Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

JK ndiye aliyewashughulikia hao jamaa wa misimamo mikali hakuwa Rais mkatoliki.

Mwenye kufikiria kwa kina atajiuliza mengi. Wapo wanaotaka kumtupia jumba bovu hayati JPM wakisahau na yeye alipambana field na akili kama hizo kule Mkuranga na Rufiji.

Kwa Tanzania hii ambayo tumechanganya sana makabila taasisi yoyote yenye nia ovu inajitakia maumivu.

Misingi yetu ya utaifa ni imara sana.
 
Zanzibar na Pwani ndiyo zinaogoza kwa ushoga Tz. Haha
Maabara,
Niko katika utafiti unaweza kunipatia ushahidi wa hili?

Ulaya zinafungwa ndoa kanisani.

Ningependa kujua kwa nini haya yanaruhusiwa.

Afrika ushoga ni jambo baya sana watu wanajificha Ulaya ni kitu cha kawaida.
 
hiyo kitu ikijirudoa tena. this time watapoteza maisha si uhuru tena
Detective,
Hilo la kupoteza maisha ni sehemu ya historia ya matatizo yaliyoko Zanzibar.

Wazanzibari wengi wamepoteza maisha katika kupigania nchi yao.
 
Maneno ya hekima hayo!!! Maneno hayo ni mwiba mkali kwa wachochezi!!! Naunga mkono kauli ya sheikh Mselem.
 
Ulishawahi kaa jela au unaongea kishabiki
 
Haujapatikana ushahidi wowote katika suala la ugaidi.

Hadi leo toka sheria kupitishwa hakuna mtu yeyote aliyehukumiwa kwa kosa hili.
Serikali ya Tz imeshughulikia ugaidi wa Sheikh Farid na wenzie kwa namna bora kabisa. Usitafute ushahidi kama wanavyoatoa ushahidi wa kesi za ufisadi. Nakumbuka siku ya kwanza baada ya ule mhadhara kulitokea maandamano kwenda kituo cha polisi Madema, kisha kanisa la TAG kariakoo likachomwa moto.

Mapadri walipigwa risasi akiwemo Padri Evaristi, Watalii walimwagiwa tindikali, Wageni walichapwa viboko kwa kuvaa nguo fupi. Kama Serikali isingechukua hatua sitahiki pengine ZNZ ingegeuka kuwa Mogadishu au Kismayu au Syria.

Marekani kupitia jarida la Chuo Cha Ulinzi liliitaja UAMSHO kama kundi la ugaidi na viingozi wake waandamizi walipewa mafunzo Kandahar.

Tuamini ilichofanya Serikali kwa kuwa ni kwa masilahi mapana ya nchi yetu, wewe mwenyewe Mohamed Said na Mimi. Jiulize kwa nini wasikushike wewe binafsi na wakamshika Sheikh Farid na Sheik Mselem.

Naamini siyo kila taarifa ya Serikali na kwa ajili ya umma wote wa Watanzania, zingine ni kwa matumizi ya vyombo vya dola tu.
 
Hili si ndiyo Uislamu umelikataza kila uchao.

Mtume wetu aliusia sana kuhusu kutii utawala,lakini wengi wanampuuzia nakuleta ujuaji.

Allah atupe thabati,na kufata mafundisho ya Mtume wetu.
 
Kunywa supu ya ulimi nitalipa
 
Mwenzako anasema hivyo kutokana na joto la jiwe alilolionja huko.Hata wewe ukipelekwa huko utarudi ukiwa mpole km ng'ombe aliyehasiwa.
 
Ina maana yale waliyo kuwa wanayafanya ni sahihi ? Kwa mujibu wa nani ?

Hai mashehe walitakiwa wakae wawasomeshe watu dini kama elimu zao zinakidhi hilo,au kama elimu zao ni ndogo basi wakasome kwa wenye elimu.

Ila mapito waliyo kuwa wanapita si katika mapito ya dini,ndiyo maana hali ikawa hivi ilivyo. Allah akawapa mtihani. Alichokiongea Sheikh Muselemu ni sahihi kabisa,unashindana vipi na mwenye nguvu hali wewe huna nguvu ya kimaada wala ya kiimani ? Huwezi kufaulu abadani.

Kwahiyo acha ujinga.
 
Www umefanya nini ,au uko nyuma ya keyboard tu hapa,henu ita press kesho tukuone kama unamaanisha unachosema boya wew
 
Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Anasema statement ya kizembe wakati anafanyia kazi dini. Tena mafundisho sahihi.

Hapa mzembe ni wewe usiyekuwa na elimu ya haya mambo. Nyinyi ndiyo mnautukanisha Uislamu,na Allah atawapa stahiki yenu kama hamtorudi katika njia ya sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…