Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

BAKWATA ndiyo chaka la kukwepa kodi bandarini.

Bakwata inawakilisha waislamu wangapi TZ
 
Yaani mkataba huu wa Kimangungo unasema, Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM na Uarabuni.

Kwani mbona hatuwasikii Zanzibar inapotaka kukopa lazima ije iombe ruhusa Tanganyika ?? kama ule mkopo wa Wachina wa Kujenga bandari Zanzibar ilikataliwa na Tanganyika
 
Ndio mustahamili tu mutazoea poleni sana
Umeandika lugha gani? Kimatumbi ambacho nilisoma mimi? Ni hivi, hatujafika hapa kwa bahati mbaya. Shida sio waumini wa kiislamu wala wa kikistru. Shida ni rushwa na ufujaji wa mali ya umma wa watu wachache walio na dhamana. Wengine wanatumika kama yale makaratasi ya kufutia uchafu. Mambo yakiwa magumu upande wao, wanakimbilia kwenye dini.
Hakuna dini inaruhusu rushwa wala ubadhilifu wa mali za wanyonge. Hakuna dini inalewa wezi wa mali za umma wala wanaozitumia kwa ubinafsi wao
 
Mashehe walikamatwa na Kikwete BAKWATA nayo ukawapigia msumari kwenye hili Shekhe hana hoja
 
Huyo shekhe pengine na yeye ajiulize: kwanini Wazanzibari tu na Waislamu Samia, Mbarawa, Johari tena waliopitia madrassa kukaririshwa kiarabu? Kwanini Waarabu na Waislamu wa DP World? Kwanini Wazanzibari Waislamu wenye asili ya Kiarabu wote waliofanya maamuzi haya hawakujumuisha bandari na ardhi ya Zanzibar kwenye mkataba?
 
kwani nani asiyejua hilo?
makatoliki hawakuwahi kuwa kikundi cha kidini bali ni kikundi cha makabahila na mabepali yanayonyonya mataifa maskini.
mataifa yote yaliyoendelea makatoliki hayatii mkono
 
Back
Top Bottom