Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.

Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.

Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?

View attachment 2723583
Walikuwa wapi serikali mpaka yakapotea
 
Walikuwa wapi serikali mpaka yakapotea
Serikali ni kila mtu hata wewe unapopewa dhamana unakuwa ni sehemu ya serikali , ulihitajika kufanya kazi kama ulivyoajiriwa kwayo na sio kupendelea watu wa imani yako au marafiki zako
 
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.

Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.

Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?

View attachment 2723583
CCM wapo tayari kuvuruga nchi kwaajili ya kunenepesha matumbo yao.
 
Uendawazimu mkubwa huu!
Huyu si ndio yule mwenye vinasaba vya ukichaa?
Wanasema kwao wana vinasaba vya ukichaa
 
Kataa matamko ya wachumia tumbo TEC ..

Tupinge wachumia tumbo tangu ESCROW .

Tupinge udini kabisa.!!
Nakuapia una utapiamlo mkali wa akili.
TEC inaona mbali sana we mburura tena kwa ustawi wako na vitoto vyako.
TEC ni taasisi kubwa sana yenye maono na iliyosheheni wasomi kuliko taasisi yoyote.
 
Nakuapia una utapiamlo mkali wa akili.
TEC inaona mbali sana we mburura tena kwa ustawi wako na vitoto vyako.
TEC ni taasisi kubwa sana yenye maono na iliyosheheni wasomi kuliko taasisi yoyote.
Kichaa wewe kaone Dp world inafanya kazi hao matapeli wako hawataki kumzika Ole Mushi 🤣🤣...Kazi inaendelea hao wanadanganya wapuuzi kama wewe sio serikali
 
Back
Top Bottom