka, napata simanzi mwenzenu.

The Big show, nazi koroma si nazi hiyo, ukiilinganisha na nazi wapishi hawakuelewi.
MS namwachia na vidaka, mimi nina stara zangu mkuu. Kuongea kama mtu aliyekunywa ndaza siwezi.

Najaalie hapo Ligula, inshallah naweza teremeka huko. Nikipata wasaa nitakuita tupate japo gahwa.

Salaam kwa ahli na watoto waambie miye mzeeni.
 
Karibu tuh mtwara

Wataka ming'oko chikandanga au machoba chaguo ni lakoo

Wanishangaza sana kuseka mseme nyie na kina lisu ila tukisema sie na moh said wetu lawamaa

Sasa sijui double standards hiz sijui zatokea wapi sasa

Huyo dr harith ghasamy wanaemkopi huko bungeni ni counter part wa moh said

Hata km hamtaki kumkubali sawa tuh nabii hakubaliki kwaoo....

Ushahid gani unaotaka kutoka kwa moh said ili hali anakuwekea literature reviews za kila namna??

Km unaweza panda ndege naww uende usa au ibadan ukadurusu.... wewe ni wa humu humu while moh said ni national n international icon..
 
Mkuu,

Kilwa Jazz walivunja Band kwa mambo haya ya kuchekacheka....unakumbuka wimbo wao wa mwisho!? Daah!

Chekacheka wana Kilwa Jazz leo! Teeeh! Teeh! Je unakubaliana na kauli za Tundu Lissu...yakua yule Nyerere alikua ni sawa na Tapeli Papaa Musofe au jambazi maarufu la Kichaga Alex Masawe!? Daah! Kwi! Kwi! Kwi!

Mkuu bora mie nijifurahie niongeze Siku za kuishi Ati madaktari walisema!

Mkuu waswhili walisema ukstaajabu ya Mousa utayaona......,,, Teh Teh Teh Teh! Bado mada inaendelea na watazidi kuja tu wachangiajia wengine na nasaha zao! Teh Teh Teh Teh

Jf bhana raha sn!
 
Tumtake radhi kwani alieleza nini cha maana?
Haya yote yanayozungumzwa sasa tumeyajadili. Labda nikueleza tofauti moja ya Lissu na Mohamed, Lissu anaongea kwa data na vithibitisho. Mohamed Said anaongea kwa hisia 'inasemekana, imesemwa, nilisikia, ati, huenda' n.k.

Nitake radhi upotoshaji,fitna na uzushi, ebo! nidhalilishe uwezo wangu wa kufikiri !
Tadhali nitake radhi kwa kunihusisha na mada za MS

Wewe nguruwe3,

Kusoma hujui, hata lugha ya picha pia inakushinda!

Vithibitisho gani unataka hata ukatosheka kuhusu huyo kafiri mkubwa Nyerere kwa unyama alokua akifanza!...Mengi yamesemwa/yameandikwa na Sheikh Mohamed Said, na leo ndio hayo hayo yanarejewa na huyo Tundu Lisu.

Bila shaka utakua na kilema cha ufahamu wewe, si bure!

Ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Ninayoandika mimi MS hawezi kusoma kwa sauti kwasababu hata pronounciation hawezi.

Ninaandika ukweli siyo uzuzshi . Mimi sifungi safari nikaaga mke na watoto nikabeba mkoba kwenda Ibadan kuudanganya na kueneza fitna ulimwengu tena nikisema nafanya hivyo kwa imani ya Dini.
Dini imekataza kusengneya, uongo na kila aina fitna. MS kafunga safari kuzunguka duniani kueneza fitna, ushahidi ni Ibadan University. Mwambieni akaombe radhi kwanza.

Jamani niacheni mnapolinasiibisha jina langu na MS najisikia dhalili, najisiki mnyonge na najisikia mumenivunjia heshima.
MS ni kiongozi wa kundi la matusi, huko sipo mimi nina stara zangu.

Ninatumia akili, kundi la MS halipaswi kutumia akili, The Big Show chonde chonde muungwana, nistahi nduguyo. Kunifungaminisha na fitna ni kunitia wahka, napata simanzi mwenzenu.

The Big show, nazi koroma si nazi hiyo, ukiilinganisha na nazi wapishi hawakuelewi.
MS namwachia na vidaka, mimi nina stara zangu mkuu. Kuongea kama mtu aliyekunywa ndaza siwezi.

Najaalie hapo Ligula, inshallah naweza teremeka huko. Nikipata wasaa nitakuita tupate japo gahwa.

Salaam kwa ahli na watoto waambie miye mzeeni.
Ajabu ya balaa Nguruvi3 kujifananisha na Sheikh Mohamed Said walaahi.

Ni sawa sawa kuwalinganisha Edson Arantes do Nascimento (Pele) na Edibil Jonas Lunyamila.

Tarudi punde kufyonza Ilm.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Kilwa Jazz walivunja Band kwa mambo haya ya kuchekacheka....unakumbuka wimbo wao wa mwisho!? Daah!

Chekacheka wana Kilwa Jazz leo! Teeeh! Teeh! Je unakubaliana na kauli za Tundu Lissu...yakua yule Nyerere alikua ni sawa na Tapeli Papaa Musofe au jambazi maarufu la Kichaga Alex Masawe!? Daah! Kwi! Kwi! Kwi!

Mkuu gombesugu,
Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh.
Ya nini nawe kujigeiya uzito kwa hoyo Ntuzu...?!!

Hizo dakika ulifanza Shar he, ungeliwajuza chochote kitu wanajamvi hapa lakini sijali maana pia wameokota faida.

Hoyo kiumbe mie nlimpita pahala nikamsabahi badali yake kafanza kama hapo juu,
Nikashika zangu safari.

Ghafula mwandie ndo nijuza kuwa ati leo ni siku ya KUCHEKACHEKA daah.... ! Nkastaajaba sana na kujiuliza hata MSUKUMA hunu ana haya leo...!?

Ntarejea.
 
Last edited by a moderator:
Karibu tuh mtwara

Wataka ming'oko chikandanga au machoba chaguo ni lakoo

Wanishangaza sana kuseka mseme nyie na kina lisu ila tukisema sie na moh said wetu lawamaa

Sasa sijui double standards hiz sijui zatokea wapi sasa

Huyo dr harith ghasamy wanaemkopi huko bungeni ni counter part wa moh said

Hata km hamtaki kumkubali sawa tuh nabii hakubaliki kwaoo....

Ushahid gani unaotaka kutoka kwa moh said ili hali anakuwekea literature reviews za kila namna??

Km unaweza panda ndege naww uende usa au ibadan ukadurusu.... wewe ni wa humu humu while moh said ni national n international icon..
Mng'oko bwana, tena ukipata na maji ya dafu, dah.

Nasema hivi ninasimamia kile akili yangu inachoamini ni sawa.
Matumizi ya akili yangu huwa ni kipaumbele kuliko kufyonza.

Mshaurini mzee aende akaombe radhi Ibadan. Alichokifanya ni fitna na hairuhusiwi.
Humu humu JF tumesoma data za MS tukamuonyesha jinsi zilivyo laini kama urojo.
Utachukua namba uzipange katika jedwali udai ni takwimu, halafu tufyonze tu, sisi wengine tunafyonza maji ya madafu, asali na vilivyo halali. Kufyonza fyonza tuu, unaweza fyonza maji taka ati.

Nikijaaliwa nitakuja huko nikielekea Kadewele Tunduru.
 
Ninayoandika mimi MS hawezi kusoma kwa sauti kwasababu hata pronounciation hawezi.

Ninaandika ukweli siyo uzuzshi . Mimi sifungi safari nikaaga mke na watoto nikabeba mkoba kwenda Ibadan kuudanganya na kueneza fitna ulimwengu tena nikisema nafanya hivyo kwa imani ya Dini.
Dini imekataza kusengneya, uongo na kila aina fitna. MS kafunga safari kuzunguka duniani kueneza fitna, ushahidi ni Ibadan University. Mwambieni akaombe radhi kwanza.

Jamani niacheni mnapolinasiibisha jina langu na MS najisikia dhalili, najisiki mnyonge na najisikia mumenivunjia heshima.
MS ni kiongozi wa kundi la matusi, huko sipo mimi nina stara zangu.

Ninatumia akili, kundi la MS halipaswi kutumia akili, The Big Show chonde chonde muungwana, nistahi nduguyo. Kunifungaminisha na fitna ni kunitia wahka, napata simanzi mwenzenu.

The Big show, nazi koroma si nazi hiyo, ukiilinganisha na nazi wapishi hawakuelewi.
MS namwachia na vidaka, mimi nina stara zangu mkuu. Kuongea kama mtu aliyekunywa ndaza siwezi.

Najaalie hapo Ligula, inshallah naweza teremeka huko. Nikipata wasaa nitakuita tupate japo gahwa.

Salaam kwa ahli na watoto waambie miye mzeeni.
Nguruvi3
Acha matani bhana server za JF zikizimwa na wewe unapotea.
 
Ajabu ya balaa Nguruvi3 kujifananisha na Sheikh Mohamed Said walaahi.

Ni sawa sawa kuwalinganisha Edson Arantes do Nascimento (Pele) na Edibil Jonas Lunyamila.

Tarudi punde kufyonza Ilm.
Chonde chonde mimi mwenyewe nshakataa kufananishwa au kunasibishwa na MS. Tafadhalini sana naomba stara yenu. Naomba mnihifadhi waungwana.

Huko kwa MS kuna wenyewe, ukitumia kichwa hufai, si mahala pako. Huko unatakiwa ukae kitako unafyonza tu vyenye kunukia, vinavyonuka, hewala!
Mimi sifyonzi natafaakur.

Kichwa kila mtu anacho, matumizi ndio tatizo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom